Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Niaje wazee, Ipo magic iliyojificha katika kuanza na positive vibes siku inapoanza kutoka kwa wapenzi wetu au hata watu tunaowapenda. Mpenzi wako ana uwezo wa kuifanya siku yako kuwa ya furaha...
1 Reactions
1 Replies
453 Views
Habari za jumapili wanajamii forums Kwa muda sasa nimekuwa nikijiuliza hivi lengo kubwa la kufunga ndoa ni nini.Kinachonipelekea kujiuliza hayo maswali ni kutokana na kutoona tofauti kati ya...
8 Reactions
26 Replies
2K Views
Rafiki yangu mmoja tulikuwa tunapiga nae stori, akaniambia kwenye ndoa kuna mambo mengi uwa inafika wakati mambo yanakuwa ya kinyama sana mfano kununiana, kususana na mambo yanayofanana na hayo:-...
9 Reactions
36 Replies
2K Views
Hello wakuu, Kwanza niseme ukweli mie sio mzuri kwenye kuandika so mtanisamehe Kwa uandishi wangu. Ilikuwa 2019 katikati, tulitangaziwa ofisini kwetu hapa mkoani, kuwa shirika litaleta member of...
24 Reactions
238 Replies
38K Views
Huyu wakala ni jirani yangu, kila muda ninapotaka kufanya miamala ya kipesa huwa nafanyia kwenye ofisi yake Huyu binti nadhani hana moyo wa kupenda, na sidhani kama amewahi kumuonesha mtu dalili...
6 Reactions
39 Replies
3K Views
Hapa nakuja kwenu ndugu zangu najua hapa ni platform nzuri kuweza kupata mke serious hakika naimani hapa nitapata namna nahitaji mwenye mapenzi ya kweli SIFA ZANGU Miaka 36 now Sina mtoto Rangi...
9 Reactions
53 Replies
3K Views
hili lidada tena bahati mbaya au nzuri lilikuwa ni li mke la mtu. pande la mdada hasa. nyuma limefunga trailer linavuta makontena mawili makubwa kabisa. halafu ni wide road.lilikuwa lina sura...
17 Reactions
39 Replies
6K Views
Wasalaam ndugu zangu. Kama kichwa Cha habari kinavyoeleza ,mimi ni mwanamke natafuta rafiki wa kiume (mwenza). Sina vigezo vingi japo nitavitaja kwa uchache kama ifuatavyo: Umri: miaka 40 na...
15 Reactions
66 Replies
6K Views
Habari za jumapili! Zile porojo za Watu waongo kuwa mzazi ni mzazi zinaenda kufutika. Kila siku nawaambia hapa, mahusiano ya Watu yanatokana zaidi na ukaribu wao jinsi wanavyoishi na kutendeana...
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Ipi ni sababu ya msingi inayowapelekea wanawake kuwanyima waume zao tendo la ndoa? Mmelalamika sana, tena sana, zaidi ya sana. Mimi mwenyewe ni mhanga wa hilo. Kama ningelijua hili kabla ya ndoa...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Watu huchanganya sana matumizi sahihi ya haya maneno ambayo hutumika kumaanisha ujumbe tofauti though huonyesha jambo lile lile. Kitendo cha mwanaume na mwanamke kuvuliana nguo na kuingiliana...
3 Reactions
23 Replies
6K Views
Mwanamke Umewahi kupiga punyeto? Umewahi kujichua? Umeshazoea si ndiyo? Unajua madhara yake? Punyeto ni nini? Punyeto ni kitendo cha kujichezea sehemu za siri ili kujisisimua na kujiridhisha...
3 Reactions
53 Replies
14K Views
Kitendo hicho kina madhara kiafya kwao kama ilivyo kwa wanaume, hivyo kukaa kimya bila kulizungumzia hili ni kutowatendea haki. Haya ni baadhi ya madhara anayoweza kuyapata mwanamke anayejichua...
10 Reactions
71 Replies
10K Views
Wakuu nimeleta mrejesho wa nyuzi ya Jana ya vipimo...Kama ilivyo ada Leo asubuh mida ya SAA nne tulikubaliana tukutane tuende Sasa hospital tukahakiki vipimo vya HIV ambavyo tulikua tumeshajipima...
8 Reactions
64 Replies
9K Views
Vijana wa kike na wakiume hususani mnao ishi hostels mnajichu na kusagana mno. Hali hiyo ni hatari sana kwa afya ya uzazi siku za usoni. Hali hii inachochea na kushamiri kwa ongezeko kubwa la...
22 Reactions
117 Replies
10K Views
Habari za muda huu wana jamvi, poleni kwa majukumu na harakati za kila siku za ujenzi wa taifa na kuhakikisha mkono unakwenda kinywani. Bila kuchelewesha muda niende moja kwa moja kwenye mada...
2 Reactions
2 Replies
957 Views
Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Asome mwenye umri kuanzia miaka 18. Lugha itakayotumika inaweza Isiwe Rafiki. Hivyo msomaji kama ni una-mood swing haushauriwi kusoma andiko hili. Ipo kasumba...
5 Reactions
16 Replies
2K Views
MBINU TATU WANAZOTUMIA WANAWAKE KULAGHAI NA KUWADANGANYA WANAUME WAINGIE KWENYE MITEGO YAO. Wanawake Kila kukicha wanagundua mbinu mbalimbali za kuwachota wanaume wajae kwenye akili na mifumo yao...
21 Reactions
67 Replies
7K Views
Habari, I hope Tuesday zenu zaenda poa! Nataka ku-clarify jambo moja to all the males in here.... Kuna vijimaneno maneno kuwa tunapenda pesa sana, ni wachunaji n.k. Mimi naomba niseme NI KWELI...
15 Reactions
146 Replies
9K Views
iko hivi mimi mchaga mgumu sana kwa cash. aisee leo nimekutana na pisi kali sana. sana sana. mzuri sana. kakamilika, (simjui) picha linaanza. moyo ukapata palpation kwanza kama cardiac urgency...
4 Reactions
28 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…