Why is it...? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Why is it...?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mkasika, Mar 17, 2011.

 1. Mkasika

  Mkasika JF-Expert Member

  #1
  Mar 17, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 393
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Guys JF, why is it when you see same people in the same place everyday, you never say hello but when you see them somewhere different, it's all smiles and hellos?
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  Mar 17, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Ili uonekane unawajua...
   
 3. sweetdada

  sweetdada JF-Expert Member

  #3
  Mar 17, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 540
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Lizzy leo uko short and clear..lol :lol:

  Ila kweli..nimeipenda hiyo
   
 4. h

  high IQ Member

  #4
  Mar 17, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni sawa na walio majuu, ukikutana na mbongo lazima umsalimie coz u feel much closer to him/her there
   
 5. Mamuu55

  Mamuu55 Member

  #5
  Mar 17, 2011
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 44
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Aibu kuonekana
   
 6. Negrodemus

  Negrodemus JF Gold Member

  #6
  Mar 18, 2011
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 2,130
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  unafik na kujifanya wajulikanaaaaaaaaaaa kumbe mavi tu mi crespond chochote kama tusi likigoma kutoka
   
 7. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #7
  Mar 18, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hehehe ila ndo ukweli huo dada!Yani siku zote unanipita kama hunijui alafu ukinikuta ugenini unanichangamkia like never before?Usanii tu na kujipendekeza!
   
 8. LD

  LD JF-Expert Member

  #8
  Mar 18, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Labda niseme hivi, kuna ile kwa mfano mpo chuo au shuleni. Mnaonana tu mnajuana kwa sura, lkn hampo karibu kivilee wala hamsalimiani, lkn mnaweza mkajikuta mnakutana sehemu nyingine ya tofauti kabisa na chuo shule. Mkasalimiana hata na kukumbushana mlionana wapi!!!!
   
 9. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #9
  Mar 18, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Sina la kuongeza
  Umesema kama ilivyotakiwa
  Asante dada mzuri ....
   
 10. T

  Tasia I JF-Expert Member

  #10
  Mar 18, 2011
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 1,226
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  is t like this? i see it bit different.
  me hua natoa hai, labda kama mda haujapita tangu tulipoonana mara ya mwisho.lakini kama ni jana kwa mfano!! hutoa hai kwa kweli.
   
 11. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #11
  Mar 19, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  kujipendekeza tu
   
 12. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #12
  Mar 20, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Labda tu kuona hiyo ni sehemu mpya mmekutana mnajiona mnajuwana before
   
 13. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #13
  Mar 20, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Halafu kuna ile unakutana na mtu kila siku ila wewe ndio uanze kumsalimia, ukiuchuna na yeye anauchuna.
  Mashauzi tu na kujisikia.
   
Loading...