Tatizo la kupewa cheo kazini. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tatizo la kupewa cheo kazini.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Prime Dynamics, Mar 18, 2011.

 1. P

  Prime Dynamics JF-Expert Member

  #1
  Mar 18, 2011
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 524
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  [FONT=&quot]Je umesha wahi kupewa cheo kazini kwa walioajiriwa? [/FONT]
  [FONT=&quot]Ukipewa cheo kazini inakua kama vile ndiochanzo cha kutengana na wenzio. Ukiwakuta wanapiga story na ukijiunga nao (wakati wa lunch time kwa mfano) ghafla wanakaa kimya au wataanza kuondoka mmoja moja na kuacha mwenyewe. Unaanza kukumbuka siku ambazo mlivyo shirikiana kimawazo kabla ya cheo. Marafiki wengine wataanza kuonyesha wivu. [/FONT]
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  Mar 18, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Wivu...roho mbaya ndo vinasababisha!Mara nyingi hua wanaassume kwamba utakua unajiona sana kwa kupandisha cheo kwahiyo wanakuona sio mwenzao tena!
   
 3. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #3
  Mar 18, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Kupewa huku huna vigezo au?
  Lazima wakumind.
   
 4. T

  TEGEMEA JF-Expert Member

  #4
  Mar 18, 2011
  Joined: Jan 25, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Vyeo vya nini tufanye kazi jamani!.
   
 5. Chapa Nalo Jr

  Chapa Nalo Jr JF-Expert Member

  #5
  Mar 18, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 6,375
  Likes Received: 3,207
  Trophy Points: 280
  Ni lazima iwe hivyo kwani kwa wakati huo tayari ni boss, unless unaongelea hutu tu vyeo/grades ambavyo havikupeleki kwenye ubosi kiviiile.

  Ukiwa boss tafuta wa saizi yako/maboss wenzio na utafurahia, jua mambo haya sio kwenye agemate tu bali hata ngazi za mamlaka/ubosi pia
   
 6. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #6
  Mar 18, 2011
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  hii thread ipeleke next door .....hapa choo cha kike.
   
 7. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #7
  Mar 19, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Cheo ukipewa kokote usibadilike sana utatengwa
   
 8. 2my

  2my JF-Expert Member

  #8
  Mar 19, 2011
  Joined: Jan 30, 2010
  Messages: 289
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  bora utengwe ila kazi ifanyike!!!!!!!!
   
 9. P

  Prime Dynamics JF-Expert Member

  #9
  Mar 19, 2011
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 524
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Hii nisehemu ya urafiki wa kawaida pia. Sio mapenzi ya ngono pekee.
   
Loading...