Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Si masihara bali ni ukweli mtupu, nimeoteshwa kutoa tiba ya kuramba kijiko kimoja tu cha mti unaoitwa mgaagaa kwa ajili ya kutibu matatizo yote yanayohusiana na mapenzi yakiwa pamoja na:- kupata...
0 Reactions
28 Replies
9K Views
Am looking for sweet girl who is frustrated because she has had her heart broken so many times by guys who are shallow and care only about themselves.girl who is still in search of an honest guy...
0 Reactions
38 Replies
3K Views
badae unaona hii picha anacheza mbele ya mwanaume mwenzako tena na mwanenu mgongoni
0 Reactions
37 Replies
4K Views
Hii ni hadithi tu lakini ndni yake kuna ukweli na mafunzo. Bwana mmoja, kwa kushirikiana na mke wake, walikuwa wanamdhalilisha babake yule bwana. Mfano, wakati wa kula walikuwa, wanampa chakula...
5 Reactions
12 Replies
2K Views
Ndugu zangu wanajf. Ninapenda kuwasilimia wote mabibi na mabwana. Nimefurahishwa sana na ushauri na mawazo manayotoa kwa kweli ni ya kujenga sio kubomoa. Shukrani. Mimi ni kijana ambae...
0 Reactions
55 Replies
6K Views
Katika jamii yetu (Tanzania) mwanamke hapati elimu bora , anaonewa ndani ya nyumba,ndani ya madaladala (usafiri),kazini.e.t.c ili kuepusha haya mambo inabidi mwanamke apewe -elimu bure toka shule...
2 Reactions
23 Replies
3K Views
Nilikuwa na mjadala na rafiki yangu mmoja siku chache zilizopita kuhusiana na tabia ambayo miaka hiyo ya 47 tulikuwa hatuchukulii kwa namna yoyote mbaya na ambayo bado inaendelea kwa namna moja au...
0 Reactions
39 Replies
3K Views
Wapendwa wana JF, Kwa muda mrefu nimekuwa nikitabika na hii kitu. Mara nyingi niwapo katika mizunguko yangu nikikutana na mdada yeyote yule aliyejazia jazia hamasa yangu kubwa huwa kumuangalia...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
You may be wondering how these foods can boost your sexual drive, but they certainly have the ability to do just that. Such foods may be consumed or used to enhance your relationship by having a...
4 Reactions
13 Replies
12K Views
habari wapendwa wanajamvi, naombeni ushauri maana nipo njiapanda pale nilipojikuta nikiwapenda watu wawili kwa wakati mmoja.sijawa na mahusiano rasmi na yeyote kati yao lakini ni marafiki nilionao...
0 Reactions
52 Replies
4K Views
Habari nilizozipata sasa hivi ni kuwa mmoja wa member wa JF amefiwa na Baba yake leo asubuhi. Tumwombee apate kufarijika katika kipindi hiki kigumu. R.I.P Baba Pearl...
0 Reactions
149 Replies
11K Views
This thn changanya me most of the tym! Me napenda ku be luvd fist how abt u?
0 Reactions
14 Replies
2K Views
waungwana! nilikuwa na mchumba,toka mwaka 2004,nikamtoa form four na sasa anamalizia degree ya education mwezi wa sita mwaka huu,mwaka jana mara tu baada ya kumlipia ada ya mwaka wa mwisho,kesho...
0 Reactions
55 Replies
4K Views
Heshima mbele wanajamvi,ni hivi nina marafiki zangu wawili ambao wao hawajuani bado ila mimi ndio nawajua Sasa rafiki yangu no 1 alikuwa na my girlfriend wake kwa muda mrefu tu,akaamua kubadili...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Bibi mwenye umri wa miaka 92 wa nchini Marekani ametiwa mbaroni kwa kumpiga risasi mwanaume jirani yake ambaye alikataa kumpa 'denda' bibi huyo ambaye alizidiwa na penzi kwa jirani yake ambaye...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Una mpenzi wako wa kiume umekaa nae kwenye mahusiano kwa muda wa miaka mitatu na wakati wote huo mmekuwa mkifanya mapenzi. Imekuja kutokea wewe umeamua kubadili mfumo wa maisha kwa maana ya...
0 Reactions
39 Replies
3K Views
nina umri wa miaka 25,ninahitaji girlfriend mwenye umri kuanzia 18-23,awe atleast amesoma mpaka kidato cha sita,mkiristo,anayejiheshimu,mrembo na sifa nyingine nzuri. kama upo interested...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Mara yako ya mwisho kulia ilikuwa lini na ulilia kwa sababu gani?too confidential,listen to your heart and say something.
0 Reactions
47 Replies
4K Views
Luv is a game easy to start difficult to end. I thought I could control luv but sasa siwezi kuyaacha mapenzi, labda mapenzi yaniache mimi. Na nitamwacha mpenzi/nitaachwa ila mapenzi yako pale...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
jamani hili tangazo mi silipendi sana hasa kipindi hiki ambacho nataka wakwe wakanitambue! jamaa kajitahidi ana vx, nyumba kali, kazi ndefu na demu wake atakuwa mkali vilevile ila tatizo hana...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Back
Top Bottom