Ahsante my wife!my jf n non jf friends;my my familly'; my every one in lord | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ahsante my wife!my jf n non jf friends;my my familly'; my every one in lord

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pdidy, Jun 23, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jun 23, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,094
  Likes Received: 5,562
  Trophy Points: 280
  Dear wapendwa
  Tarehe ya 20 june nilifikisha miaka 3 Rasmi ya ndoa na mwaka Mmmoja rasmi wa mwanangu Faith P Didy
  Pengine nilitamani kuifurahia siku hii tar hiyo bahati mbaya sikuwa dar es laama ila kwa upendo wa Mungu nimeingia
  jana kwa rehema zake na maandiko kama yanavyosema tusiache kushukuru kila iitwapo leo basi nikaona ni wakati mwema
  wa siku ya leo kufurahina ndugu jamaa na marafiki na wote waliofanikisha kuwepo na amani na upendo kwenye ndoa yangu
  mpaka leo hii..nasema hili kwa furaha na upendo ni wengi wanateseka na ndoa zao Binafsi ningeomba nianze kuwashukuru wafuatao

  Mwenyezi Mungu:
  Huyu kwa kweli sijui nisemeje lakini kwa neema tu kama 2kor 10:15 inavyosema kwa neema ya Mungu tu nimekuwa hivi nilivyo
  Kama si upendo na neema ya Mungu pengine na mimi ningekuwa nalia kwenye ndoa yangu na pengine ningekuwa nahesabu ndege
  Pale segerea ama kwa kumpiga mke wangu lakini huyu Bwana Yesu Alietupa upendo wa agape wa kuvumiliana na kusameheana
  na pengine si kwamba akuna kutoelewana kupo ila ufahamu Wa Mungu ukitawala ndoa yenu basi ni amani na upendo tu hata kukiwa\kutokuelewana Mungu anamwonyesha mmoja wenu nini cha kufanya na mnarudi kwenye system ya furaha
  Bila Huyu nisingekuwa nacheza na kufurahi na mttoto wangu Faith didy kitandani kwa furaha na amani waliosoma topic zangu za uzazi
  wanajua shetani alivyotaka kujiinua lakini tunae Bwana wa Majeshi aldpha na Omega Mwanzo naa mwisho akuna kinachoshindikana kwake

  Mke Wangu Agatha PDIDY:
  Huyu naweza sema baada ya Mungu basi ndie aliefanya upendo wetu ukafika mahali hapa tulipo.biinafsi nakupa ahasante kwa kuvumiliana na kupendana ahasante kwakuwa mkwelipopote pale nilipokosea na kunisahihisha ahasante kwa kunilea zaidi ya mtoto na upendo huu ndio ulionifanya niwe na afya njema nitakate ,lupendo wako ndio unaonifanya nikiwa lunch time niulize mkewangu uko wapi,upendo wako unanifanya nikitoka kazini niwaze kukimbilia nyumban kuona familia...najua ni mengi umenibadilisha kabla ya ndoa yetu nikitoka kaziini nawaza niende bar gan kunywa na kwenda kulala leo nawaza kukimbilia kuona familia yangu ni neema ya BWANA YESU
  Mungu azidi kukutunza na kukupigani azidi kukupa kilaitaji la Moyo wako na upendo wako uendlee kwa wazazi wetuwote kama tunavyoishi nao
  zaidi tusuaiche kuwakumba ndugu jamaa na majirani waliokuwa nasi kipindi chote cha uzazi wa mtoto wetu walioleta nepi kwa furaha Mungu awabariki bila kuwasahau JF Members waliotupa imani kwamba Yesu anaweza tukizidi kumuamini ndoa yetu itadumu leo tunaangaza mwaka wa Tatu kwa Furaha

  WAZAZI:
  MUNGU AWABARIKI WAZAZI WETU KWA KUWA PAMOJA NA SISI WAKATI MZITOWA MATAYARISHO YA NDOA NA MPAKA KWENYE KIPINDI CHA KUJIFUNGUA MTOTO WETU MUNGU AWABARIKI NANEEMA ZA BWANA ZISIWAACHE ,,ZAIDI YA YOTE NAJUA MEMA YA NCHI MSHAKULANA MNAENDELEA KULA BASI UPENDO WA MUNGU KUISHI MILELE UKAWE KWENU KILA IITWAPO LEO.MUNGU AWABARIKI NA KILA ANAWEZA BAYA JUU YENU BASI I BACK TO SENDER NA MUNGU ALIE HAI ASIWAACHE KWENYE NEEMA ZAKE/

  SPECIAL THANKS:
  KWA KANISA LA VICTORY FAITH ARUSHA KWA UPENDO WAO MKUBWA WALIOKUWA NAO MPAKA LEO HII JUU YETU ,MUNGU AKUBARIKI MY DADY VICENT N FAMILLY NA WASHARIKA WOTE WALIOKUWA NA SI KWENYE MAOMBI,PAST LUCY;ester,HON;NA WOTE WANAOMTUKUZA MUNGU WETU ALIE HAI

  Marafiki:
  Ndugu wapendw akwa niaba ya Familia ya DIDY napenda kutoa shukran kwa wale wote waliofanikisha kwa njia moja ama nyingine kwenye harusi yetu na haata kutoa mawazo nikimaanisha kwahali na mali.Mungu awajaze rehema zake Muwe na upendo na amani kwenye familia zenu kamamlivyokuwa mkituombea Mungu azidi kufungua milango ya maisha yenu,Kwa wale ambao awajaolewa ama kuoa Mungu akawape mke mwema kama agatha mume mwema kama pdidy na nyie mwone utamu wa YESU mkiwa duniani ni shukran nyingi lakini atuna cha kuongea zaidi ya kusema
  Mungu awabariki

  Maadui:
  Hawa nao wapo kila sehemu na biblia inasema Mwombe adui wako aishi ili aje kuona Ukuu wa MUNGU na baraka za Bwana zikikumwagikia
  Binafsi tunazidi kuwaombea Mungu awabariki muendelee kuishi Mungu awafanikishe katika kila jambo ,mtakalowaza na zaiidi ya yote muongezee upendo pale mlipoupunguza ili amani ya Bwana izidi kuwa nanyi nanyi

  Mungu Awabariki
   
 2. Romance

  Romance JF-Expert Member

  #2
  Jun 23, 2011
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 587
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Khaaaa!!! ndefu hiooo.... nimeshindwa soma yooooote!!! bahati nzuri umeweka vichwa vya habari hivyo inaonesha habari nzuri hiiiii!!!! HONGERA MWAYAAA!!!!
   
 3. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #3
  Jun 23, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,094
  Likes Received: 5,562
  Trophy Points: 280
  Jf Members and Non Members:
  Nanyi Mungu awabariki sana kwamichango yenu nimekuwa nikileta mada mbalimbali kwa kurekebisha ndoa zetu kwa ujumla na nimeona
  mawazo yenu na kuyafanyia kazi na pengine cha kuwaasa wenzangu msisome hapa kama gazeti la udaku mayosoma kiiona ya maana fanyoen kazi,,wapo waliotengeneza ndoa zao kwa mawazo ya wana jf naleo hii wanakula kuku kwa mrija..wapo wanaoona pepo ya ndoa dunian na sio kusubiri mpaka wafe kupitia mawazo ya wana JF;Binafsi natoa hongera kwa mods na wanzilishi wote wa Jf walioianzisha kwa taabu kwa nia moja amanyingine Mungu asiwaache kwenye neema zake hasa upande wa familia na kwenye Mifuko ...laaana ya kusema sina ama nimeishiwa isiwe kwa wana Jf na Mungu ninaemwamini kwa imani ataenda hili...

  Kwa ujumla Mungu awabariki na kuwaangazia Nuru ya Amani kwenye Maisha Yenu yoteeeeeeeeeee na kila mnachosema na kutamka kikawe NDIO kwa Mungu wetu alie hai;tusiache kumtumaini na Kumtumikia Bwana Yesu kuna vitu vikubwa umeaandliwa wewe utakaejitoa kwa ajili ya kumtumikia MUNGU atokuacha usikate tamaa Ipo siku Muhubiri anasema kuna wakati Furaha wakati wa kununa wakati wakucheka sasa inategema kuna walioandaliwa zote mbili nakuna walikwaa moja moja na maisha yao yoote naamini Mungu ninae mwamini kama uko kwenye huzuni basi furaha inakuja muda si mrefu

  Be Blessed


  pengine wewe una matatizo makubwa kwenye ndoa yako familia yako watotowako ukisoma maandiko akuna linaloshindikana kwa bwana swala muhimu ni kuacha uovu na kumwomba MUNGU atende sawa na maandiko..ifike wakati tusimame na maandiko tuache story za kusali kama watumwa mwambie MUNGU ulisema hiki mstari huu nami nimesema naitaji hiki sali usichoke ngangana mwambie Mungu akupe roho ya kungangania sio mtu unamkopesha mwaka ajalipa ati unaishia yaannii wewe MUNGU pigana nae Mungu ana kazi nyingi za kuwapigania watu iso madeni madeni uanapambana Mwnyewe nguvu hiyo hiyo komaa nayo kwenye kila kilichoitajimbele yakousikiache Mungu atatenda

  UJUMBE
  Tusichokane turekebishane tusaidiane tuombeane kila siku ,usiiache kunijulisha nilipokosea na ninapongania kukosea

  Mungu akubariki
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  Jun 23, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Ameeen, na Hongera SANA kiongozi!
  Nifikishie salamu kwa Agatha.
  Naamini shukrani hizi zinanihusu moja kwa moja, maana nahisi ni rafiki yako!
   
 5. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #5
  Jun 23, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  • nakupa thanks kwanza wakati nasoma hii Riwaya ni ndefu Pdidy
   
 6. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #6
  Jun 23, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,401
  Likes Received: 736
  Trophy Points: 280
  Mungu azidi kuibariki ndoa yako mkuu.
  zidisha ibada
   
 7. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #7
  Jun 23, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Mmbarikiwe sana..
   
 8. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #8
  Jun 23, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,237
  Likes Received: 3,651
  Trophy Points: 280
  Be blessed broda,i wish nitafuata nyayo zako na pengine zaidi!
   
 9. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #9
  Jun 23, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Hongera
   
 10. Kaka Mpendwa

  Kaka Mpendwa JF-Expert Member

  #10
  Jun 23, 2011
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 771
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0

  Ndo maana tuna matatizo ya mikataba...  Mkuu PDidy hongera sana..Mungu azidi kukupa hekima na furaha katika safari ya maisha yako
   
 11. Chauro

  Chauro JF-Expert Member

  #11
  Jun 23, 2011
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 2,969
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Hongera sana Mungu awaongoze kwa kila hitaji la mioyo yenu.
   
 12. Mayasa

  Mayasa JF-Expert Member

  #12
  Jun 23, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 587
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mbarikiwe sana..
   
 13. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #13
  Jun 23, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,041
  Likes Received: 6,479
  Trophy Points: 280
  Hongera sana, inaonyesha kwamba wewe una upendo mkubwa na unajali sana, MUNGU wa mbinguni na azidi kukuinua sana katika kazi/mambo yako yote. Kumbuka kutoa sadaka, weka tu kwenye bahasha inenee maneno yako tumbukiza kwenye chombo cha sadaka, na MUNGU hataacha kuzidi sana kukubariki.
   
 14. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #14
  Jun 23, 2011
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Mr&Mrs Albedo wanakutakia kila la Kheri
   
 15. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #15
  Jun 23, 2011
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 475
  Trophy Points: 180
  Hongera zako na mkeo!..Mungu awajalie maisha marefu yenye upendo, amani na uvumilivu!!..Mzeeke wote!!
   
 16. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #16
  Jun 23, 2011
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Hongera pdidy mshukuru Mungu kwa yote aliyokujalia maana kuna wengi wetu tunasoma hapa tukiwa katika kikaango cha ndoa, hongera sana and keep the spirit up, my regards to family kaka.
   
 17. nnunu

  nnunu JF-Expert Member

  #17
  Jun 23, 2011
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 656
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0

  hongereni sana sana sana , na mungu azidi kuwabariki katika ndoa yenu,  nimefurahi sana ulivyowakumbuka maadui,
  kutoka ndani ya moyo, maadui ni watu ninaowahitaji sana katika
  maisha yangu kwa sababu naamini maadui ndiyo chachu,
  ya maendeleo na upendo mahali/sehemu yoyote ile,
  pia kwasababu naamini hakuna maisha pasipo kuwepo maadui.
   
 18. nnunu

  nnunu JF-Expert Member

  #18
  Jun 23, 2011
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 656
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0  ha ha ah ha, matatizo ya mikataba,
  inatokana na uvivu wa kuisoma,kuielewa, kuichambua kwa umakini,
  na mwisho kuitolea maamuzi sahihi kwa wakat sahihi,
  ndiyo maana wao {wawekezaji) kwa kulielewa hili siku ya kutiliana saini mkataba lazima kuwe ,
  na wine ili kumpunguzia uchovu MTZ mwenye dhamani hiyo........
   
 19. Dreamliner

  Dreamliner JF-Expert Member

  #19
  Jun 23, 2011
  Joined: Jan 17, 2010
  Messages: 2,034
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Hongera Baba!
   
 20. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #20
  Jun 23, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Mkuu Hongera kwa vyote na mtoto pia, Mungu akuongoze ufanikishe Mengi!
   
Loading...