Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hautakiwi kumpa hisia za furaha muda wote, hautakiwi muongee vya kuboa kila muda. Usiogope kumwambia maneno ambayo unaona ni makali bila kumtukana/kumdhalilisha. Usiogope kumwambia kitu kibaya...
4 Reactions
24 Replies
5K Views
Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!. Hii ndiyo asili yao,hivyo ndivyo walivyo na hata wao wanatambua kabisa hiyo ndiyo asili yao!. Wewe jifanye ni mstaarabu kwa Mwanamke uone atakavyo...
45 Reactions
98 Replies
10K Views
Habari ya muda huu.. Ilikuwa mwaka 2010 kwetu huko Tabora. Sisi tulikuwa wakulima wazuri wa zao la tumbaku. Wafanya kazi wetu kwa asilimia kubwa tulikuwa tunawatoa Burundi. Kulikuwa na huyo...
16 Reactions
36 Replies
3K Views
Oyaa wazee wanawake wakisasa kuna kitu ibaidi waelewe,kwa sababu wanawake wa kisasa hawawafanyi wanaume kujihisi wanahitajika tena. Siku hizi, warembo wetu wamepata kipato zaidi ya wanaume...
6 Reactions
29 Replies
1K Views
Biggest mistake you can ever make is making someone else's happiness your priority "I made sure you were happy even when I wasn't" I felt that line🥹 Guys it's ok to be selfish and self centered...
3 Reactions
37 Replies
2K Views
Kwanza kabisa kuna “Upungufu wa Wanaume Waliofanikiwa” lakini hakuna “Upungufu wa Wanawake Wazuri” tokea dunia iumbwe. Pili wanawake wazuri au wenye mvuto huwa wanaona wamezaliwa na...
3 Reactions
21 Replies
3K Views
Ndugu zangu nataka mtakasike. Amina Hakika nimeangukia kwa mtoto wa kinyiramba. Mwanamke ni mweupe soft kweli kweli, mrefu wa wastani ,nyusi, nywele na kope za kuvutia . Ana macho flani hivi ya...
10 Reactions
84 Replies
7K Views
Kwa mfano, pisi kali anavaa nguo fupi sana, mabega na mgongo vipo wazi, halafu mpo mahali pa burudani club, na kwa mfano mmeamua kuketi nje sehemu ya wazi na kupata burudani mbalimbali kama vile...
8 Reactions
19 Replies
1K Views
Mm binafsi ni Kuvuta Ganja, kunyonya Mbususu au kula Gambe. Wewe Je?
11 Reactions
79 Replies
5K Views
Katika pilika pilika za maisha kuna baadhi ya wanaume wamekuwa wakipitia msoto mkali, pengine labda ni kwasababu ya umaskini mwisho wanaishia kuishi kwenye nyumba za wapenzi wao au wake zao. Sasa...
6 Reactions
38 Replies
4K Views
Slogani yetu sisi wakurya "Tunataka watu,na kitanda hakizai haramu " Nashangaa mdada unateseka huko uliko kisa huna mume na huwezi kuolewa kisa una watoto wako uliozaa na mwanaume mwingine huku...
8 Reactions
30 Replies
2K Views
Habari . Katika harakati zangu, nimejikuta kwa makusudi kabisa natongoza mke wa rafiki yangu ilihali najua wazi kabisa mume wake ni rafiki yangu wa karibu sana na tunaelewana kweli kweli...
3 Reactions
84 Replies
9K Views
1. Mchaga akioa au kuolewa na Mpare, Muha au Mmasai. 2. Msukuma akioa Mbulu /Mrangi /Mnyaturu /Mmeru/Mchaga au Muiraki. 3. Mhehe akioa au kuolewa na Mbena, Mnyamwezi, Mngoni. 4. Mdigo akioa au...
5 Reactions
21 Replies
4K Views
Hisia ndio injini ya mapenzi matamu Narudia mapenzi ni hisia, hisia zikiwa kwa mtu fulani hata moyo, nafsi na akili yako yote itakuwa pale Sauti yake pekee inaweza kukuvurunga kabisa yaani...
5 Reactions
22 Replies
2K Views
Una ushauri gani kwa kijana anayetafuta mafanikio ya kiuchumi na ya mahusiano?
2 Reactions
45 Replies
2K Views
Inakuaje mnafunga ndoa na binti leo alafu siruhusiwi kuondoka na mke wangu mpaka baada ya siku mbili? Nina jamaa yangu leo kafunga ndoa kaja bila mke kisa heti ukoo wake unatakiwa ukae siku mbili...
1 Reactions
3 Replies
411 Views
Waliosema kuishi kwingi kuona mengi hawakukosea hata kidogo. Wakuu, finally nimependa. Sikujua kwamba wakati wa kuoa ukifika basi hutahitaji kushawishiwa au kulazimishwa. Nimepata kabinti kangu...
26 Reactions
345 Replies
17K Views
KIJANA WETU ANATAKA USHAURI Read Carefully 🦠Mimi ni kijana nina miaka 37, nimeoa ndoa yangu ina miaka 12 sasa, kuna kipindi nilipata mwanamke mwingine, niliondoka na kwenda kuishi naye, kweli...
0 Reactions
7 Replies
963 Views
Nahitaji Mke Sifa awe na degree ya pharmacy Awe na umri wa kuanzia 30 – 37 Akiwa Muislam itakuwa poa zaidi Awe anajitambua Nimeweka hiyo sifa kwa kuwa natamani ahudumie watu upande huo hivyo...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Back
Top Bottom