Wadada tusikae kimya lazma tukemee hapa tunadhalilishwa

Marytina

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
9,291
7,145
Ni kama wiki sasa kwenye magazeti ya udaku habari ikiwa ni SHYROSE-jaffarai
jafffarai anadai ni mchumba wa SHYR kwa miaka minane na walipanga kupata mtoto.

Hivi inaingia akilini miaka minane No mimba bila kasoro?Nijuavyo kama mwanamke una kasoro mwanaume hukuacha haraka kwa hiyo Jeff anamaswali ya kutujibu
JEFF anaende studio anamchana SHYR, clouds fm INAMPAKA TOPE SHYR for personal issues tena ana generalize WANAWAKE.

My take:Jeff kama hatadhibitiwa ataenda clouds Tv nakuonesha nguo za ndani za SHYR hence wanawake wote watadhalilika.Wanaume wanaolelewa lazima wajifunze kujitegemea+nidhamu sio kushinda vijiwe wakila pombe na sigara wakiachika waanza kulialia hadharani na mikwara feki.
SHYROSE anahaki ya kuwa na mtu amtakaye...hilo jeff linaliaaaa
 
Hako ka bwana mdogo katakuwa kana matatizo ya akili, maana kanavyolialia utafikiri kenyewe ndio ka kwanza kuachwa hapa duniani.
 
bora hata kangekuwa chizi tungekachunia, eti jaman miaka minane hujamshawishi mtu kuwa waweza kuwa mmewe hilo ni kosa kubwa.Hivi kana mtoto wa njee au maji baridi?
Kanamtisha Sugu hakajui Sugu is for the people,by the people tumempa ruksa kutuwakilisha mjengoni.

NAUNGA MKONO WANAUME WOTE WATAMBUE WAJIBU WAO KWENYE NDOA HATA KAMA WAMEZIDIWA KIFEDHA NA WAKE ZAO isiwe ndio kugeuka wajinga.

Lakini tuangalie pande zote mbili hivi huyu Shyr alitegemea kuvuna nini kwa kitoto kile...!?
 
Ni kama wiki sasa kwenye magazeti ya udaku habari ikiwa ni SHYROSE-jaffarai
jafffarai anadai ni mchumba wa SHYR kwa miaka minane na walipanga kupata mtoto.

Hivi inaingia akilini miaka minane No mimba bila kasoro?Nijuavyo kama mwanamke una kasoro mwanaume hukuacha haraka kwa hiyo Jeff anamaswali ya kutujibu
JEFF anaende studio anamchana SHYR, clouds fm INAMPAKA TOPE SHYR for personal issues tena ana generalize WANAWAKE.

My take:Jeff kama hatadhibitiwa ataenda clouds Tv nakuonesha nguo za ndani za SHYR hence wanawake wote watadhalilika.Wanaume wanaolelewa lazima wajifunze kujitegemea+nidhamu sio kushinda vijiwe wakila pombe na sigara wakiachika waanza kulialia hadharani na mikwara feki.
SHYROSE anahaki ya kuwa na mtu amtakaye...hilo jeff linaliaaaa

Haya ni makubaliano yao, usiingize uswahili ndugu! wengine wanakaa hata miaka kumi kwa makubaliano, wewe unaona miaka minane mingi!
 
Ni kama wiki sasa kwenye magazeti ya udaku habari ikiwa ni SHYROSE-jaffarai
jafffarai anadai ni mchumba wa SHYR kwa miaka minane na walipanga kupata mtoto.

Hivi inaingia akilini miaka minane No mimba bila kasoro?Nijuavyo kama mwanamke una kasoro mwanaume hukuacha haraka kwa hiyo Jeff anamaswali ya kutujibu
JEFF anaende studio anamchana SHYR, clouds fm INAMPAKA TOPE SHYR for personal issues tena ana generalize WANAWAKE.

My take:Jeff kama hatadhibitiwa ataenda clouds Tv nakuonesha nguo za ndani za SHYR hence wanawake wote watadhalilika.Wanaume wanaolelewa lazima wajifunze kujitegemea+nidhamu sio kushinda vijiwe wakila pombe na sigara wakiachika waanza kulialia hadharani na mikwara feki.
SHYROSE anahaki ya kuwa na mtu amtakaye...hilo jeff linaliaaaa
Nimesikitika sana jinsi huyu dogo anavyomchana ex- wake kwenye vyombo vya habari

Aibu zaidi ni clouds kuacha haya yaende live

nadhani ni jukumu la wanawake haswa kupinga huyu dogo na pia lazima akina tamwa walaani tabia ya yule mabange kwenda kuweka vitu live

BTW, shyrose ni easy-go?
 
By ze way, ni nani hawa viumbe?...My first time kuwasikia!~..huh!
khe khe kheee heheheeeeeeeeee

PJ... Jafari ni muimbaji bongo fleva aliyenyimwa kipaji na muumba lakini good in vuvuzelization. Shyrose ni kada wa CCM anayeongoza kwa kugombea ngazi mbalimbali za uongozi ndani ya chama bila kushinda hata moja. ni dada anayefanya NMB (kama sikosei) na mtu wa PR

the couple ilikua kama katuni fulani hivi, a total mismatch na kituko cha mji
 
Tunaomba mtujuze hawa ni kina nani hasa....maake hata mm nashangaaaaaaaa

Tehe tehe!!! Shyrose anapenda kujishughulisha na mwaswala ya kijamii na pia amejiingiza kwenye mambo ya kisiasa - aligombea ubunge CCM wakamtema ktk kura za maoni.. na vijimambo vngn vidogovidogo... Jeff ni mwnamziki (anafokafoka)... Walichukuana wakajitambulisha kama wapenzi.

Basi bana sasa inasemekana wametemana sijui kuachana.... jeff anachonga saaaana kwenye media inaelekea anaweweseka manake alikuwa mwanaume kama binti.. anatoa hadi siri zao ambacho kinaudhi watu.................... Umewapata ama niendeleeeeee!!!
 
khe khe kheee heheheeeeeeeeee

PJ... Jafari ni muimbaji bongo fleva aliyenyimwa kipaji na muumba lakini good in vuvuzelization. Shyrose ni kada wa CCM anayeongoza kwa kugombea ngazi mbalimbali za uongozi ndani ya chama bila kushinda hata moja. ni dada anayefanya NMB (kama sikosei) na mtu wa PR

the couple ilikua kama katuni fulani hivi, a total mismatch na kituko cha mji
Du...Mkuu unaziweza sana za kuchana hizi!:coffee:
Mi nadhani dada alikuwa mtu wa vigezo na kuchagua sana wanaume, mwishowe akakuta anatoswa na hatimaye kujishikisha kwa mzee wa watu kibao!

Mi namsifu sana Shyrose kwa roho ngumu ya uthubutu!
Csiemu wangejua wangempa nafasi ili waone atakavyodeliver, lakini vile nia yao si perfomance ya mtu basi amekuwa kam dust-bin!...huhh!
 
Hako ka bwana mdogo katakuwa kana matatizo ya akili, maana kanavyolialia utafikiri kenyewe ndio ka kwanza kuachwa hapa duniani.

Mkuu kabwana mdogo kalikuwa kanalelewa sasa kakifikiria kurudi kwa mama yake kinondoni shamba roho inakauma sana, na kibaya zaidi kuna jamaa tayari ashachukua kitu hakawezi hata kuomba msamaha... Ila sijawahi kuona mwanamume mp***i na mp***avu kama huyu:coffee:!!!!
 
Tehe tehe!!! Shyrose anapenda kujishughulisha na mwaswala ya kijamii na pia amejiingiza kwenye mambo ya kisiasa - aligombea ubunge CCM wakamtema ktk kura za maoni.. na vijimambo vngn vidogovidogo... Jeff ni mwnamziki (anafokafoka)... Walichukuana wakajitambulisha kama wapenzi.

Basi bana sasa inasemekana wametemana sijui kuachana.... jeff anachonga saaaana kwenye media inaelekea anaweweseka manake alikuwa mwanaume kama binti.. anatoa hadi siri zao ambacho kinaudhi watu.................... Umewapata ama niendeleeeeee!!!

nimewapata ila mimi naona wote wapuuzi
 
Hivi Hii Post Inatuhusu!!!!!

Naomba Mods muweke Jukwaa la Umbea alafu hii ndo iwe post ya kufungulia Jukwaa
 
Back
Top Bottom