Alohaaaaaa!!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Alohaaaaaa!!!!!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mishemtaa, Mar 20, 2011.

 1. M

  Mishemtaa Member

  #1
  Mar 20, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Y!mwanamke akimfumania mmewe ni rahisi kumsamehe kuliko mwanaume umfumanie mkewe itakuwa vp!!
   
 2. Shantel

  Shantel JF-Expert Member

  #2
  Mar 20, 2011
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 2,021
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Wanawake tumeumbwa na huruma sana ndio maana tunakuwa hivi
   
 3. Dumelambegu

  Dumelambegu JF-Expert Member

  #3
  Mar 20, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,052
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Kama ni mimi nimemfumania mke wangu nitamuuliza mume mwenzangu kwamba 'vipi rafiki yangu mbona hatuombani???' halafu nitamshika mkono mke wangu na kumwambia 'twende zetu dear'.
   
 4. Chris_Mambo

  Chris_Mambo JF-Expert Member

  #4
  Mar 20, 2011
  Joined: Aug 11, 2010
  Messages: 597
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  just because men are polygamy in nature, women are not!! Mwanaume anaweza kuwa na mwanamke zaidi ya mmoja, but mwanamke ni mume mmoja tu!
   
 5. M

  Mishemtaa Member

  #5
  Mar 20, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Daah!ww sema nn mwanamke ameubwa kiuruma sana kuliko cc madume jamani
   
 6. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #6
  Mar 20, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Wote tuna wivu wa mapenzi..

  Mwanamke mwepesi kusamehe vigumu
  kusahau na huyo mwanaume cha moto atakiona

  Mwanaume anapenda kula
  Lakini yeye akiliwa anataka kuua mtu ..

  Sijapenda kichwa cha hii thread haiendani na topic..
   
 7. Papa Diana

  Papa Diana JF-Expert Member

  #7
  Mar 20, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 304
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Tendo la ndoa mara nyingi kwa manaume ni "physical" sanasana (sio lazima ampende mwanamke kufanya nae mapenzi), lakini kwa wanawake wengi hili tendo linahusisha sana "emotions", nafikiri wanawake wengi wanaelewa hilo kwa hivi inakua rahisi kusamehe kwani wanajua ile kitu(uume) inaakili yake yenyewe......wanaume kwa upande mwengine wakishaibiwa basi wanafahamu kwamba kunauwezekano mkubwa kwamba huyo mwanamke anampenda zaidi huyu jamaa kuliko yeye!!!

  It hurts more for a man!! I think
   
 8. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #8
  Mar 20, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Ilishajadiliwa saaaana humu tafuta hiyo thread utafaidika sana
   
 9. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #9
  Mar 21, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Wanawake tumeumbwa hivo ndugu
   
 10. NILHAM RASHED

  NILHAM RASHED JF-Expert Member

  #10
  Mar 21, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 1,628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  alohaaaaaa!!!!!....
   
 11. NILHAM RASHED

  NILHAM RASHED JF-Expert Member

  #11
  Mar 21, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 1,628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  wanawake wepesi kusamehe lakini pi wazito kusahau,,,,
  wanaume wazito kusamehe,,,na wepesi kusahau,,,,,,,
  lakini mie nikimfumania ,,,nahisi ntauwa lool...
  jinsi mume anavyouma then heheheh heeheh yaani sisemi ....
   
 12. Futota

  Futota JF-Expert Member

  #12
  Mar 21, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 524
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Mwanaume anapenda kula
  Lakini yeye akiliwa anataka kuua mtu ..

  Sijapenda kichwa cha hii thread haiendani na topic
  ..[/QUOTE]

  Kweli title ya hii thread haiendani kabisa na topic
  "Alooha" ni lugha ya visiwa vya huko Hawaii, ni ina maana "asante". Sasa ndugu yetu Mishemtaa vipi hii?
   
 13. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #13
  Mar 21, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  wanawake tunapenda vibaya. Lol!
   
 14. M

  Mishemtaa Member

  #14
  Mar 21, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sawa kaka futota nimekusoma bila shaka!
   
 15. LD

  LD JF-Expert Member

  #15
  Mar 21, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Mi nitasamehe tu!!!
   
Loading...