Habari wana jf, kwakua watu wametumwa kuja kujaza dunia basi wameamua kuongeza usiriazi kwa ongezeko la watoto wa nje ya ndoa na wadada ambao wako mashuleni kupata kujifungua wakiwa bado wanasoma...
Nilitoka mkoa wa Dodoma nikiwa naelekea Songea kwenye makaa nilipofika mkoa wa iringa nikasema ngoja nipoe kimtindo maana ilikuwa usiku kutokana na baridi ya pale Mafinga nikamwambomba...
Hello,
Nahitaji mwanaume mtu mzima wa kunihudumia na mature. Akiwa Arusha itakuwa vizuri zaidi.
Nitakupa Amani, heshima na penzi zuri baba.
Zingatia neno: Uwe Unajua KUHUDUMIA.
Poleni na utafutaji pamoja na mihangaiko,changamoto mlizopitia, ningependa kujua kwanini wanawake wa kizazi hiki akipata mwanaume atakae mlidhia yeye basi hua na amani kama akishi nae bila hata...
Tunatembea na maumivu.... And unfortunately we don't realize it until it's rather late and we are projecting on the very people we are meant to protect.
The journey to healing trauma or...
Uzalendo umenishinda namimi nimepata mdada wa aiefuemu, aloo hiyo miguno yake na mapozi mpaka natamani nimhonge bandari yangu nirudi kwetu Dubai na makobazi yangu tu.
Katoto kana sauti tamu, sio...
Mwanaume mwenye maono anapaswa kuelewa kwamba upendo ni sehemu ya maisha, si maisha yote. Makosa ambayo wanaume wengi wema na wanyenyekevu hufanya ni kuweka nguvu zao zote kwenye uhusiano huku...
Maendeleo yameua swaga nakwambia. Watu siku hizi wanajidaiii eti wana swaga, aa wapi! swaga zilikuwa zamani bwana. Enzi hizo za redio moja, mtu ukitoka kijijini na kuweza kuja kukaa mjini hata...
Ukifika nyumbani toka kazini anakukumbatia anakubusu na kukuambia pole. Wakati wa tendo anakukumbatia kwa nguvu anakushika mgongo na kichwa, anakubusu na deep kiss, mbona nakuapia hautachepuka...
Jiulize
Kwani biblia haikuona mwanaume???
Wanajua vyanzo vya matatizo kwenye ndoa n wanawake
Na ndio maana wanaume tukaongezewa tuishi nao kwa akili
Sio miguu wala mikono
Nawakilisha
Nilihisi Duniani Nimeona Vyote kumbe Nimeona Vingi Na Si Vyote,Kuna Mdada Humu JF Kaitisha Maandamano ya Hisia zangu Moyoni Juu Yake,
Macho Yangu Yamemlasimisha Hakuna kama Yeye Ana Shape Namba...
Ukistaajabu ya Musa, utayaona ya Klarensi Usakazi (86), mkazi wa Kitongoji cha Mbisi, Tarafa ya Chipanga, Wilaya ya Bahi mkoani Dodoma, aliyeamua mtalaka wa mtoto wake ‘mkamwana’ aitwaye Mary (20)...
Kuna wakati inabidi ukweli uwe wazi ili upate amani ya Moyo.
Mimi Nusratt Mohamed, Nimechoka kuwa muuzaji.
Nimechoka na hii kazi,
Nimechoka kuwa dada poa,
Nimechoka kudhalilika kwenye jamii...
Huu Ujinga wa Kulea Mikoj ya Wanaume Wenzenu Kisa Upendo Uishe, Single M. Komaza Shingo Uone Kama Hujafukuzwa
ngoja niwape ukweli nyie wanawake mliozalishwa na kutelekezwa mkaokotwa.
Hivi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.