Haki ya Mwanamke(msichana) na uhuru wake ambao anatakiwa aupate/aipate

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,385
Katika jamii yetu (Tanzania) mwanamke hapati elimu bora , anaonewa ndani ya nyumba,ndani ya madaladala (usafiri),kazini.e.t.c
ili kuepusha haya mambo inabidi mwanamke apewe
-elimu bure toka shule ya msingi hadi chuo kikuu,
-kuwe na adhabu kali kwa watu wanaowaonea wanawake exmple.kubaka(hii ipo tayari)
-TAMWA wapewe nguvu kubwa kisheria ya kutetea wanawake( hapa namaanisha kama mwanamke akibaguliwa kazini kijinsia wawe na uwezo wa kumwajibisha aliyetenda hilo kosa bila ya mwanamke kukosa kazi yake)
-Mwanamke ambaye ana watoto(Mjane) au familia ya mama mmoja na watoto ipewe kipaumbele na kutotozwa baadhi ya kodi.
-Wanaume wawe na utu wa kuwaheshimu wake zao na kuwathamini kama kumfungulia mlango wa gari au kusaidia mambo ya mapishi mara moja moja.
 
Ivunga leo
nakuvulia kofia mkuu

Lakini nchi yetu
Narushwa, ufisadi
hayo yatatimizwa kweli .

Naamini miaka
michache ijayo
wanawake watakua na nguvu
Zaidi za kutetea nafsi zao..
kwani kunaambaye atajitokeza na kuinforce
hizo sheria..
 
natamani bf wangu awe photocopy yako
 
Ivunga leo
nakuvulia kofia mkuu

Lakini nchi yetu
Narushwa, ufisadi
hayo yatatimizwa kweli .

Naamini miaka
michache ijayo
wanawake watakua na nguvu
Zaidi za kutetea nafsi zao..
kwani kunaambaye atajitokeza na kuinforce
hizo sheria
..
na hili ndio ninaloliomba kila siku dada yangu na ninauhakika itakuwa hivyo.
 
Ivuga leo umenifurahisha sana kwa kweli na kama wanaume watafata haya mbona tutajidai mitaani kwetu na vijijini kwetu
 
Ivuga leo umenifurahisha sana kwa kweli na kama wanaume watafata haya mbona tutajidai mitaani kwetu na vijijini kwetu

wewe dada yangu usiwe na shaka hizi ni kampeni na nina uhakika zitapata nguvu hivi karibuni
 
My dear
Tayari nipo hapa nipe miaka
mitano..
usishangae nikikuita ulete hizo point zako..
Kwasababu we still need our mans beside us. .
offcourse they will be with you guys ,but we want them to change and stop discrimination,ujue dada yangu hapa wanaume ni kama vile wanakula na kipofu na ni wajanja sana hawataki kumshika kipofu mkono, sasa baadhi yetu ndio tumeamua kumshika kipofu mkono ili moto uwake.
 
wapo wanaume wanaojifanya
wajanja na wapo ambao niwaelewa
mie nakuchukulia wewe kama muelewa
sababu kuna kitu kilikufanya mpaka ukaanzisha
hii thread..nway point yangu ni wale waelewa ndo
tunaowahitaji.. nway maana hili jangwa linahitaji simba
jike na dume..dume alinde watoto wakati jike anaenda kuwinda..
mmmmmmhhhhhh..

HAPPY WEEKEND :)
 
Unyanyasaji kwa akina mama ni janga la kimataifa. Mnyanyasaji mkuu akiwa ni mwanamume, lakini tukubali pia wapo wanawake wanaowanyanyasa wanawake wenzao. Mifano michache ni kwa wafanyakazi wa majumbani na kwenye biashara za ngono - kwa tamaa ya pesa wako tayari hata kuwatumbukiza katika umalaya wasichana wadogo chini ya umri.

Ninakubaliana kabisa na Ivuga kuwa iko haja ya kuanzisha vugu vugu endelevu la kumkomboa mwanamke.
 
Afrodenz jinsi ulivyonifurahisha
mimi pia kushuka mistari umesababisha
ndugu yangu hakuna mtu wa kuwayumbisha
japo sisi ndio tunasababisaha
matatizo mengi katika yenu maisha
na moto ndio naanza kuuwasha
na sintoogopa upupu wala washawasha
na zaidi umenifurahisha
ulivyomtaja dume simba
nikaamua nisikuache hivihivi
bila kukupa zawadi ya ua
nafikiri utaifurahia
rose002.jpg
 
mammamia nakubaliana na wewe,ni kweli kuna wanaojiuza lakini hawa wanafanya hivi kwa sababu hawana means yoyote ya kupata income,kwa hiyo ili kuepukana na hili solution yake sio kuanza kukimbizana na makahaba mtaani ,solution ni kuwa na mikakati ya kumsomesha mwanamke popote pale alipo nchini Tanzania kwa gharama yoyote ile.
 
Afrodenz jinsi ulivyonifurahisha
mimi pia kushuka mistari umesababisha
ndugu yangu hakuna mtu wa kuwayumbisha
japo sisi ndio tunasababisaha
matatizo mengi katika yenu maisha
na moto ndio naanza kuuwasha
na sintoogopa upupu wala washawasha
na zaidi umenifurahisha
ulivyomtaja dume simba
nikaamua nisikuache hivihivi
bila kukupa zawadi ya ua
nafikiri utaifurahia
rose002.jpg
Hilo ua nimelipenda
nakuombea hekima zaidi
kama jinsi hilo ua lilivyochanua..
na we uzidi kuchanua na kunawiri
kwa kutetea hoja za wanawake..
maana hao wanawake ndo mama zetu,
Wake zenu, dada zetu na ma binti wetu..

My dear
usishangae siku na ku pm
nakukueleza haya viatu mkononi
tunaanza mchakamchaka ..
My dear have a blessed weekend..
 
Back
Top Bottom