Mashaka: Nahisi Mpenzi wangu kajiunga JF | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mashaka: Nahisi Mpenzi wangu kajiunga JF

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Bramo, Jun 29, 2011.

 1. Bramo

  Bramo JF Bronze Member

  #1
  Jun 29, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 9,457
  Likes Received: 2,504
  Trophy Points: 280
  Kuna post ambazo sizielewi elewi humu ndani ya MMU, na style ya Uandishi wake, Hakika zina Match exactly na Shemeji/wifi yenu.
  Kuna post nyingine anaomba ushaur ambazo zinagusa Mambo yetu though ana modify kiaina, na ushauri Mnaompa humu MMU,naona kama Uhisiano wangu Na yeye unakuwa Compromissed...
  Huyu ni Y katika KISA changu cha X na Y
  Nifanyeje ku prove kama ndio yeye Jaman kama hisia zangu hazinidanganyi
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Jun 29, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  so far inaoneka huo uhusiano haupo strong

  badala ya kusumbuka na kama yupo jf au hayupo..
  ungeaanza na kuuufanya huo uhusiano uwe strong vya kutosha
   
 3. RR

  RR JF-Expert Member

  #3
  Jun 29, 2011
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,720
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 160
  Ni yeye....you happy buddy?
   
 4. Bramo

  Bramo JF Bronze Member

  #4
  Jun 29, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 9,457
  Likes Received: 2,504
  Trophy Points: 280
  ahitaj Proof Kaka, namna ya ku Proof
   
 5. R

  Renegade JF-Expert Member

  #5
  Jun 29, 2011
  Joined: Mar 18, 2009
  Messages: 3,769
  Likes Received: 1,074
  Trophy Points: 280
  Usione soo sema naye.
   
 6. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #6
  Jun 29, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  ukishaprove unataka kufanya nini?

  Kuna ubaya gani akijiunga jf? Mbona wewe umejiunga?
   
 7. RR

  RR JF-Expert Member

  #7
  Jun 29, 2011
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,720
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 160
  Sasa mkuu...kama wewe unayemfahamu huwezi kupata proof....sisi tutaitoa wapi?
   
 8. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #8
  Jun 29, 2011
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  itakua ni ile thread y kuombwa kurukwa ukuta.
   
 9. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #9
  Jun 29, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,674
  Trophy Points: 280
  Mi sijui unawasiwasi wa nini!Kama uhusiano wenu una matatizo kwanini usitumie michango kama chachu ya kuuboresha uhusiano wenu badala ya wasiwasi uliyonao,kwanza huyo mkeo anafaa kwa sababu anatafuta solution na sio kuuvuruga!
   
 10. oldd vampire

  oldd vampire JF-Expert Member

  #10
  Jun 29, 2011
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 253
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kwani what is the problem with that kaka?anatafuta solution na sio kuharibu mahusiano think
   
 11. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #11
  Jun 29, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,244
  Likes Received: 3,794
  Trophy Points: 280
  Nilichotaka kusema umeshakisema!
   
 12. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #12
  Jun 29, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Wewe muulize kwani unamuogopa?? Wewe ukishindwa sie tutawezaje sasa wajameni
   
 13. Uda'a

  Uda'a JF-Expert Member

  #13
  Jun 29, 2011
  Joined: Jun 27, 2007
  Messages: 221
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Etiee..... Hahahahahahahahhahahah
   
 14. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #14
  Jun 29, 2011
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,647
  Likes Received: 1,475
  Trophy Points: 280
  mkuu na yeye ana haki zote kama wewe...kwani unatumia jina lako halisi? ukitaka kuchokonoa jina lake, BAN ipo nje nje wenyewe sijui wanaita name calling hata ile kudhania tu...dah
   
 15. Romance

  Romance JF-Expert Member

  #15
  Jun 29, 2011
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 587
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  tatizo maisha ya jf na nyumbani tofauti kama hamna baya lolote potezea utabaki presha ju mwenzio akila raha za jf.
   
 16. Dume la Mende

  Dume la Mende JF-Expert Member

  #16
  Jun 29, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 419
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Bwaaaahahahahahahahaaaaaaa:caked: umejuajeeee weweee?
   
 17. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #17
  Jun 29, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Wasiwasi wa nini sasa? Nafikiri ni vizuri. Jiheshimu tu.
   
 18. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #18
  Jun 29, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  unaonaje ktk thread zinazokuhusu ungezitolea mawazo yako kama ukweli ulivyo au taja hizo threads.
   
 19. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #19
  Jun 29, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Chukua hiyo kama changamoto na uifanyie kazi. Yaani mpaka mwenzio kaamua kuja kuomba ushauri jf, ndo uone aibu sasa. Chukua huo ushauri na uufanyie kazi na hiyo itakuwa rahisi sana so long as ameshakusaidia kujua chanzo cha tatizo. Mi nadhani hilo ndo la muhimu zaidi.
   
 20. Dume la Mende

  Dume la Mende JF-Expert Member

  #20
  Jun 29, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 419
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Wewe unaonekana mshabiki sana wa hii kitu,, napata mashaka hapa!
   
Loading...