Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Chukuaa nyanya 3 zilizoiiva kabisa. Menya maganda. Ponda ponda zote. Chukua limao changanya kamulia mawili humo ndani. Chukua dawa ya mswaki vijiko vitatu mimina huko ndani mix kwa pamoja. Tumia...
24 Reactions
89 Replies
4K Views
kwa namna na jinsi unavyo vaa mavazi yako, kwa kauli na jinsi unavyoongea na watu, kuchangamana na rika mbalimbali, kuelewana na watu, na kushirikiana na wengine kwenye mambo mablimbali mathalani...
4 Reactions
18 Replies
1K Views
Hakika hawa wanawake wawili ni watu muhimu sana katika maisha ya mume, lakini kila mmoja mara nyingi huwa anahitaji kuwa chaguo la kwanza, na hapo ndipo shida inapoanzia. Nadhani mara nyingi...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Nikiwa ndo kwanza nimemaliza darasa la saba miaka ya mwanzoni mwa 90, kuna binti nilimvusha binti ambaye siku hiyo nilikusudia kutumia condom kwa mara ya kwanza. Kwanza sikuwa nafahamu kwa nini...
4 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari za usiku wana JamiiForums, Kwa muda sasa nimekuwa nikiyatafakari mapenzi. Nilichokuja kugundua ni kwamba mapenzi ni kwa watu dhaifu. Ukitumia akili nyingi kwenye mapenzi nakuhakikishia...
6 Reactions
14 Replies
2K Views
MBINU 6 ZA KUMSAHIHISHA MKEO PALE ANAPOKOSEA PASIPO KUUMIZA HISIA ZAKE. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Ukiishi na Mwanamke utagundua Wanawake NI viumbe weñye makosa mengi madogo madogo àmbayo...
15 Reactions
119 Replies
4K Views
Inakuwaje wanaJamiiForums Kama ilivyo tamaduni yetu WanaJf kushea experience lengo ikiwa ni kuhamasishana kujenga familia, kupeana moyo n.k. Je, mtoto wako wa kwanza ulimpata kwa bahati mbaya au...
10 Reactions
95 Replies
5K Views
Nimefarijika kuona haya maaandamano ya kupinga ushoga na usagaji! Dini ina dhima kubwa sana kwenye hili tatizo lakini kuna makosa kibao na ya wazi kabisa, hivyo badala ya kumaliza/kupunguza tatizo...
4 Reactions
18 Replies
1K Views
Kinachotuuma wanaume sio wewe kugawa nje hapana kinachoumiza ni vile mwanaume mwenzangu kuona utupu wako na kujua uzuri na udhaifu wàko wakati si mmiliki wa mali. Sisi wanaume tukiwa faragha uwa...
9 Reactions
31 Replies
2K Views
Ilianza Send off, hii ilifana sana mpaka nikajiuliza kimoyo moyo harusi itakuwaje! Naam siku yenyewe ikafika haloo, sijui hata niseme vipi ila dah harusi yangu ilifana sana sana! Picha linaanza...
14 Reactions
117 Replies
5K Views
Mimi ni mwanaume natafuta mchumba awe anaishi dar Umri 20-35. Umri wangu 32. Asiwe slay queen. Ajue thamani ya mwanaume Mwanamke serious anifate inbox aache kuchat chat hapa.
7 Reactions
55 Replies
2K Views
Wakuu Mimi ni kijana miaka 30 sasa, nimekuwa nikijihusisha na mahusiano ya kimapenzi na wanawake wa aina tofauti tofauti, lakini mwisho wa siku najiona kabisa nahitaji kuoa mapema hapo mwakani...
18 Reactions
111 Replies
7K Views
Habari wanajukwaa la hili La Moto siku zote. Leo bhana nimekaa nikaikumbuka Ex yangu na kitu iliwahi nifanyia baada ya kuachana. Huyu binti nilikua napiga Miti sana enzi hizo nipo nae yani hadi...
23 Reactions
169 Replies
10K Views
Ni kijana mwenzangu sekta ya afya, mwaka huu mwanzoni aliamua kwenda kutoa posa kwa binti ambaye alipanga aanzishe naye familia. Binti mwajiriwa wa serikali na asili yao ni kanda ya ziwa ila...
40 Reactions
167 Replies
10K Views
Wanajamvi, nataka kuoa Usukumani. Demu mwenyewe yuko hapa Dar lakini tukikutana anakula kuliko mimi. Huwa wanakula nini na nijiandaye kwa lipi kwenye hili la kula?
0 Reactions
47 Replies
2K Views
Shout out to you brothers, wengine kati yenu mna vipaji vya kuelezea story k.v Eric shigongo, wengine mnatoa post zenye falsafa iliyo timamu, wengine kati yenu huwa nikisomaga comments au post...
10 Reactions
24 Replies
1K Views
Asilimia kubwa ya wanachama wa hii kampeni ni jinsia ya Me, na nimefatilia sababu kubwa hasa ya hii kampeni ni kupigwa jeki kwenye tendo la ndoa Kwa hao wapenzi wao. Hii jinsia Ke imeingia kwenye...
0 Reactions
8 Replies
539 Views
Kama Uzi unavyo jieleza! leo ndio nimejua nyumba zinaficha mengi . Leo nimeshuhudia ndoa iliyokuwa inatazamwa kama mfano hapa mtaani kwetu inaishia ukingoni. Baada ya sokombingo kali kati ya mume...
10 Reactions
44 Replies
2K Views
Amani kwenu wakuu. Leo tutaongelea hatari inayomkabili mpiga punyeto kiroho. Ni ukweli usiopingika kwamba asilimia kubwa ya vijana na wazazi wa kileo wamejiingiza kwa nguvu kwenye utamaduni huu...
71 Reactions
559 Replies
114K Views
Usiyoyajua kuhusu mimi 1. Nikishaanza utekelezaji huwa sitaki ushauri katika safari ya utekelezaji. 2. Simwogopi mtu yoyote kwa sababu pia najitahidi kutovunja sheria. 3. Nikiamini jambo...
3 Reactions
16 Replies
840 Views
Back
Top Bottom