Eti mademu pia wanaangalia

Soulbrother

JF-Expert Member
Apr 14, 2009
405
14
Kuna dada mmoja wa Jf kanitumia ujumbe kusema hata wao pia wanacheki cheki washikaji. Haswa kifua.

Kina dada kuna ukweli hapa na mkicheki, mnaangalia nini?
 
heheeeee
'that guy is sexy'!!!........kiivo

@ICU na Paka Jimmy mn kasirika nini sasa huyo king of kings kajioa mwenyewe nfo maana bro kamuuliza .....hebu changieni msitafute visingizio
 
ukiona demu kakutokea akakuambia anakupenda kuwa mwangalifu labda kapenda prado yako akashindwa kujizuia na kutofautisha kakupenda ww au prado lako
 
Sio kucheki cheki tuu, kuchagua haswaaa, maana kuna wanaume wengine mwenzangu wanamaumbo mabaya, maana unakuta mtu mrefuuuu, mh! hapo hata kwa kunitongoza miaka sitakubali maana siri tunaijua sisi wenyewe. Au mwingine kafupiiiii, huyo hata akijaribu ataishia kuambiwa i'm sorry nina mtu hata kama mtu hajapatikana, siri tunaijua wenyewe. Lakini kila mtu anachaguo lake huu ni mtizamo wangu tuu, na msimamo wangu mimi kama sydney. Wakaka humu JF kama umeguswa unisameh,e lakini nachangia kama nionavyo ama nifikiriavyo. Mimi kama mimi Kifua muhimu haswa kile kilichojazia jazia, ama chamazoezi zoezi, sura, na uvaaji, swala la akili na how muhusika anavyobehave, hili huwa linakuja baada ya HABARI GANI NDIO MWANZO WA KUJUANA.
 
ni kweli kwani nao si ni binadamu wanawezaq kumaindi hata story zako akachachawa ukachukua mzigo mwanawane
 
SO..kama kazimika na kifua cha gym siku mtu mzima majukumu yanazidi na gym naipotezea na msosi unagomba so nakuwa kitu flani cha kimodel hivi ndo wife ananimwaga AU AMAAAA??....maana naona vijibinti vya sikuhizi vinashindwa kutofautisha KUPENDA na KUTAMANI...
 
Mi ninachojua ni kutafuta hela, kwa sababu naamini kila kitu kitawezekana nikiwa na pesa!! Nakumbuka kipindi nisoma undergraduate Nairobi University...baadhi ya warembo niliowataka walikuwa wananinatia sana!! Uliza siku hizi...........kila mmoja ninayempita ananikodolea mimacho!! Nikitania tu kwamba tukae sehemu tuzungumze basi ndo mchezo umeisha.

Naamini wananipenda mimi kidogo na ila pesa zangu zaidi. Kuna rafiki yangu aliwahi kuniambia kwamba uchawi wa kijapan ni nomaaaaaa.......hakuna binti anayeruka kwenye ulimbo wa kijapan!!

This is my point of view, sorry kama nitamu offend mtu!!
 
Back
Top Bottom