Special kwa wadada ........ Dawa imepatikana .......wanaume pia karibuni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Special kwa wadada ........ Dawa imepatikana .......wanaume pia karibuni

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by SAWEBOY, Jun 23, 2011.

 1. SAWEBOY

  SAWEBOY JF-Expert Member

  #1
  Jun 23, 2011
  Joined: Apr 6, 2011
  Messages: 226
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 45
  WAPENDWA WANA JF,

  Kwa muda mrefu dada zetu wamekuwa wakilalamika kila siku kuwa ndoa zao zinaenda mrama kwa sababu waume zao au wapenzi wao wamekuwa not responsible hasa ktk 6 x 6. Yaani mume akiwa bwiiiii (cha pombe) hupiga kimoja tu, then akilala huwa fofofo huku mke/mpenzi wake akiwa anataka haki yake ya kungonoka.

  Mbaya zaidi wengine hufikia hatua ya kulewa hata kushindwa kuwatimizia wake/wapenzi wao tendo muhimu a.k.a kitombo.

  Katika utafiti wangu wa muda mrefu nimefanikiwa kugundua hii dawa ambayo wewe mwanamke unaweza ukamfanyia mume wako na hatimaye akaacha kabisa kunywa pombe na wewe ukawa mtu wa furaha muda wote kwa kufurahia tendo takatifu la kungonoka kutoka kwa mume wako au mpenzi wako. Kama kweli upo ktk tatizo hilo na mumeo au mpenzi wako basi usisite kufanya hili nitakalokushauri ili hatimaye uepukane na adha ambazo unazipata kutoka kwa mume wako coz ya uchapombe.

  CHA KUFANYA SASA/ DAWA.

  1.
  Ukiwa umeolewa na mume wako na una mtoto basi hiyo ni kazi rahisi sana: kamua maziwa toka katika chuchu/matiti yako na ukinge katika kikombe kwa kiasi fulani ambacho utakadiria kwa macho, mfano : ujazo wa robo kikombe cha chai, then chukua hayo maziwa changanya na pombe anayopenda kunywa, regardless ya kienyeji au bia, wewe mpatie tu anywe hiyo pombe.

  2. Kama wewe umeolewa na huna mtoto, basi kamua maziwa ya nguruwe au tafuta maziwa kwa mama anayenyonyesha then fanya kama nilivyoelekeza hapo juu.

  MATOKEO

  Kwa ujumla mume wako atatapika hiyo pombe ya baada kufeel abnormal, hivyo itamfanya kila akiona pombe au kuhisi harufu ya pombe atakuwa hapendi kabisa na hata jaribu kunywa tena coz ile kitu ita-stick ktk mind yake.

  NB: Kama utatumia bia basi hakikisha iwe mida ya usiku ili asiweze kugundua hilo zoezi na pia hilo zoezi lifanyikie home plse.

  Nawatakia kila lakheri, na mungu awaongoze ktk hilo jaribio ili muokoe ndoa zenu na hatimaye uendelee kuishi kwa amani na upendo na mume wako/mpenzi wako huku ukifurahia the needful toka kwa mume wako/ bf wako and alike.

  U're welcome.
   
 2. A

  Aisha Adam JF-Expert Member

  #2
  Jun 23, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 465
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  kila lenye faida lina hasara zake je hiyo ina madhara gani?
   
 3. SAWEBOY

  SAWEBOY JF-Expert Member

  #3
  Jun 23, 2011
  Joined: Apr 6, 2011
  Messages: 226
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 45
  Kiukweli haina madhara yeyote yale zaidi ya wewe kutunza siri ndani ya moyo wako kuwa wewe ndio uliomfanya aache kunywa pombe kwa kumfanyia hicho kitu. Nafikiri ukifikiria kwa undani zaidi utagundua faida ni nyingi sana kuliko hiyo hasara ambayo unaweza ukaji-kontrol na asiweze kujua kuwa wewe ndio umemfanyia hivyo!

  U're welcome
   
 4. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #4
  Jun 23, 2011
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  Dah! mimi mwenyewe nataka kuacha ngoja niende kw mama watoto fasta anikamulie nichanganye kwnye valuu.
   
 5. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #5
  Jun 23, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,029
  Likes Received: 3,052
  Trophy Points: 280
  Hasara yake ni kwamba unaweza ukapigwa katerero mpaka ukahisi mbingu inakushukia...khe khe khe khe!
   
 6. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #6
  Jun 23, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Ngoja 2wasubirie wadau wa2pe majibu.
   
 7. SAWEBOY

  SAWEBOY JF-Expert Member

  #7
  Jun 23, 2011
  Joined: Apr 6, 2011
  Messages: 226
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 45
  hahahahaha dah mkuuu sasa hiyo si ndio raha ya the needful au? hahaha ikibidi kubali tu huo mziki ndio raha hiyo ya malavidavi kuliko jamaaa alale fofofo baada ya kupata mitungi
   
 8. C

  Caroline Danzi JF-Expert Member

  #8
  Jun 23, 2011
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 3,629
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Hiyo dawa umeshafanya test kwa yeyote? Ni wewe mwenyewe umegundua au? Nahisi inaweza kuwa sumu. na huyo unayempa ni mwehu kiasi gani maana maziwa ya mama ni testless kabisa ukiweka kwenye kitu chochote itaonekana, sometimes ukiweka kwenye kilevi kama hicho pombe inakatika kama maziwa ya mgando.

  Nahisi wewe una mpango wa kubomoa nyumba za wenzako. Kila kitu kina madhara yake. Kuacha pombe ni rahisi hasa ikitokea rohoni mwa mnywaji siyo kwa style hii.
   
 9. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #9
  Jun 23, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,276
  Likes Received: 1,716
  Trophy Points: 280
  Hiyo dawa nilishawahi kuisikia toka nikiwa mdogo. Maana baba yangu alikuwa kwa bia utadhani ana ubia na TBL. Sasa sijuhi kama mama alimpatia ikadunda au la kwani nadhani niliisikia kwa mama.
   
 10. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #10
  Jun 23, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,401
  Likes Received: 736
  Trophy Points: 280
  kama ni mzoefu atahisi kwamba pombe ime expire so ataendeleza libeneke kesho yake tu...hivi mlevi gani akinusa harufu ya pombe atatapika?
   
 11. SAWEBOY

  SAWEBOY JF-Expert Member

  #11
  Jun 23, 2011
  Joined: Apr 6, 2011
  Messages: 226
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 45
  wewe nenda kajaribu uone matokeo yake sio unaongea mamneno bila kufanya kwa vitendo! ukijaribu ndio utaona majibu ya maswali au doubt zako.
   
 12. SAWEBOY

  SAWEBOY JF-Expert Member

  #12
  Jun 23, 2011
  Joined: Apr 6, 2011
  Messages: 226
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 45
  Kwanini watanzania mmekuwa wazito wa kupenda masomo ya sayansi hasa practical? hivi kwa hili kuna tatizo gani kwenda kufanya kwa vitendo? acha uoga bana, au ndo wale wale ambao ahaaa akiniacha huyu basiii .............. hahahahaha pole kwa huo uwoga wako !
   
 13. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #13
  Jun 24, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Mmh huo ushauri wako sio wa kuaminika, anyway thanx kwa ushauri bhaana!
   
 14. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #14
  Jun 24, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,860
  Likes Received: 23,483
  Trophy Points: 280
  Mi najiuliza: Hayo maziwa ataniwekea wakati mimi niko wapi?

  1. Huwa sinywi na mke wangu bar mara nyingi, na siku nikitoka naye, hayo maziwa atayaweka wapi?
  2. Sinywei bia nyumbani
  2. Kwenye bia yangu, hata likiongezeka tone la maji huwa najua

  Wawekeeni wengine lakini si huyu babu aliyekula machumvi kibao!
   
Loading...