Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Huu ni ujumbe muhimu kwa wanawake wote, unaanza hivi..... Ikiwa una mwanaume(umeolewa) maishani mwako, mtunze na umheshimu kwa kila njia. Ikiwa wewe ni mseja , ishi maisha yako kwa ukamilifu...
3 Reactions
1 Replies
488 Views
chukua ndizi 2 Penda pondaa Chukua dawa ya mswaki unayoiua colgate etc vijiji 2 chukua sukarii vijikooo 2 changanyaaaaaaaaaaaa paka asbh na jion nipe mrejesho
3 Reactions
8 Replies
634 Views
Mambo yafuatayo yameorodheshwa kuwa ndiyo tofauti kuu kati ya mvulana na mwanaume 1. Uwezo wa kukabiliana na magumu. Mvulana akipata magumu hulalamika au kukimbia kabisa magumu yake, mwanaume...
3 Reactions
26 Replies
2K Views
What is this jamani? Nikienda kwa kademu kangu ka uswazi, huko napiga mambo mpaka mtoto anadata, anawatukana hadi wazazi wake kwa kuweweseka na raha nimpazo. Nikitaka kujirusha na mama mwenye ndoa...
4 Reactions
94 Replies
8K Views
Nina kibabe changu kidogo dogo kimezaliwa kati ya 2000 - 2005, kipo chuo ndio hawa hawa suppliers wa UTI sugu na yaambatanayo Sasa juzi saa 8 usiku kimenitumia text eti nakipa daddy vibes na...
0 Reactions
2 Replies
570 Views
Shalom, Ama kwa hakika hakuna zaidi ya Mungu, nimeteseka sana na kupambania PisiKali na kuzagamua, I thank God that I have able to maximally refrain from lack of self control sexually. Kwa sasa...
5 Reactions
5 Replies
739 Views
Sasa hapa nimueleweje? Nilikua nampango wa Kupiga Kwa ndom tu, ila sasa inabidi, nimpime alafu nipigie ndomu. Kanikata stimu sana, sema kafanya vizur maana angekuja kama tulivyoonana pengine...
14 Reactions
95 Replies
4K Views
Wanaume wenzangu JF katika hili wala tusibishe ukweli ni kwamba huwa tunaumia na hata kutamani Ardhi ipasuke!!!
5 Reactions
34 Replies
1K Views
Shalom shalom. Mwanamke aliyenizidi umri ananitaka mana nilikuwa nikimsalimia shikamoo anakwepa, ni limwalim wa secondary kanizidi kama miaka 15 hivi. muda wote anataka kuchat usipochat ananuna...
5 Reactions
33 Replies
2K Views
Nimepata mtoto wiki iliyopita. Mama mkwe wangu, mama yangu na bibi wa mke wangu wote tunagombania kitovu cha mtoto. Hatuongei, nyumba imegeuka uwanja wa matukano. Waganga wanaletwa eti kumkinga...
0 Reactions
70 Replies
12K Views
Makubaliano ilikuwa aje for weekend, ile weekend uliyopita, jumatatu nikamuachia posho ya uchafuzi na nauli nikamuonyesha sehemu ya kuweka funguo nikaenda kibaruani. La haulaaa jioni kurudi...
23 Reactions
93 Replies
4K Views
Umri wake ni miaka 26 na jina lake linaanzia na herufi H. Wakati naenda kukutana nae kwa mara ya kwanza I thought my friend was joking with me. Kwa sifa alizo kuwa anampa kwa sababu alikuwa...
9 Reactions
40 Replies
3K Views
Salamu wanajamvi. Niende kwenye mada moja kwa moja. Tuishi nao kwa Akili, ni moja ya msemo uliotolewa kwenye maandiko na watu wengi hupenda kuutumia pale linapozungumziwa suala la kuishi na...
4 Reactions
20 Replies
1K Views
Aisee unajua tunaweza kuwa tunabishana kuhusu kataa ndoa sijui kubali ndoa lakini hatujui maana yake vizuri. Ndo maana Nina swali je mnachomaanisha ni hamtaki kabisa kuishi na mwanamke pika pakua...
11 Reactions
37 Replies
2K Views
Wasalaam wana jamvi, Kama kichwa cha huu uzi kinavyosema na nimeamua kuanzisha huu mkasa ambao ni wa kweli kabisa ulishawahi kunitokea kipindi cha nyuma miaka kadhaa iliyopita. Na huu mkasa...
28 Reactions
310 Replies
15K Views
Mwanaume hakuumbwa kulelewa. Mwanaume ukikubali mwanamke akulee unajidhalilisha na utadhalilishwa utake usitake. Wanaume tafuteni vyenu acheni kupenda mteremkoo. Muoneni mwenzenu...
2 Reactions
5 Replies
579 Views
Kwema wakuu, Vipi huwa inawachukua siku ngapi au miezi mingapi mpaka unamla demu unayemfukuzia
6 Reactions
36 Replies
2K Views
Mtanisamehe kwa ninyi ambao ninapozungumzia maisha mazuri huwa mnakasirika. Mtanisamehe maana ndo experience niliyo nayo. ni ngumu sana kwa mtu mvuvi kuzungumzia vizuri habari za kilimo, ndio...
78 Reactions
170 Replies
24K Views
In natural mwanamke yeyote huwa anajisikia vizuri Sana akihudumiwa na mumewe hasa kwenye mahitaji ya msingi na extra. Unapogharamika kwenye mahitaji yake kwa kumnunulia mavazi akawa wa kuvaa na...
8 Reactions
26 Replies
1K Views
Sio kwamba namchunguza, ila natamani namimi niishi life style kama yake, mana wengine tunachapika na maisha huenda kuna watu wana shortcut. Ni miaka miwili tangu amalize nyumba yake na kuhamia...
41 Reactions
131 Replies
10K Views
Back
Top Bottom