wanaume kupaka poda

kinyoba

JF-Expert Member
Jun 2, 2011
1,267
718
habari zenu wadau wa JF: sijui mimi ndo nimepitwa na wakati au ni vipi, yaani sielewi inakuwaje mwanaume rijali ( sio shoga) anapaka poda, anachonga nyusi (naskia wanawake wanaita kutinda nyusi) na kama haitoshi anaweka waves kichwani na kupaka mafuta na marashi ya wanawake? Yaani koro koro zote kwenye dressing table anashare sambamba na mkewe! Hii ni sawa kweli? Sijui mnaonaje wadau!
 
sasa huyo uliemfafanua hapo umemuweka kundi la lijali huyo sio lijali.
 
Ukiona mwanaume anajiremba namna hiyo si rijali huyo kuna kasoro anazificha!
 
Kuna wanaume wengi tu (straight )
Wanaweka/vaa make up mfano
Asilimia kubwa ya TV presenters, actor,
Singer .. si kila awekae make up ni gay...
Na kuna gay wengi tu hawaweki make up...
 
sasa huyo uliemfafanua hapo umemuweka kundi la lijali huyo sio lijali.
Anaweza akawa rijali na anauwezo wa kuzalisha mwanamke lakini akawa na homoni za kike,lakini wengine wanafuata mkumbo wa ushetani ulioko duniani hivi sasa!!
 
Hapo kwa kweli kuna walakini, hata kama ni utanashati hauwi hivyo..
 
Dah jana niliangalia movie ya Pretty Teacher ya Mr Blue....dah jamaa kama shoga, nywele zake sasa, poda, ring za masikio, cheni za mikononi, cheni za kwenye majinzi, mchubuo...really sucks!!
 
Kuna wanaume wengi tu (straight )
Wanaweka/vaa make up mfano
Asilimia kubwa ya TV presenters, actor,
Singer .. si kila awekae make up ni gay...
Na kuna gay wengi tu hawaweki make up...

Lakini wamezidi, licha ya kutumia hizo make ups, wanaiga hadi mapozi ya kike, sasa hao tuwaweke katika kundi gani??
 
Mwanaume akipaka poda kesho atatinda nyusi. Baada ya hapo tegemea atapata bwana maridadi wa kiarabu
 
Dah jana niliangalia movie ya Pretty Teacher ya Mr Blue....dah jamaa kama shoga, nywele zake sasa, poda, ring za masikio, cheni za mikononi, cheni za kwenye majinzi, mchubuo...really sucks!!

Inakera kwa kweli...
 
kweli eeeh?
Yap!Uwezo wa mtu kufanya ngono unaweza ukawepo wakati huohuo na yeye akawa anaingiliwa,hii tabia ya vijana kuyafanya wanayotakiwa kufanya wanawake ikiwepo kujiremba ni laana na ujinga pamoja na utumwa wa akili!
 
Lakini wamezidi, licha ya kutumia hizo make ups, wanaiga hadi mapozi ya kike, sasa hao tuwaweke katika kundi gani??
MmmhhhhHao wa namna hiyo nadhaniBado wanatafakari wenyewe ni jinsiaGani and maybe they're not feeling comfortable in there own skin ...
 
Duh, labda anaenda kuigiza jamani msimhukumu mapema hivyo..mwanaume huyo akitoka hapo anaelekea wapi?
Usikute wengine ni kina Joti na mpoki, unawaita *******!lol
Seriously, ni kukosa self-esteem!
 
habari zenu wadau wa JF: sijui mimi ndo nimepitwa na wakati au ni vipi, yaani sielewi inakuwaje mwanaume rijali ( sio shoga) anapaka poda, anachonga nyusi (naskia wanawake wanaita kutinda nyusi) na kama haitoshi anaweka waves kichwani na kupaka mafuta na marashi ya wanawake? Yaani koro koro zote kwenye dressing table anashare sambamba na mkewe! Hii ni sawa kweli? Sijui mnaonaje wadau!

mh uyo km ni wa kwangu NTAMTOA NDUKI

mimi poda spak iweje yeye ajirembe?
ahhhaaaaaaaaa wap uwez kujipodoa tu kikawaida lazima atakuwa shoga

atinde na nyus?maimai ahhaaaaaaaaaaaaaa itakuwa mwsho wa habari!!!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom