Hata siku moja usimpende mtu zaidi ya unavyojipenda

Challya

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2019
Posts
469
Reaction score
609
Biggest mistake you can ever make is making someone else's happiness your priority
"I made sure you were happy even when I wasn't" I felt that line🄹

Guys it's ok to be selfish and self centered about your happiness, if it takes so much from you why bother.

1715095409089.jpg
 
Imeandikwa...
Mpende jirani yako kama unavyo jipenda wewe mwenyewe.
Sasa ukitafsiri vizuri utagundua kwamba neno "kama " lilitangulia kabla ya kumpenda jirani yako.
Kuna mdada niliwahi kwambia kwamba....
Haiwezekani uniambie unanipenda wakati wewe mwenyewe haujipendi...šŸ˜
 
Biggest mistake you can ever make is making someone else's happiness your priority
"I made sure you were happy even when I wasn't" I felt that line🄹

Guys it's ok to be selfish and self centered about your happiness, if it takes so much from you why bother.

Unaachaje kumpenda mtu anaifinyia kwa ndani alafu anaachia alafu anafinyia tena ndanii..šŸ˜‡
 
Yani binafsi huwa naumia sana nikiona mwanaume mwenye mapenzi ya kweli anaumizwa hisia zake, ladies ukipata mwanaume anayekupenda na anajitahidi kukupa furaha jilazimishe tu umpende, achaneni na hizi takataka zinazowarubuni kwa kujifanya ni vidume kumbe ni mashetani yaliyojificha kwenye ngozi za malaika tu
 
Nmekupa like kule kaangalie...😃
 
Yani binafsi huwa naumia sana nikiona mwanaume mwenye mapenzi ya kweli anaumizwa hisia zake, ladies ukipata mwanaume anayekupenda na anajitahidi kukupa furaha jilazimishe tu umpende, achaneni na hizi takataka zinazowarubuni kwa kujifanya ni vidume kumbe ni mashetani yaliyojificha kwenye ngozi za malaika tu
Wanawake wanaelewa basii.
 
Kabisa šŸ‘. Mmi ni shuhda wa hilo swala. Nkawa kama vile cybog. Ana nicheat na ananitaarifu kabisa kua ameni cheat. Then kufoka na kuniona kam sinacha kufanya 😶😶
Pole sana mkuu nna imani hutorudia makosa, tangu niyajue mapenzi yanahitaji nini nmeyasahau maumivu kabisa na hayanisumbui.
 
Yani binafsi huwa naumia sana nikiona mwanaume mwenye mapenzi ya kweli anaumizwa hisia zake, ladies ukipata mwanaume anayekupenda na anajitahidi kukupa furaha jilazimishe tu umpende, achaneni na hizi takataka zinazowarubuni kwa kujifanya ni vidume kumbe ni mashetani yaliyojificha kwenye ngozi za malaika tu
well said....unatumia kinywaji gani tafadhali?
 
Yani binafsi huwa naumia sana nikiona mwanaume mwenye mapenzi ya kweli anaumizwa hisia zake, ladies ukipata mwanaume anayekupenda na anajitahidi kukupa furaha jilazimishe tu umpende, achaneni na hizi takataka zinazowarubuni kwa kujifanya ni vidume kumbe ni mashetani yaliyojificha kwenye ngozi za malaika tu
Leo umetusifia jamani tumeblush
 
Back
Top Bottom