Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Ni wanandoa wawili wa huko Marekani,,ndoa yao haikuwa na furaha na hata sex kwao ilikuwa ni ya mbinde sana. Mume alikuwa nyumbani kutokana na mkataba wake wa kazi kuisha katika kampuni...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Salaaam. Wakuu mi naona hakuna haja ya kufanya tendo la ndoa kabla hujaoa/kuolewa. Unakuta mtu yupo na girlfriend au boyfriend wake kwa muda na kwa lengo la kuja kuona ajabu asilimia75%...
14 Reactions
539 Replies
45K Views
Habari wana JF wote kwa ujumla, bila ya kupoteza muda naomba kuja kwenye mada husika. Mimi ni kijana wa miaka 35,ndoa yanagu mpaka sasa inamiaka 5 tuu. Katika kipindi chote hichi tumeishi kwa...
40 Reactions
292 Replies
26K Views
Ni vizuri kujiridhisha na kujihakikisha kwamba u-msafi vya kutosha maeneo yote ya ndani, ya mwili wako hususani unapokua faragha na mwenzi wao.. Mfano maeneo yenye mikunjo na yenye nywele, ya...
7 Reactions
27 Replies
2K Views
Mi binafsi ule wimbo wa Diamond uitwao Baikoko nikiuweka kabla sijaanza shughuli ni Kama vile unaniamshia mzuka na kunifanya niendelee na game kwa muda mrefu. Vp nyie wenzangu ni song gan...
4 Reactions
20 Replies
1K Views
Binafsi nilioa nikiwa na 28 mke wangu muda huo akiwa na 18, Kwa sasa naenda 36 mwenzangu yupo 26 kumekuwa na pattern kubwa ya vijana kutafutana waoane kwa kigezo cha kukaribiana ama kulingana...
10 Reactions
36 Replies
2K Views
Kwakweli huyu binti alinivuruga sana, alikula pesa zangu nyingi sana, alitembea na kila mtu mtaani, sasa ameyatimba. Mpaka wazungu wamemchoka wameamua kutoa jina lake kwa kimbunga. Mahidaya wote...
2 Reactions
14 Replies
915 Views
Wasaalamu, wakati mwingine pombe huwa na busara yake tunamalizia weekend ili kesho tukatumikie taifa tunataka kuondoka jamaa amekuja hapa ametupa one for the road, pia amekuja na mada ambayo...
1 Reactions
19 Replies
913 Views
A 30-year-old from Dar es Salaam is on the loose and craving some dinner company tonight! After a week of work in your lovely city, he's ready to spice up his evening with good food and even...
4 Reactions
37 Replies
2K Views
Nini kimebadilika hapo nyuma ilikuwa lazima utumie ushawishi mkubwa kumfanya mtoto wa mtu ashike mic nakuanza kutuma salama ulikuwa ni mtiti tena hata akituma salamu basi atakosea jinsi ya kuongea...
9 Reactions
15 Replies
900 Views
Habari za muda wana JamiiForums Leo nimeona nije na mada hii tubadilishane mawili matatu juu ya mahusiano. NB: Nikisema pesa huleta mapenzi simaanishi mabillioni au mamilioni ya pesa. Binafsi...
2 Reactions
8 Replies
3K Views
Habari Wana jf Leo nataka niongelee kidogo kitu inaitwa sexy/kujamiiana kwa ufupi Sana, SEXY ni kitu Cha maana Sana hapa duniani maana bila hiyo kitu leo sisi tusingepiga story apa, inafainda...
3 Reactions
12 Replies
869 Views
JE WAZIJUA SIFA KUMI ZA MKE MWEMA? 1. MKE MWEMA HUJAWA NA HEKIMA. Wanawake wengi hawajui kuutumia ulimi vizuri – Ukali, maneno ya mikato, matusi, ukaidi n.k. kwao ni mambo ya kawaida. Wengi...
8 Reactions
56 Replies
36K Views
Mwanamke aliye kwenye ndoa zaidi ya miaka 5 na bado ana vigezo hivi ama mojawapo ya hivi Dharau Majibu ya hovyo Kiburi Muongo Mgomvi mchawi Infidel Hakikisha unakimbia, achana naye maana hakuna...
2 Reactions
3 Replies
453 Views
Mimi sio shabiki wa KATAA NDOA ila kwa hili wapo sahihi OKOA kibunda
14 Reactions
40 Replies
2K Views
JE UNAJUA?? Mashariki mwa nchi ya Siberia wanaume wanabadilishana wake zao ili kuepuka mambo ya imani ya kishirikina?? Kwa imani yao wanaamini Ukifanya hivyo una mchanganya mtu mwenye nia ya...
1 Reactions
5 Replies
783 Views
Mimi ni kijana.. mchangamfu na mcheshi. Umri wangu miaka 26 Mshahara wangu kwa mwezi ni laki 4. Natafuta rafiki wa kike, Comment vizuri nikufate PM Vidume wajuzi mtanisaidia nipate rafik...
6 Reactions
28 Replies
2K Views
Akimaliza kupiga Tangazo mwamba anamtumia Demu wake na yakutolea, lakini unaweza kukuta Demu hata hamjali kivileee!
3 Reactions
4 Replies
564 Views
Wakuu habari. Kwanini Huwa Kuna majuto Baada ya usaliti katika ndoa pindi ndoa inapovunijika, hii ni kwa mwanamke au mwanaume kuwa chanzo. Teña hatari zaidi kwa mwanamke kudanyanywa na mchepuko...
5 Reactions
14 Replies
1K Views
Habari za weekend, Jana kuna dogo wangu mmoja alikuwa wanaongea na mzee na mimi nilikuwepo home alikuwa anawaambia madhara ya kuzaa nje ya ndoa yanayoweza kujitokeza baadae. Alitoa kisa kimoja...
12 Reactions
114 Replies
12K Views
Back
Top Bottom