Mwanaume afumwa akinadi viungo vya mkewe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwanaume afumwa akinadi viungo vya mkewe

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Fidel80, Mar 19, 2011.

 1. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #1
  Mar 19, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Ukistajaabu ya Musa utayaona ya ....
  Kuna jamaa huku Shinyanga amefumwa akinadi viungo vya mke wake baada ya kumchinja, amekutwa na kichwa, matiti pamoja na kikojoleo.
  Kibaya zaidi alikuwa ananadi mbele ya polisi akisema kuwa anauza nyama.
  Sijui ni ugumu wa maisha au alimchoka huyo mke wake bado ni siri yake huyo jamaa.
   
 2. Susy

  Susy JF-Expert Member

  #2
  Mar 19, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 1,450
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  ama kweli siku za mwisho tutaona mengi!!
   
 3. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #3
  Mar 19, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Umesikia kuna kijana nae ametokewa na Bikira Maria amejibu mapigo ya babu Loliondo
   
 4. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #4
  Mar 19, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  Khaaa!
  Alimuoa ili amchinje au...
   
 5. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #5
  Mar 19, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,135
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Fidel bana uko Shinyanga sehemu gani mbona mimi hiyo story sijaisikia na mimi niko hapa Ngokoro majengo???
   
 6. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #6
  Mar 19, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Mi nipo Kahama hapa
   
 7. Susy

  Susy JF-Expert Member

  #7
  Mar 19, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 1,450
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  ha ha hahaaaaaaaaaaaa, nimemsikia ati Fidel180

  ila huyo ni pepo sio Bikira Maria, kwa wale wenzangu na mie watanielewa nini na maanisha!!
   
 8. Susy

  Susy JF-Expert Member

  #8
  Mar 19, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 1,450
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  da dena, mbona wamemtangaza sana naye?? ila huyo mchakachuaji tu!!!
   
 9. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #9
  Mar 19, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,135
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Aisee ngoja nitasikiliza taarifa ya habari sikusikia kabisa kwa hiyo issue imetokea Kahama sio?
   
 10. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #10
  Mar 19, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,135
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Sikusikia mwaya ngoja nitasikiliza taarfa ya habari
   
 11. Hute

  Hute JF-Expert Member

  #11
  Mar 19, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 6,062
  Likes Received: 3,928
  Trophy Points: 280
  ana moyo mgumu sana, ameking'ofoa kitu kitamu kile, hadi kinatoka, anakikata kama nyama..dah, uyo namwonea huruma...either akili kumkichwa imechanganyikiwa au amelogwa..
   
 12. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #12
  Mar 19, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Kula 10 kama na wewe bado unayo hiyo kama ya mama wa Yesu
   
 13. Susy

  Susy JF-Expert Member

  #13
  Mar 19, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 1,450
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  thanks !!!
   
 14. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #14
  Mar 19, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kwahiyo huko watu wanakula viungo vya wanawake?
   
 15. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #15
  Mar 19, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,469
  Likes Received: 3,742
  Trophy Points: 280
  Binadamu wamekuwa wabaya kuliko simba
  hawa waganga wa kienyeji wanacheza na akili za watu kweli
  masikini mama wa watu amekufa vibaya huyo
  MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALA PEMA PEPONI
  AMINA
   
 16. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #16
  Mar 19, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Anatakiwa akachunguzwe akili
   
 17. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #17
  Mar 19, 2011
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Du! hali ni mbaya! :hatari:
   
 18. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #18
  Mar 19, 2011
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Obvious1 atakuwa hayupo sawa huyo!
   
 19. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #19
  Mar 19, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Sipati picha kikojoleo cha mwanamke alikikataje mweh huyu jamaa noma
   
 20. Dr wa ukweli

  Dr wa ukweli JF-Expert Member

  #20
  Mar 19, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 892
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  mbaya zaidi alikuwa anawauzia mapolisi, alipeleka kwa polisi wanaolinda bank ya nmb kahama wao wakamwambie hawatumii hiyo kitu ila wakamwagiza kwa wenzao wa crdb wanatumia, masikini kijana wa watu akapeleka kwa polisi wanaolinda bank ya crdb, wale polisi kabla hawajalipia wakataka kuangalia ndani, ndio wakakuta hivyo viungo! alipohojiwa akadai kaambiwa ni dili akaamua kumchinja wife ajipatie kipato.
   
Loading...