Binti ana miaka 28 ila hajawahi kufika kileleni!

Amicus Curiae

JF-Expert Member
Sep 12, 2012
4,816
6,437
Waliosema kuishi kwingi kuona mengi hawakukosea hata kidogo.

Wakuu, finally nimependa. Sikujua kwamba wakati wa kuoa ukifika basi hutahitaji kushawishiwa au kulazimishwa. Nimepata kabinti kangu ambako pamoja na madhaifa yake na yangu lakini bado tuna-bond.

Kama ni mpango wa Mungu, basi natazamia kumuweka ndani siku za usoni, tukijaliwa uzima. Uzinzi sasa basi.

Nimeweka huu uzi ili nipate maarifa zaidi juu ya maumbile ya namna hii kwa wadada. Tangu nifahamiane na huyu binti tumekutana kimwili mara 2 tu. Kiukweli bado ni mshamba kwenye mapenzi, hana maujuzi lakini nashukuru anafundishika.

Kwenye mahusiano yangu yote ni mwiko kutomfikisha mwanamke kileleni. Huwa najua nimemfikisha kwa dalili mbalimbali, ukumbuke kwamba dalili hizi zinatofautiana kati ya mwanamke mmoja na mwingine, ingawa wapo wanaofeki pia.

Huyu niliyenaye sasa, day one wakati wa tendo alionekana amefika japokuwa sikuwa na uhakika. Ikabidi nimuulize, akanijibu kwamba tangu aanze kuwa kwenye mahusiano hajui mwanamke akifika anajisikiaje! Akasema dalili yake kubwa ni kuloa ukeni, na ni kweli siku hiyo alikuwa ameloa. Bado sikuelewa kwanini katika umri wa miaka 28 bado hajui kama amefika kileleni au la?

Jana ndio day 2, nikasema nibadilishe approach, nikamuandaa kwa muda mrefu zaidi, nikashuka hadi chumvini, aisee alibadilika hadi nikaogopa, kuna wakati aliishiwa nguvu hata macho yakawa hayafunguki! Nikamalizia kwa ku-sex nae.

Nilipomaliza tu akalala kama saa moja na robo ndio akaamka. Wakati huo nilikuwa jikoni namuandalia dinner. Nikashtukia mtu kanibusu kwa nyuma halafu akanikumbatia kwa nguvu! Alichokuwa anasema ni asante! asante! asante!

Ndio akaanza kujisemesha kwamba tangu aanze mapenzi hajawahi kuisikia hali aliyoisikia. Nikamuuliza amejisikiaje? Akasema alivyojisikia havielezeki. Ila alipata raha ambayo hajawahi kuipata kwenye mapenzi.

Mara asifie kwamba nimemuweza. Akasema alivyojisikia alikua anakusikia tu kutoka kwenye stori za marafiki zake wa kike! Wakuu, ile excitement haikuwa ya kawaida. Kwa kifupi alikuwa restless. Nikajua tu kwamba ndio atakuwa amefika kileleni kwa mara ya kwanza!

Kwa maelezo yake anasema amesha-date na wanaume 3 kabla yangu (ingawa wanaweza wakawa wamezidi).

Hivi, kuna binti au mshkaji humu ndani ambaye ameshakutana na experience kama hii? Inawezekana huyu binti ili afike kileleni ni lazima afikiwe chumvini? Kwasababu haiwezekani wanaume wote hao 3 au pengine zaidi wawe nae kwenye mahusiano kwa nyakati tofauti bila kumfikisha!

Au ana tatizo lolote la kitabibu? Natamani sana kumuweka ndani. So please share your experience.

Thank you in advance!
 
Kigezo cha kuoa kama ni ngono tu, you must be a fake man.......
 
Back
Top Bottom