Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Uwezi amini jamani, nina mdogo wa mwisho anamika 27 miaka mitano iliyopita alipata mtoto wa kiume. Ila aliyempa ujauzito baadae alioa mwanamke mwingine. Mwaka jana mwezi wa 8 alimpata kaka mmoja...
89 Reactions
674 Replies
45K Views
Habari zenu, Kuna wanawake wanajisafisha sehemu za siri kila siku kama mtu anavyopiga mswaki meno yake. HUU NI UJUMBE WAO TOKA KWA DAKTARI, "Mwanamke Anaejisafisha kila siku kwenye sehemu ya...
10 Reactions
27 Replies
3K Views
Kuna wanaume wengi Sana wanapata tabu na vibomu vya wanawake, na wamekuwa wahanga kweli kweli. Sasa leo nataka kutoa mbinu za kukwepa vibomu hivyo bila kuathiri ukaribu mlio nao . Pia Kama...
7 Reactions
51 Replies
6K Views
Yaani ukiwa handsome hutumii nguvu nyingi, unaweka miadi na mtoto, ukikutana nae, ukivuta tu anakuja kifuani hana pingamizi. Mwishowe anafunguka kuwa alikuwa nakuelewa sana alikua akikuona...
22 Reactions
171 Replies
6K Views
Basi kama ni hivi, nimekatiliwa sana😅
2 Reactions
49 Replies
1K Views
Habari za humu wadau, mimi ni kijana wa umri wa miaka 27, mkazi wa jijini Dar es salaam. Nimepanga na nina kazi. Moja ya malengo yangu nikuwa ikifika mwisho mwa mwaka huu niwe tayari na mke au...
10 Reactions
65 Replies
3K Views
Huyu rafiki yangu (mchepuko) ana ujauzito wa miezi miwili; baada ya kumuona jana jioni hana mishe, nikaamua kumpigia simu ili nimtoe 'out' angalau tukapige kitimoto na maji ya dhahabu...
11 Reactions
93 Replies
3K Views
Eti kuna dawa yakumpata suggar daddy??
6 Reactions
54 Replies
2K Views
Ni mwanamke wa 28 yrs anapendwa sana asipopapenda na maisha ya huku asipopapenda mwanaume ni jobless msomi aliekosa ajira tangu ahitimu 2018 maisha ni ya vibarua lakini kaka anamsihi dada waoane...
2 Reactions
12 Replies
713 Views
Mahusiano yalinitesa sanaa Nikawa wakulialia Nikashindwa ku move on kutokana nilikuwa kipofu sikuona Mlango wa kutokea Nililuzi concentration baazi ya Mipango yangu na Mambo yangu kiujumla...
10 Reactions
93 Replies
13K Views
Gym trainers siyo poa yaani. Soma hapa tena Thread 'JAMANI WAKE ZENU WASIENDE KAJA TANZANIA. 😂😂' JAMANI WAKE ZENU WASIENDE KAJA TANZANIA. 😂😂
13 Reactions
88 Replies
8K Views
KUPENDA KUTEMBEA NA MIPIRA YA KINGA Ukiona mpenzi wako ana tabia ya kubeba kondomu kwenye pochi yake au mfukoni kwa kisingizio kuwa anajali, elewa kwamba yuko katika mahusiano na mtu mwingine...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Habari wanajamvi, Bila kupoteza muda, hivi karibuni nimejikuta kwenye mateso ya kimapenzi baada ya kuhitilafiana na mpenzi wangu. Jinsi ilivyokuwa Nina mpenzi wangu ambaye tumekuwa kwenye...
23 Reactions
59 Replies
7K Views
Habari zenu wakuu, JF ni sehemu ninayoiheshimu na imejaa watu wazima wenye hekima na wanaojitambua natumaini mtanipa ushauri mzuri na wenye hekima. Nipo kwenye mahusiano na binti 24 years old...
37 Reactions
211 Replies
27K Views
Mimi
35 Reactions
338 Replies
21K Views
Hebu kuwa mkweli hapa katika hili jambo, ukiulizwa Leo kwamba mahusiano yamekupa faida gani au maendeleo yapi unawezaje kujibu Vijana wengi tunejikita sana na kutumbukia katika hili janga la...
7 Reactions
25 Replies
1K Views
Mbona kama wangu kazidi haipiti wiki hatujagombana japo najijua mi ndo mkorofi,lakini ananikwaza jamani hanipi mda!!!! Mda wore busy tu inawezekana jamani kuongea ni usiku tu, sasa hapa nimempigia...
6 Reactions
36 Replies
1K Views
Mitazamo ya uzuri wa mwanamke siyo ya kudumu, inabadilika kulingana na nyakati. Enzi za mabibi zetu wanawake wenye mwanya walionekana kuwa ndiyo warembo zaidi. Ikawalazimu bibi zetu kubomoa meno...
6 Reactions
23 Replies
2K Views
Huyo siyo mtu ni kupe, na kama siyo kupe basi hafai kuwa mke, maana hatokuwa msaada kwako. Ndiyo! Kama ameshindwa kutafuta hela kwa ajili ya vitu vidogo kama hivyo unaoa kwa ajili ya nn sasa...
6 Reactions
8 Replies
672 Views
Kwa jinsi tunavyochelewa kuzaa. Ni ngumu sana kuipata familia kama hii ya Mama chinedu. Kama hela ipo kuzaa mapema raha sana.. wote wamezaa wakiwa early 20s.
4 Reactions
6 Replies
559 Views
Back
Top Bottom