Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Sheria mpya inayowapiga marufuku wanaume kuuza nguo za ndani za wanawake kama vile chupi na sidiria inaanza kutekelezwa hii leo nchini Saudi Arabia. Wanaharakati wa kike katika Ufalme huo wa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
For awhile now I've been depressed over my ex girlfriend. We broke up 8 months ago from our 1.5 year relationship because I got jealous over something she lied about, but she trusted me not to...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Rafiki yangu ana ndoa ambayo sasa ina takriban miaka saba. Miezi miwili iliyopita alianiambia kuwa katika mizunguko yake alikutana na Dada ambae alitokea kuvutika nae ghafla..alifika ofisini kwake...
3 Reactions
38 Replies
4K Views
Haya watetezi wa ndoa na uvumilivu teteeni na hii! Jamaa kafumaniwa na mkewe. Jamaa anacheat na mke wa mtu! Halafu kuna watu bado wanaapia wanawake huwa hawacheat. It beats me how delusional some...
0 Reactions
115 Replies
8K Views
Huwa tunatuma au kutumiwa Roses.Wakati mwingine tunakosa kuelewa maana yake. Nimeipata hii nikaona niwashirikishe wenye kupenda kujua maana.Enjoy! Meaning of Number of Roses...
1 Reactions
10 Replies
9K Views
1/3 wanawake wanamatatizo ya maumivu wakati wa sherehe za muungano. Pia matatizo ya kutopata watoto na uvimbe wa tumbo la uzazi vimeongezeka sana kulinganisha na miaka ya nyuma. Sijajua lakini...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
NNAOMBENI USHAURI WAKUU,nina ndugu yangu alioa kama mwaka ivi umepita, na kwa sasa wamebaatika kupata mtt mmoja,tatizo lililopo sasa ni kwamba yule shemeji yetu ni( postive) na alijua toka mwanzo...
0 Reactions
39 Replies
3K Views
Kwa wenzetu wanaoitwa wamagharibi (wazungu) hii tamaduni ya mtu kutoka na ama Mke au girl friend wa rafiki yake wa karibu, ni kitu cha kawaida. NOTE :- Kutoka huku simaanishi kufanyanae mapenzi...
0 Reactions
21 Replies
45K Views
mambo ya kutafakari kabla ya kufanya uamuzi wa kuoa au kuolewa
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Utani pembeni kuna baadhi ya wanawake wanapenda sana kuwachukua wanaume au maboi friend wa rafiki zao wakike. Yani aksiha jua mwenzake anafaidi basi anakuja na speed kama hii kuchukua mali ya...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Jaman mi nina demu aja2lia kabisa na najua kabisa kwamba aja2lia bt kila kukicha nazid mpenda daaa sijui nifanyaje!!.
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Heri ya mwaka mpya wapenzi wa jukwaa letu la MMU na pia natoa pole kwa wote ambao wana migogoro ya kiafya!! Baada ya mijadala ambayo tumeifanya mwaka uliopita na ile ambayo tumefungia mwaka...
15 Reactions
166 Replies
16K Views
Is it because of Desperation, Stupidity,No self confidence,Money, Fear or otherwise financial repercussions on their children and religious conviction to stay married...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
awe mweusi au maji ya kunde. dini yyte elmu ya form six au four kabila lolote awe mcheshi mwaminifu mkarimu umri 18 - 35 ukiwa na cfa hizi ni PM.
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Nyumba ninayoishi ni apartment ya family mbili, nimeishi nyumba hiyo kwa muda mrefu sasa. Mwezi wa kumi 2011 alihamia mpangaji mwenzangu ktk sehemu iliyokuwa imeachwa wazi na mtu ambaye alihama...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Wadau, wakati nipo chuo nilikutana na mrembo mmoja tukiwa mwaka mmoja lakini vitivo tofauti, tukaanzisha uhusiano wa kimapenzi, tulipomaliza chuo mwaka jana tukawa tumepangwa vituo vya kazi ktk...
1 Reactions
47 Replies
4K Views
‘Wanaume ni kama wanyama kihisia. Hawana huruma, hawajali na ndiyo maana hata kwenye msiba, unakuta wala hawaoneshi huzuni. Kwa kawaida hawajali kabisa, ni kama vile hawakuumbwa na roho.'...
1 Reactions
43 Replies
5K Views
Kumbe inawezekana Waungwana. Mpaka miaka miwili iliyopita nilikuwa Fataki hasa. Namaanisha niliwabinua kweli kweli wa kila sampuli. Ilikuwa ni kama laana fulani kwani kila nilipomuona wa kike...
6 Reactions
41 Replies
4K Views
Habari za mwaka mpya ndugu zangu!! Ushauri wenu ni muhimu sana katika hili suala langu. Mimi ni mtumishi wa umma katika ofisi fulani. Hapa ofisini kuna jamaa mmoja(hapa nimuite X) ambaye ni wa...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
niliachana na childhood sweetheart nikaja ughaibuni,baada ya maisha kunishinda nimeamua kurudi bongo,nimemtafuta yule mpenzi wa zamani,bado hajaoa na bado ananipenda....tatizo linakuja huku...
2 Reactions
58 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…