Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

kama kichwa cha habari kilivyo hapo juu natafuta rafiki wa kike ila sina maisha kabisa[emoji3] naishi Arusha Elimu ni ya uhasibu but it didn't work[emoji16]
5 Reactions
23 Replies
1K Views
Ulikuwa na orodha ndefu ya wanawake wa kuoa, Ila uliwatupilia mbali wengine wote na ukamchagua hiyo uliyenaye leo. Ni hakika ulichagua saizi yako, ulichagua binti ambaye alikamilisha utu wako...
26 Reactions
131 Replies
4K Views
Wapendwa niko huku kijijini mapinga ,bagamoyo katika harakati,nastukizwa na kundi la watu wanapiga kelele na shangwe wanamsindikiza jamaa kaoa kwa mkeka,nauliza ndoa ya mkeka ni ndoa kisheria ..?
0 Reactions
25 Replies
9K Views
Jana weekend jioni nimekaa zangu sina ili wala lile nikaona nimcheki bro tunaishi wilaya moja ila maeneo tofauti tukasalimiana fresh nikaulizia kuhus familia yake akanambia shemeji yako kaondoka...
4 Reactions
8 Replies
1K Views
Dada zetu mtalea sana watoto peke yenu na kujipa usingo mother usio na sababu, kumbukeni kuwa kuzaa ni mipango ya watu wawili mama na baba. Sasa unakutana na binti kaanzisha tu mahusiano na mume...
3 Reactions
15 Replies
833 Views
Mazee! Hata uwe na pesa kiasi gani, kuoa mwanamke aliyekuzidi urefu i mean urefu wa kimo pamoja na elimu lazima akusumbue na utaibiwa sana. Hii ishu kubwa sana kwenye ndoa ni wanawake wachache...
16 Reactions
259 Replies
26K Views
Hiki kitendo anachonifanyia baby mama wangu sielewi kbsa Mara nyingi unakuta amepost na kuwa wish birthday na kuwapongeza kwa mafanikio mbalimbali wanao fikia hao jamaa ,hata wanaomaliza masoma...
6 Reactions
48 Replies
2K Views
Dah eti "kila mtu ana mshahara wake tusipelekeshane" ujinga sana huu wakuu. Sina mengi.
20 Reactions
73 Replies
3K Views
Salam sana popote mlipo Ndugu zangu haijalishi kwamba mwanamke kwenye maisha ya mwanaume ni msafiri na safari yake ikifika mwisho ana kubwaga pasi na sababu yeyote na kwenda kwa mwingine epuka...
10 Reactions
28 Replies
2K Views
Habari zakupotezana ndugu zangu Wana JF wenzangu, Mwezi wasita mwaka huu mzazi mwenzangu aliniomba aje aishi kwangu maana haileti picha nzurii yeye kuendelea kuishi kwao hali yakuwa anamtoto...
23 Reactions
204 Replies
13K Views
Condoms za siku hizi zimekuwa ndogo, zinabana na zinatoa harufu mbaya Yaani nikivaa kondom siku hizi inaweza funika tu nusu ya uume nusu ikaingia ukeni bila kufunika uume wote Sijui kuna agenda...
16 Reactions
130 Replies
8K Views
Nitandika Kwa kifupi najuwa mmu watu hawapendi magazeti. Wazungu unafki huu hawaiwezi, kuishi na mtu eti kisa mna watoto lakini upendo umekufa. Mi ni mtu wa society Kwa utafiti wangu wa miaka...
30 Reactions
329 Replies
15K Views
Kuna baadhi ya wanawake wanaenda na kauli mbiu kuwa mwanaume ni wajibu wake kutafuta Hela, yeye kazi yake kutumia.. Hilo janga kwakuwa linapingana na neno la Mungu kuwa asiyefanyakazi na asile...
8 Reactions
25 Replies
1K Views
Ndugu zangu wana Jf wanaume wengi sana hawatopenda kusikia ukweli huu maana unachoma kama moto kwa kisingizio cha masikini naye ana haki ya kupendwa na msemo wa mwanaume tafuta hela kuuchukulia...
34 Reactions
234 Replies
15K Views
Mwanamke anachokifuata kwenye mahusiano ni pesa (uchumi) na si mapenzi. kama uamini, poteza kipato uje utoe ushuhuda hapa jukwaani. Kama huna kipato au ramani zako hazisomeki, atakuvumilia kwa...
30 Reactions
144 Replies
5K Views
Hii ilikuwa kitu ya kawaida sana enzi za wazee wetu. Nini kimebadilika wakuu? Au binadam wa leo ni wa mbegu tofauti? Maana huyo mtoto mmoja tu lazima awatoe kamasi na msipokaa sawa utasikia...
7 Reactions
33 Replies
3K Views
NDOA NI LAZIMA KWA WATU WANAOTAKA KUWA NA FAMILIA NA KIZAZI BORA, ILA KIZAZI CHA MBWA AU NYOKA NDOA SIO LAZIMA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Kama hutaki kuzaa watoto na kuwafanya wawe...
23 Reactions
123 Replies
5K Views
Unakuta mwanamke kakutongoza mwenyewe wewe kama kidume umemkubalia ila bado anakuomba hela. Sasa najiuliza huyu kafata mahusiano au hela zangu?
5 Reactions
4 Replies
398 Views
Ni wanandoa wawili wa huko Marekani,,ndoa yao haikuwa na furaha na hata sex kwao ilikuwa ni ya mbinde sana. Mume alikuwa nyumbani kutokana na mkataba wake wa kazi kuisha katika kampuni...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Back
Top Bottom