Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kuna dada mmoja wa Jf kanitumia ujumbe kusema hata wao pia wanacheki cheki washikaji. Haswa kifua. Kina dada kuna ukweli hapa na mkicheki, mnaangalia nini?
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Kuna msichana nilikuw ana mahusiano naye kwa kipindi cha kama mwaka mmoja. Kutokana na kushindwana tabia tukaachana mwezi wa kwanza. Sasa amepata habari kuwa nina mwanamke mwingine amekuwa...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Mdogo wangu kaniajia ana matatizo katika ndoa yake waliyofunga miaka nane iliyopita. Anasema liwalo na liwe hata kama ni kuvunja ndoa hiyo ivunjike kama mkewe hatafuata utaratibu wake. Hawa...
0 Reactions
55 Replies
6K Views
Mara ya Pili... Fikiria wewe ni mwanamke ambaye baada ya kuishi na mwanaume kwa muda unaoujua wewe na kwa sababu unazozijua wewe mwanaume hayupo tena na wewe. Amekuacha na mtoto/watoto na...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nimetatizwa siku moja na inabidi niulize; hivi mtu anaweza kula huku amelala? Maana nasikia wengine wanaweza kukurupuka usingizini wakapika na kula na kurudi kulala! Wengine hata kukumbuka kuwa...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Father 'strangled his two children with internet cables after discovering wife had used online dating website' Last updated at 5:56 PM on 22nd March 2010 A jealous husband...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Auditing Hadi Chumbani! Kuna wakati mwanandoa mmoja anajikuta yupo ndani ya ganda la yai (eggshell) kwa maana kwamba anajikuta anakabiliana na mke au mume ambaye anadhibiti, anayeamulisha...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Memeth J akificha sura yake baada ya moto kwenye danguro alilokuwemoSunday, March 21, 2010 7:06 PM Moto uliozuka kwenye danguro la mashoga nchini Uswizi ulisababisha wateja wa danguro hilo...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Ukuni wangu! Isije kuwa ukubwa tu na ndani hakuna Risasi! Samahani mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 42 tatizo langu ni kwamba ukuni wangu hauwezi kusimama kwa muda hata dakika 3. Ukweli...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nimpe? Hupati kitu hadi ndoa kwanza! Kaka asante sana kwa blog hii na tunajifunza mambo mengi sana kuhusu ndoa na mahusiano. Mimi ni mdada ambaye kweli Natamani kuolewa hata hivyo mchumba...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Voyeurism ni maradhi ya kisaikolojia ambapo mwenye maradhi haya anakuwa na tabia ya kupenda kuangalia watu wasio na nguo. Mtu mwenye maradhi haya huitwa kitaalamu Voyeur (inasomwa vouya). Kwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Personally thread ya Diana-Dabodiff akijitambulisha kwa JF na majibu aliyopata iliniacha hoi. Sijawai kufurahia thread nyingine kama nilivyoifurahia hii Diana-dabodiff ndani ya nyumba...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Malawi gay couple face full trial Steven Monjeza (L) and Tiwonge Chimbalanga (R)...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
By giving your arguments, yupi anayefaa kumuoa au kukuoa? A) Uliyempenda sana B) Aliyekupenda sana
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Kichwa kwanza, Moyo Baadae! Unapotafuta mchumba "tumia kichwa chako kwanza" na tumia moyo wako ukisharidhika naye. Katika ndoa kuna namna tofauti ya kupambana na matatizo au kutoelewana au...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
It's official: Marriage DOES make you fat... Men and women twice as likely to be clinically obese after tying the knot Last updated at 3:23 AM on 20th March 2010 It is often said that...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Hebu nisaidieni, kuna dada anasema eti sisi wanaumme tukiona kitu kizuri lazima tukikague kwa macho. Amepatia?
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Tunabeba zaidi ya mabegi! Baadhi ya wanawake huamini kwamba wanaume wote ni waongo (cheaters) kwa kuwa ndicho ameona wanaume wanafanya au familia aliyokulia na kulelewa wanaume/mwanaume...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ni Upofu! Badala ya kutumia kichwa wanatumia moyo na matokeo yake ni upofu uliokithiri! Hivi hujashangaa wachumba wanavyoingia kwa mbwembwe kwenye ndoa na Wakati mwingine haraka haraka na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…