Morning_star
JF-Expert Member
- Apr 21, 2018
- 4,432
- 12,274
Inakuaje mnafunga ndoa na binti leo alafu siruhusiwi kuondoka na mke wangu mpaka baada ya siku mbili? Nina jamaa yangu leo kafunga ndoa kaja bila mke kisa heti ukoo wake unatakiwa ukae siku mbili ndo uje umchukue mke?