Bubu anapotongoza/tongozwa n.k

fundiaminy

JF-Expert Member
Jun 4, 2009
355
51
Naomba hisia zenu wadau..hivi ushawahi
1.kutongoza/tongozwa na bubu?

2.kushuhudia bubu anavyolia anapoondokewa na mpenzi wake..nazungumzia msiba wa gf/bf wake?
Mimi sijawahi ila nina imani mapenzi ni kitu kizito jamani.
 
Nina best yangu bubu tunaelewana vema sana na lugha yao naijua ila sijawahi kumuona akilia kwa kuondokewa na mpenzi.Kuhusu kutongoza bahati nzuri alikuwa na msichana wake nae bubu na wanaelewana lugha(wamesoma).Unakosea unaposema analia kama vilevile nalilia kitu.Nooo.Hiyo ndo namna yao ya kutoa sauti,shukuru wewe sio bubu ila all in all vile ndo namna yao ya kuwasiliana_awe anatongoza,anaomba maji ya kunywa,anachangia hoja n.k
 
Asante mkuu pomole.nimekupata na umeiwakilisha vema sana.shukran kwa kunijuza.
 
Samahani kwa kutoka nje ya mada kidogo,kuna bubu alikuwa anachimba kisima katika shule moja,kisima hicho kilitakiwa kuwa na urefu wa takriban futi 40 basi wanafunzi wakawa wanamtupia ndoo kisha anajaza mawe yaliyochanganyika na udongo kisha wanayavuta na kumwaga juu.Basi mwanafunzi mmoja alikuwa na swali kama lako akitaka kujua bubu analiaje,basi alichokifanya ni kumwaga mchanganyiko ule wa mawe na kokoto jirani na shimo la kisima kisha vyote hivyo vikarudi ndani ya shimo na kumbonda yule bubu,kilichofuatia kilikuwa ni kilio kinachofanana na mlio wa farasi aliyechoka.
 
nimependa hii zaidi!!

Join Date : 31st January 2011
Posts : 165
Thanks:1
 
Sijawahi sikia dear
inaelekea leo unamsikiliza Z-ANTON NA binti kiziwi
lol
 
Mie nina rafiki yangu, marehemu mjomba wake alikuwa bubu,kulingana na stori za jamaa anasema mjomba wake huyo (Bubu ) alikuwa kiwembe wa kutisha,kiukweli mie mwenyewe nilikuwa nachanganyikiwa pindi jamaa alipokuwa akianza kusimulia stori za mjomba wake jinsi alivyokuwa anatisha katika hizo anga,sina hakika kama ni ukiwembe wake ndo uliosababisha akaondoka na huu ugonjwa wa kisasa.
 
na wadada walivyo na huruma huwa wanawapa sana hawa jamaa hata wakisema kidogo tu
 
sijawahi ona bubu akilia wala kuumizwa ila maisha yalivo takutana nao tu siku moja
 
Mabubu ni wa kawaida tu kama wengine waliowezeshwa kumung'unya maneno.

Na wao wana hisia za mapenzi kama wengine, kwahiyo wanapenda kama wengine wanavyopenda.

Sio kazi kubwa kihivyo kumtongoza bubu, ni kama tunavyotongoza wengine wasio mabubu, japo unahitaji walau kidogo kuelewa namna ya kuwasiliana nae ili ujumbe umfikie. Manake asipokuelewa utakesha kujitutumua.

Kwa suala la kulia, hapo sijawahi kushuhudia inakuwaje.
 
Back
Top Bottom