Mchumba wa rafiki wa dada yangu ambaye pia ni rafiki wa mume wa dada yangu anamtaka dada!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mchumba wa rafiki wa dada yangu ambaye pia ni rafiki wa mume wa dada yangu anamtaka dada!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by mama D, Jun 29, 2011.

 1. mama D

  mama D JF-Expert Member

  #1
  Jun 29, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 1,755
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  HABARI WANA JF
  Naombeni ushauri kwa hili!
  Nina dada yangu ana rafiki yake mpenzi wameshibana sana na kuaminiana kiasi kwamba amekua kama mwanafamilia mwenzetu au ndugu......
  Kutokana na maelewano hayo hadi marafiki wa shemeji wanamfahamu kama ndugu na ikatokea rafiki wa shemeji(mume wa dada) akatokea kumpenda kupitia dada na wamekua na mahusiano zaidi ya mwaka sasa!

  Cha kushangaza ni kwamba siku moja huyu rafiki yetu(rafiki wa dada) akiwa safarini na shemeji yangu nae akiwa safarini huyo mchumba alikuja nyumbani na kuanza kumtongoza dada! Dada alichukia sana akamchukia sana huyo mwanaume hadi leo anamchukia maana aliona kama ile ni dharau... Huyo mwanaume tangu siku hiyo baada ya kukataliwa ameona aibu hata nyumbani hafiki kabsaaaa....

  Sasa ameamua anataka kumwoa yule rafiki wa dada na huyo rafiki anataka kumpa dada majukumu kwenye hilo ila dada hataki kabsaa maana ameshamchukia huyo bwana na anamuona tu kama laghai wa mapenzi maana hana hata adabu.
   
 2. Chauro

  Chauro JF-Expert Member

  #2
  Jun 29, 2011
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 2,969
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  sasa imeishiaje?
   
 3. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #3
  Jun 29, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  The guy is a dog!
   
 4. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #4
  Jun 29, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  title ya hii thread inachanya kwel duh! cjui mchumba wa dada, mume wa dad etc duh! Km vip ungewataja kwa majina tu teh! Anyway kwenye mapenzi fanya maamuzi mwenyewe!
   
 5. Horseshoe Arch

  Horseshoe Arch JF-Expert Member

  #5
  Jun 29, 2011
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 11,230
  Likes Received: 4,951
  Trophy Points: 280
  Mapenzi hayagombi bi dada...wasemezane tu, watu wazima hawashindwi jambo!
   
 6. Likasu

  Likasu JF-Expert Member

  #6
  Jun 29, 2011
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 694
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 45
  "But not all guys are dogs"
   
 7. daughter

  daughter JF-Expert Member

  #7
  Jun 29, 2011
  Joined: Jun 22, 2009
  Messages: 1,275
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Sielewi kama ni stori unatupa?, ni swali unauliza?, ni ushauri unaomba? ama ...dah! kaaaazi kwelikweli
   
 8. N

  Nsagali Member

  #8
  Jun 29, 2011
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 90
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mbona ueleweki wewe au ni mmojawapo nini
   
 9. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #9
  Jun 29, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Ok let say this...."Most of guys are dogs" excluding myself..
   
 10. mama D

  mama D JF-Expert Member

  #10
  Jun 29, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 1,755
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  ushauri daughter
  maana shughuli yenyewe bado wiki chache sasa dada hataki kwenda na hawezi kumwambia rafiki sababu
   
 11. mama D

  mama D JF-Expert Member

  #11
  Jun 29, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 1,755
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Hana hata aibu na binti mwenyewe anampenda ila nadhani hajui kabisa tabia zake!
   
 12. mama D

  mama D JF-Expert Member

  #12
  Jun 29, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 1,755
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  hahahaaaa rudi USOME TENA NSAGALI
   
 13. mama D

  mama D JF-Expert Member

  #13
  Jun 29, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 1,755
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145

  hafai hata kidogo na dada yeye aliamua kuniambia maana alihisi anaweza kututaka hata sisi wadogo zake ikawa ishu baadae!
   
 14. mama D

  mama D JF-Expert Member

  #14
  Jun 29, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 1,755
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Chauro hata haijaisha maana ndio kwanza anataka kujitambulisha aoe!
   
 15. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #15
  Jun 29, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,676
  Trophy Points: 280
  Hivi haya matatizo yataisha lini?Aaaaarhgggrrrr!
   
 16. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #16
  Jun 29, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  ungeweka majina hata ya kubuni tuelewe

  maana haponaona rafiki wa dada,na rafiki wa dada..
  sielewi kabisaaaa
   
 17. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #17
  Jun 29, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 868
  Trophy Points: 280
  Kwa hiyo cc ka wana jf ndo una2ambia ili 2ikanye hyo njemba icmtongoze huyo dada yako au,maana hujaeleweka kama umeuliza swali au ume2simulia hadith!
   
 18. mito

  mito JF-Expert Member

  #18
  Jun 29, 2011
  Joined: Jun 20, 2011
  Messages: 7,653
  Likes Received: 2,039
  Trophy Points: 280
  Ingawa umeichanganya changanya story yenyewe nadhani tatizo hapa ni lile lile la kuchagua marafiki viwembe/viruka njia. Soma ile mada ya dada aliyetongozwa na rafiki wa mume wake utakuta kuna ushauri mzuri sana umetolewa na wadau.
   
 19. Masaki

  Masaki JF-Expert Member

  #19
  Jun 29, 2011
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,465
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
  Hii ni taarifa....!!
   
 20. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #20
  Jun 29, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Hii hadithi inachanganya kinyama! Mimi mwenyewe toka mwanza nishaliona hilo!
   
Loading...