Frank King
JF-Expert Member
- Oct 7, 2012
- 1,312
- 889
Nimefanya utafiti wa muda mrefu mno lkn bado nimeambulia patupu,nahitaji mawazo yenu ikiwezekana ya Yakitaalam zaidi/Yakitafiti.
Eti ni kweli mwanamke akiolewa ili hali ametunza Usichana wake yaani Bikra kwamba /Mume na Mke wanafurahia tendo la ndoa vizuri?
Vipi kuhusu aliyejirusha vyakutosha kisha akaolewa?
Ni kweli Mwanamke akibikiriwa na mtu huwa anaMkumbuka?
Na km anamkumbuka...!anamkumbuka kwa lipi?
Nifungueni hapo!!