swali kwa waliooa au kuolewa?

Smarty

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
776
426
hivi ni kweli baadhi wanaume waliooa wanavaa kufuli za wake zao??? Na akina dada nao wanajisevia boxa za waume zao?? Nauliza tu jamani??
 
Siri za ndoani unazitakia nini???!Oa/olewa na wewe ukajionee mwenyewe!!
 
Halafu ukiisha jua kuwa ni kwel au co kweli,utachukua ha2a gan?
 
Hahahaha wachekesha kweli hutegemea na mazoea ya wanandoa ila ukitaka uhakika ingia ktk uwanja huu wa ndoa
 
Back
Top Bottom