Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Yaani kajitambulisha week mbili ago. Wakwe zake watarajiwa wanamsumbua kuwa atamwoa mtoto wao lini? Hazipiti siku mbili wanampigia au kumtumia msg kuwa asimsahau mwenzie pale kwao. Mashemeji zake...
12 Reactions
37 Replies
3K Views
Hello! Jf family I'm looking for matured women to start a new life chapter with. I'm Christian, 35 yrs with one kid, if you're interested and you're 24 -30 yrs please leave a message in...
8 Reactions
30 Replies
2K Views
Jinsi maisha haya inaonesha idadi ya wakataa ndoa inazidi kuwa kubwa yani siku hizi ndoa zimekuwa kama uchaguzi NEC tanzania. jamaa kavisha pete kumbe pembeni kuna jamaa alishapitia kitambo
1 Reactions
35 Replies
1K Views
NATAFUTA MKE UWE UNAISHI DAR UWE KABILA LOLOTE KASOLO MUHAYA UWE MKRISTO KAMA SIO KUAJILIWA UWE UME JIAJILI UMRI 25_32
8 Reactions
105 Replies
5K Views
Mapenzi hayana mjanja,unaweza kuwa mjanja na ukanasa kwenye penzi kwa mtu mlugaluga hadi watu wakakushangaa, au ukanaza na kuzama kwa mtu malaya. Sasa hii imenitokea mimi.kuna mrembo nimemzimia...
3 Reactions
39 Replies
8K Views
Hiki ndo kizazi bora na ambacho kipo logically . Ndo waasisi Wa kataa ndoa crew Wanazaa kwa mpango Wapo logically Wapo na mental well being. Be blessed , Golden generation.
15 Reactions
96 Replies
4K Views
Katika hali ilozoeleka kusia kutoka kwa mabinti ama madada zetu pale tunapowachumbia ni ile wao wanaposisitiza kushiriki tendo la ndoa pale tu ndoa itakapokuwa imefungwa. Ndoa haijafungwa no sex...
0 Reactions
13 Replies
6K Views
Shaquille O'nel na mpenzi wake mpya wa miaka 21 wakila raha Spain.... Hapa kuna mtu atapata murder case🤣🤣
14 Reactions
67 Replies
3K Views
Tuliozaliwa 1978- 1985 tunarange kuanzia miaka 39-46, tumegoma kuzeeka, sijui kama mnafahamu sababu. Iko hivi, kipindi hicho nchi ilipitia changamoto za kiuchumi, tulikuwa na vita ya iddi Amin...
40 Reactions
130 Replies
6K Views
Ni kawaida watu kuwa na mitazamo tofauti namna ya kuishi. Haijalishi umechukua mwerekeo upi bado kuna changamoto zitakuwepo na hata zinatofautiana uzito. Kuna msemo between two evils choose lesser...
12 Reactions
30 Replies
1K Views
Eti wakuu wanawake wa mjini wa kuunga unga kelele nyingi na njaa ya kutisha. Mjini bwana unapiganiwa hatari mwanamme mmoja inagombaniwa na wanawake wa nne maisha ni magumu sana. Ukiwa mtenda...
2 Reactions
13 Replies
828 Views
Wananzengo Mwanamke wangu huyu hatimae leo kanipa notice yani termination without reason, Huyu mdada nilifahamiane nae kwa bahati bahati tu mwaka jana nilikuwa nampa upendo mapenzi moto moto...
3 Reactions
6 Replies
741 Views
Mahondaw , when I met you... There was peace unknown... I set out to get you... I was soft inside... There was something going on... Mahondaw you did something to me... That I can't explain... I...
83 Reactions
3K Replies
101K Views
Saikolojia ya mapenzi kwa dakika chache bila kukuboa. Binadamu tunaishi kujifunza na kutumikia matamanio ya miili yetu hasa starehe ya mapenzi. umaarufu and power ni nyongeza hisio ya msingi sana...
11 Reactions
71 Replies
3K Views
Hivi ndivyo ilivyokuwa, kama ilivyosemwa na watu wa kale yakuwa shida haina adabu. Ndivyo ilivyotokea kwangu. Haya sasa tulieni niwasimulie, tena mtege masikio yenu msikie habari hii ya aibu...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakuu, nimeoa siyo kwa ndoa au harusi. Jana nimerudi na mke, kwangu geto hapa Dar cha ajabu nimeshindwa kupiga show. Yaani, juzi usiku mzima tumelala nimeshindwa kupiga show. Jana nayo tena mambo...
25 Reactions
135 Replies
9K Views
Vijana oeni mapema Kadri umri unavoenda probability ya kuangukia kwa MTU broken ndio inaongezeka. Umri WA wadada single broken unaanzia 28yrs Umri WA wanaume single broken ni 35+ Ukijichanganya...
9 Reactions
25 Replies
2K Views
Shalom, Dunia ni darasa lefu na linamaudhui yasiyo na mwisho. Pamoja na muonekano wangu wa kipedejee, na vipesa vya kawaida vya kujimudu . Sifa yangu kuu ni Ubahili wenye logic sana, sambamba...
1 Reactions
5 Replies
789 Views
Back
Top Bottom