Nimeoteshwa juu ya dawa za mapenzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimeoteshwa juu ya dawa za mapenzi

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by chamajani, Apr 8, 2011.

 1. c

  chamajani JF-Expert Member

  #1
  Apr 8, 2011
  Joined: Sep 22, 2010
  Messages: 554
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Si masihara bali ni ukweli mtupu, nimeoteshwa kutoa tiba ya kuramba kijiko kimoja tu cha mti unaoitwa mgaagaa kwa ajili ya kutibu matatizo yote yanayohusiana na mapenzi yakiwa pamoja na:- kupata ujasiri wa kutongoza, kwenda round nyingi, kuchelewesha round, kuleta hamu ya tendo la nanihino, mvuto, kupata mchumba, kupata mume/mke, kuachwa kwa wanaotaka, kumpa mpenzio limbwata, kuondoa limbwata-yaani kila kitu;( kijiko kimoja nimeambiwa nitoze gharama ya sh. 999 kwa watanzania na sh. 9999 kwa wasio watanzania) lakini huenda bei ikapanda kutegemea na mahitaji. Just ni-PM
   
 2. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #2
  Apr 8, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Aisee hongera sna ngoja tuanze kupanga foleni mie kwa kwanza nishawahiii:love::love:
   
 3. IT Guru

  IT Guru JF-Expert Member

  #3
  Apr 8, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 616
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  loh naona umeniwahi. Bac mi wa pili
   
 4. Vinci

  Vinci JF-Expert Member

  #4
  Apr 8, 2011
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 2,641
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  dah...haya wandugu, ngoja niwahi kabla bei haijapanda...ila sijui tatizo langu ni lipi kati ya hayo ilioyataja..maana kwa maelezo yako kuna ya kujenga mahusiano/mapenzi na kubomoa mapenzi. sasa sijui sijui umeoteshwa na mungu wa mbinguni au wa duniani..haya mkuu twende kazi
   
 5. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #5
  Apr 8, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Think like a Man of ACTION and act like a Man of THOUGHT
   
 6. M

  Marytina JF-Expert Member

  #6
  Apr 8, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  asiwaze kama mtu anayepara miwa like Mohamed Shossi
   
 7. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #7
  Apr 8, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Marytina acha uchokozi!
   
 8. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #8
  Apr 8, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Mcqokozi wewe ngoja aje mwenyewe
   
 9. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #9
  Apr 8, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Jiandae kuona punchlines.
   
 10. M

  Mwera JF-Expert Member

  #10
  Apr 8, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 968
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  martiyna ulimuona shossi akiparamiwa?au unaropoka tu,take care!
   
 11. BlackBerry

  BlackBerry JF-Expert Member

  #11
  Apr 8, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 1,844
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mh bora umekuja kivingine, maana ungesema kikombe tu tungekustukia
   
 12. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #12
  Apr 8, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  so we ni ambilikile au nan?
   
 13. Nico1

  Nico1 JF-Expert Member

  #13
  Apr 8, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 746
  Likes Received: 138
  Trophy Points: 60
  wape vitu ndugu hawakujui nini:help:
   
 14. BlackBerry

  BlackBerry JF-Expert Member

  #14
  Apr 8, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 1,844
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Watakuja wengi wameripoti tatizo hilo hivi sijui inakuwaje
   
 15. Negrodemus

  Negrodemus JF Gold Member

  #15
  Apr 8, 2011
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 2,130
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  hongera m nataka kupunguza hamu ya ngono inakaaje?
   
 16. c

  chamajani JF-Expert Member

  #16
  Apr 8, 2011
  Joined: Sep 22, 2010
  Messages: 554
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Maria roza! ucjal bibie,jiandae kutoa ushuhuda kabla hata ya kunywa kijiko changu maana hii haicheleweshi kutoa desired output.
   
 17. c

  chamajani JF-Expert Member

  #17
  Apr 8, 2011
  Joined: Sep 22, 2010
  Messages: 554
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Chamajani, aka baba wa kijiko.
   
 18. c

  chamajani JF-Expert Member

  #18
  Apr 8, 2011
  Joined: Sep 22, 2010
  Messages: 554
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Aaaaa hilo tu, umepona just Ni-pm
   
 19. c

  chamajani JF-Expert Member

  #19
  Apr 8, 2011
  Joined: Sep 22, 2010
  Messages: 554
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Niliuliza swali kama hilo ktk ndoto,majibu ni kwamba utakavyoielekeza nafsi yako wakati wa kunywa kijiko bac na tatizo linaondoka hivyoivyo. Ndugu zangu mungu ni mwema sana kwa anga la tanzania kwa sasa so msilaze damu plziiii!
   
 20. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #20
  Apr 9, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Sina ugomvi na mtu humu JF na wala si entertain ugomvi I will leave it to her..............
   
Loading...