Gharama ya sherehe ya harusi. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gharama ya sherehe ya harusi.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Bujibuji, Jun 30, 2011.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Jun 30, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 32,251
  Likes Received: 15,074
  Trophy Points: 280
  wataalam, naomba mnijulishe gharama za kufanya harusi yenye wageni waalikwa 300
   
 2. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #2
  Jun 30, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,141
  Likes Received: 240
  Trophy Points: 160
  Unafanyia wapi??? Kijijini, Mjini au??? Kuna vitu vingi sana vya kuangalia ukumbi gani wa kiasi gani na mambo mengi sana
   
 3. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #3
  Jun 30, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,725
  Likes Received: 1,232
  Trophy Points: 280
  watu mia tatu,.......wa bongo bana-haya ndio tulivyo lakn
   
 4. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #4
  Jun 30, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,089
  Likes Received: 2,315
  Trophy Points: 280
  Duhhhhhhhh ..
   
 5. mchakachuaji192

  mchakachuaji192 JF-Expert Member

  #5
  Jun 30, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 352
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Nadhani ungeelezea na location ambayo itafanyikia hiyo harusi uanayotarajia ingekuwa rahisi kwa wadau wenye uzoefu kukupa details ulizoomba

   
 6. tzjamani

  tzjamani JF-Expert Member

  #6
  Jun 30, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 997
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  mjini kwa watu 300, pombe -- around 12m
   
 7. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #7
  Jun 30, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,089
  Likes Received: 2,315
  Trophy Points: 280
  Naomba mwaliko kama una Organise wedding yeyote ololz :)
   
 8. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #8
  Jun 30, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,725
  Likes Received: 1,232
  Trophy Points: 280
  Mhhhhhhhh!.........
   
 9. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #9
  Jun 30, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,240
  Likes Received: 235
  Trophy Points: 160
  Inamaana bila hii kitu harusi haiendi?
   
 10. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #10
  Jun 30, 2011
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 17,865
  Likes Received: 6,361
  Trophy Points: 280
  Laki moja!
   
 11. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #11
  Jun 30, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 32,251
  Likes Received: 15,074
  Trophy Points: 280
  nataka iwe istana dsm
   
 12. T

  Tasia I JF-Expert Member

  #12
  Jun 30, 2011
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 1,220
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  unaiwakilisha vizuri sana avatar yako.
  Muulize hyo jamaa anaweza kukusaidia.
   
 13. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #13
  Jun 30, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,036
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  labda nkuulize una miradi gani ya kwako ya maendeleo? umejenga? una elimu nzuri?
  una kazi inayokulipa vizuri? nauliza hivi kwa vile watu wengi wanawazia harusi za garama
  kubwa ilhali hadi leo anakaa nyumba ya kupanga
  ,hana mradi wowote wkt sherehe yenyewe ni ya siku moja tu. Harusi inakuwa na maana pale unapoweza kualika ndugu na jamaa zako wa karibu mkishatoka kanisani au msikitini mkafanya sherehe kidogo imetoka .
  inawezekana hapo una hela kidogo unategema watu wakuchangie wkt
  mtoto wa ndugu yako aliefaulu hajaenda shule kisa hana ada.
  watanzania tuamke tuache kuwazia sherehe kubwa huku tukifa maskini.
  Tuige wenzetu na nawasifu kwa vile nipo huku.
  hakuna kuchangia harusi,tena wao wakialikana hawazidi 50
  wanakaa kwa hoteli wanakula dinner imetoka.tanzania je?
  sory sina nia kukukatisha tamaa ila jiangalie ww kama ww na
  sii watu waisifie harusi kubwa kumbe unabaki mkavu baada ya harusi.
   
 14. RR

  RR JF-Expert Member

  #14
  Jun 30, 2011
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,696
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  Msosi 12k-15k pp
  Biya 2k/bottle
  ukumbi 100k
  na blah blah zingine.....
   
Loading...