Hivi ndoa ya mkeka ni ndoa..?

Safety last

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2011
Messages
4,235
Points
1,250

Safety last

JF-Expert Member
Joined Mar 24, 2011
4,235 1,250
Wapendwa niko huku kijijini mapinga ,bagamoyo katika harakati,nastukizwa na kundi la watu wanapiga kelele na shangwe wanamsindikiza jamaa kaoa kwa mkeka,nauliza ndoa ya mkeka ni ndoa kisheria ..?
 

Memo

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2011
Messages
2,159
Points
1,225

Memo

JF-Expert Member
Joined Jan 17, 2011
2,159 1,225
Sio ndoa hiyo!

ndoa lazima kuwe na makubaliano ya hiyari kati ya watu hao wawili!

ndoa ya mkeka ni ndoa ya kulazimishia
 

VoiceOfReason

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Messages
5,234
Points
0

VoiceOfReason

JF-Expert Member
Joined Nov 4, 2010
5,234 0
Sio ndoa hiyo!

ndoa lazima kuwe na makubaliano ya hiyari kati ya watu hao wawili!

ndoa ya mkeka ni ndoa ya kulazimishia
Katika source of law pia kuna..... islamic law (hususan kwenye mambo ya ndoa taraka na urithi).....kwahiyo sababu hizi kesi mara nyingi huwa zinakwenda mahakama ya mwanzo nina uhakika kama watu wote ni dini ya kiislamu basi sheria za dini yao zitatumika
 

Mamaya

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2011
Messages
3,891
Points
2,000

Mamaya

JF-Expert Member
Joined Jul 4, 2011
3,891 2,000
Mambo ya ndoa ya mkeka we acha tu,tanga unapigiwa kitu kinaitwa mng'aro,n abaikoko ya madebe mpaka geto kwako
 

chavka

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2011
Messages
224
Points
195

chavka

JF-Expert Member
Joined Jun 21, 2011
224 195
<font size="3">sio ndoa kisheria ni uhuni uhuni tu wa mitaani............njaa za wazazi ndo zinasababisha yote haya</font>
<br />
<br />


Sio njaa za wazazi tena ktk ndoa hiz wazazi ndio wanapata hasara kama muslim. 1.amtafute mfungishaji na kumlipa pili akufate huko uliko ilihali ukitaka ya kistaarabu ww mwanaume ndio umfate bint na mfungshaj umlipe ww. mi binafs nilisha mfungsha dada yangu
 

Forum statistics

Threads 1,353,888
Members 518,423
Posts 33,083,696
Top