Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Jamani msinilaumu sana lakini hilo limenitokea mimi mwenyewe na nimeuliza baadhi ya rafiki zangu nao wameniunga mkono. Yaaaaaaaani, sijui nguvu huwa inatoka wapi!! Wakati fulani nilienda tripu nne...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Wasalaam, Sina uhakika kama taarifa hii imewahi kutolewa hapa. Nimewahi kupita ila sijawahi kuishi hapa. Nchini Afrika ya Kusini kuna Condom ya kike imezinduliwa (muda kidogo umepita)ambayo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wana JF, kauli hii ya mada tayari nimeshaisikia kutoka kwa wavulana wengi ambao wamejibiwa hivi kutoka kwa "marafiki zao wasichana" baada ya kuwataka kwa zaidi ya "urafiki". Binafsi naamini...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
mimi jamani nilikua na swali? kuna umuhimu gani kufunga ndoa kisha mnakorofisha mnanyimana unyumba kwa zaidi ya miaka mitano japo hakuna anayeshitukia dili katika familia lakini nyie mambo yenu...
0 Reactions
34 Replies
5K Views
This is funny and real! Read it. When darkness falls and were apart Can love heal this lonely heart I love you dearly that I do Sleep is good when dreaming of you With all my love I give to...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Guys JF, why is it when you see same people in the same place everyday, you never say hello but when you see them somewhere different, it's all smiles and hellos?
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kuna gari naikodi, nimeipenda ikiwezekana niinunue moja kwa moja, kwasasa naitumia ninapo ihitaji. Dereva wa hili gari amekuwa na tabia ya kunawa kila tunapofika kituoni hata kama safari bado...
0 Reactions
96 Replies
8K Views
A couple that has been married for 20 years were both recently diagnosed with diabetes. Findings later showed that they both contracted the disease as a result of the names they called each...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wana JF nawasilimu wote. Kwanza samahanini maana hii najua haitawahusu wote maana hapa tupo watu wa dini na mitazamo tofauti. Jana nilienda kwenye mkutano wa Mwakasege na nilipata mafundisho...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Natumaini nyinyi ni wazima wa afya. Naombeni unitatulie ili jambo kwa kunisaidia kwani nina girl friend siku nne zilizopita kaniambia anaisi ana mimba ila mimi ninamashaka kwani ameniambia haoni...
0 Reactions
48 Replies
5K Views
Nashindwa kufanya maamuzi.nisaidieni mawazo.yanisaidie kufanya maamuzi. Nina wasichana 2,mmoja ni mchumba wangu,uchumba wetu una miaka 3 sasa,na tumetoa zaidi ya mahari.nilimpromisse kumuoa mwaka...
0 Reactions
57 Replies
5K Views
Ukistajaabu ya Musa utayaona ya .... Kuna jamaa huku Shinyanga amefumwa akinadi viungo vya mke wake baada ya kumchinja, amekutwa na kichwa, matiti pamoja na kikojoleo. Kibaya zaidi alikuwa ananadi...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
ndugu zangu, nina hili suala ambalo linanitatiza sana, naomba ushauri wenu wa dhati. mimi ni mama (48yrs old), nimeolewa nina watoto watatu (22, 18, 16 yrs), naipenda familia yangu, zaidi sana...
0 Reactions
48 Replies
5K Views
"Pale" aliponiuliza, miye niliona vibaya kutomjibu, na nilimjibu kwa namna yangu. Nilizidisha idadi ya wale niliowahi tembea nao mara mbili ili kumwona kama atavumilia na kuhimili kishindo cha...
0 Reactions
55 Replies
8K Views
Je umesha wahi kupewa cheo kazini kwa walioajiriwa? Ukipewa cheo kazini inakua kama vile ndiochanzo cha kutengana na wenzio. Ukiwakuta wanapiga story na ukijiunga nao (wakati wa lunch time kwa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mambo vipi wana JF??!! Mimi nina Girlfriend wangu nampenda sana, lakini hivi karibuni kametokea kabinti mtaani kwetu kananizimika sana kiasi kwamba kameshindwa kuficha hisia zake kwangu! Tatizo...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
  • Closed
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari Wapendwa. Nahitaji jinsi ya kumwambia huyu binti ili aelewe lakini sijui nitamwambiaje?msaada tafadhali. Yuko kwenye ndoa anatimiza mwaka wa tatu sasa.ila kabla alikuwa akiishi na huyo...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Habari zenu wandugu wa jf! Juzi boss we2 kamfukuza mfanyakazi mwenze2 kazi ni sawa? Kwa kifupi huyu mfanyakazi alimpigia sm mume wa mwenzake wanaofanya kazi secta 1 ofis 1 na kumwambia kwamba et...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
mve to jukwaa la wakubwa Masharti na vigezo kuzingatiwa USISOME KAMA UKO CHINI YA MIAKA 18
1 Reactions
13 Replies
14K Views
Back
Top Bottom