Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wakuu, Nimefanya kautafiti kangu kadogo kwa kuanzia na marafiki zangu na watu walio karibu na mimi na nimegundua wanaume wengi kabla hawaja Engage wanakuwa wamechovya sehemu nyingi sana...
0 Reactions
73 Replies
7K Views
Wanandugu hope mu wazima, Hivi tofauti ya haya maneno ni nini?Nakupenda Nakutamani, Nakuhitaji. maana ya maneno haya matatu kwenye mahusiano ni nini? Kuna shosti wangu analalamika kuwa mchumba...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Nina mshikaji wangu mmoja hivi. Tunaelewana sana ila ana shida kidogo. Anapenda totos kwa sana. Tatizo lake ananambia kuwa akido tu nje mywife wake humuuliza kesho yake jana ulikuwa wapi na nani...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Naomba hisia zenu wadau..hivi ushawahi 1.kutongoza/tongozwa na bubu? 2.kushuhudia bubu anavyolia anapoondokewa na mpenzi wake..nazungumzia msiba wa gf/bf wake? Mimi sijawahi ila nina imani...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Popobawa akikutembelea eti lazima umtaarifu mkeo au mumeo au hata watoto kuwa umetembelewa ndio aache mchezo wake na kuhamia kwingine.Je kuna ukweli wowote!!!Kuna mtu mwenye taarifa sahihi au...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
You don't always have to be in a relationship. Just relax, spend some time to get to know yourself so you can function in a relationship.
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Mshua kagomakabisa nisitinge Loliondo, kila nikimstua ujue ananipa zipi? Niweiti mpaka amalizane na projekti flani ambayo inamfanya awe bize sana. Sasa basi... Washua kama hawa ujue ndio...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Ajinusurisha polisi kwa kujeruhi mke kwa wivu wa kimapenzi Friday, March 18, 2011 10:38 AM KIJANA mmoja jina kapuni [34] mkazi wa Yombo amejinusurisha kituo cha polisi baada ya kumjeruhi mke wake...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ni kama wiki sasa kwenye magazeti ya udaku habari ikiwa ni SHYROSE-jaffarai jafffarai anadai ni mchumba wa SHYR kwa miaka minane na walipanga kupata mtoto. Hivi inaingia akilini miaka minane No...
0 Reactions
65 Replies
7K Views
Y!mwanamke akimfumania mmewe ni rahisi kumsamehe kuliko mwanaume umfumanie mkewe itakuwa vp!!
0 Reactions
14 Replies
2K Views
wasalaam wanajamii!! mimi nimekuwa nikijiuliza sana jinsi jamii yetu ambavyo imekuwa ikibadilika kwa kasi ya ajabu hata kwenye maswala ya mahusiano na mapenzi kwa ujumla haswa kwa kuiga tamadduni...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mwingine huyu hapa! Apoteza maisha kwa kuudhiwa na mke Thursday, March 17, 2011 10:57 AM MKAZI wa Mbezi Juu Mtoni jijini Dar es Salaam, aliyefahamika kwa jina la Shabani Kihundo (30), amekutwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ampeleka mumewe polisi Thursday, March 17, 2011 10:41 AM KATIKA hali ambayo haijazoeleka katika jamii, Fatma Mussa [50] mkazi wa Gongolamboto amempeleka mumewe polisi kwa kuchoshwa na vipigo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mtoto ni baraka katika familia husika lakini pia anaweza (mtoto) kuwa chanzo cha kupunguza kasi ya mapenzi kati ya wanandoa. Hali hii huanza baada ya mwanamke kubeba mamba, kwavile mara nyingi...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Miss Ireland: 'We're so in love, we don't care what racists say about us' 20th March 2011 Stunning Miss Ireland Emma Waldron told yesterday in a forthright interview how she will never...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
wana jaimii naombeni mwongozo hivi pete ya uchumba ana vishwa mwanaume na mwanamke au mwanamke tu maana rafiki yangu mmoja anataka kuvishwa na demuwake je hii ni sahihi nawasilisha
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Yani mimi napenda sana niolewe na maskini ili nimtunze mimi! Ukweli hakuna anachoweza kukosa kwangu na uzuri vyote ni haki na vya kupewa na Bwana. Sasa eti nimejaribu sana kutafuta maskini ila awe...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Naitwa Jef umri miaka 31( jinsia:mwanaume)natafuta mchumba umri miaka 23-31,sibagui dini,kabila,rangi,umbo wala elimu.mawasiliano:0713680829,Juma_Jafari@yahoo.com
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Habarini friends, Hapa ofisini nina mfanyakazi mwenzangu, tumezoeana na kuwa very close friends. Yeye kaolewa huu mwaka wa tano na mumewe kwao wanajiweza kifedha (wakwe), karibu kila siku...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ni kwa nini wanaume wanaogopa mwanamke mwenye uwezo??? yaweza hata isiwe sana, labda kama wake au kampita kidogo tu.. tatizo nini Jamani??
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…