Utamwambiaje akuelewe? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Utamwambiaje akuelewe?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by sweetdada, Apr 8, 2011.

 1. sweetdada

  sweetdada JF-Expert Member

  #1
  Apr 8, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 540
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Una mpenzi wako wa kiume umekaa nae kwenye mahusiano kwa muda wa miaka mitatu na wakati wote huo mmekuwa mkifanya mapenzi. Imekuja kutokea wewe umeamua kubadili mfumo wa maisha kwa maana ya kwamba umeamua kumrudia Mungu na kuacha ya shetani ila bado unampenda mpenzi wako..na mmeahidiana kuoana.

  Je utamwambiaje kuwa wewe hutaki tena ku'do' mpaka pale mtakapooana? atakuelewa kweli?

  Nawasalimu wote wanajamvi na nasubiri michango yenu.
   
 2. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #2
  Apr 8, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Sweetdada kuacha ya shetani yapi hayo au unamaanisha kufanya mapenzi kabla haujaoa/haujaolewa??
   
 3. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #3
  Apr 8, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,191
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  itabidi aone kwa vitendo kama kweli hutaki ku do, sio unasema hutaki wakat faragha unajilengesha...haiji kabisa af hutaeleweka.
   
 4. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #4
  Apr 8, 2011
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 337
  Trophy Points: 180
  ni mwenzio find out the right time which u think atakuelewa,use apropriate language i hope kwamba ataelewa though its not that easy
   
 5. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #5
  Apr 8, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Mhh nitamwambia tu Kipenzi unajua miaka 3 ni mingi katika uhusiano kama tabia tumechunguzana vyakutosha sasa unaonaje tufunge ndoa!!!
  Kama anakuwa haelewi somo nitajua huyu sio wangu na kuangalia ustaarabu mwingine :love::love::love::love:
   
 6. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #6
  Apr 8, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 161
  Trophy Points: 160
  Nitamwambia "..Come and Kiss me GOODBYE.."
   
 7. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #7
  Apr 8, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Hapo dawa ni kufunga ndoa hakuna la zaidi
   
 8. sweetdada

  sweetdada JF-Expert Member

  #8
  Apr 8, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 540
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Ehee hilo ndo nimemaanisha TF...si unajua ukimrudia Mungu inabidi usifanye mapenzi mpaka uoe/uolewe..
   
 9. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #9
  Apr 8, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Duh ina maana kurudisha bikira feki :love::love:
   
 10. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #10
  Apr 8, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Mimi nakubaliana na ushauri alioutoa Maria Roza hapo juu hebu jaribu kuuchukua huo
   
 11. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #11
  Apr 8, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Hivi tumekaa mimi na wewe miaka mingapi hatujagusana??
   
 12. sweetdada

  sweetdada JF-Expert Member

  #12
  Apr 8, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 540
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  hahhahhahah kama ya kiarabu MR
   
 13. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #13
  Apr 8, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  mwambie, kuanzia leo Yesu hapendi!
   
 14. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #14
  Apr 8, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Hahhah halafu ukisikia nanihii unameza Klorokwini :love::love::love:
   
 15. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #15
  Apr 8, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Hehehehe ile huwa aina kitulizo cha aina yoyote ile zaidi ya biolojia ya mwenzake
   
 16. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #16
  Apr 8, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Hahahha vidole vinaweza tuliza :love::love:
   
 17. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #17
  Apr 8, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kama wewe unaweza kwanini udhani yeye hataweza??Anza kwa kumuuliza mnapoelekea..then mshawishi kufanya kilicho sahihi mbele ya muumba wenu.Akileta ubishi mwambie kama anataka aendelee kukufaidi akufanye mke wake au achape mwendo.Kama uko tayari kusimamia imani yako mpya hata kama utampoteza basi mwambie tu plain and simple....maisha haya siyataki tena!
   
 18. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #18
  Apr 8, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Kuna wengine wana vidole kama kwato za ng'ombe si itakuwa balaa
   
 19. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #19
  Apr 8, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  hehehe halaf huyu sweetdada nazani anafanya kazi saloon za sinza, kila siku anakuja na kesi mpya ya ajabu ajabu.
   
 20. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #20
  Apr 8, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  Alleluyah!
   
Loading...