Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

UZINZI ni NINI? Imeandaliwa na Magical power Uzinzi Ni tendo la kufanya mapenzi na mtu ambaye si mkeo au mume wako, na mara nyingi linachukuliwa kama kukiuka ahadi za ndoa au maadili ya...
4 Reactions
21 Replies
1K Views
Habari za jumapili waungwana wa jukwaa hili, Katika hali ya kawaida kama ilivyozoeleka na wengi katika ulimwengu wa maraha na mahaba ukimuuliza mwanandoa sababu ipi iliyomfanya aolewe/ amuoe...
6 Reactions
73 Replies
2K Views
Kuna huu msemo unaelekea kuwa maarufu hasa kwa wanawake. Unakuta mwanamke kaishiwa labda pesa utasikia anasema "nina Msukuma wangu nitamuomba pesa atanipa" au nina Msukuma wangu ananipenda huyo...
28 Reactions
139 Replies
5K Views
Habari za muda huu, Rejea kichwa cha uzi, kinaongea kwa mapana ila yaliyopo kwenye akili yangu yako kwenye nyanja tofauti tofauti. 1. Mwanaume kumjali jinsia ya kike yeyote yule aliyempenda...
32 Reactions
306 Replies
9K Views
Hivi ulishawai kukutokea unakuta Una huruma flani ukiwa nacho Una support wengine .ila siku wewe ukikwama hakuna WA kukusaidia? Ila ya Mungu mengi unapita kwenye hiyo shida ukipata tena bado...
14 Reactions
50 Replies
2K Views
Kwema niko chaka mji kasoro bahari huku nimepata mwanamke mzuri sana ananipenda tena yuko vzr haswaa ila changamoto ni Hawa jamaa sijui wapoje ningekua na uwezo wa kumroga ningemroga uyu jamaa...
17 Reactions
137 Replies
7K Views
😂😂😂nikija kulia mnipokee wakuu huenda nimepigwa dawa Safari Longoni beach
4 Reactions
6 Replies
451 Views
HAPA PINDI ANAPORUDI NYUMBANI 1. Akirudi nyumbani hutumia dakika moja toka kusalimia hadi kwenda bafuni kuoga. 2. Mara nyingi mavazi aliyovaa siku hiyo, akishayavua hukimbilia kwenda kuyasokomeza...
66 Reactions
500 Replies
198K Views
Wakuu, heri ya sikukuu ya kuchinja. Kuna kitu nikawaza, baada ya kwenda hospitali X kumuona mgonjwa wangu wa karibu.(wakati fulani) Yule mwamba wakati anakuwa admitted hali haikuwa nzuri kiasi...
12 Reactions
178 Replies
7K Views
Basi tu nahitaji nimuone maana huwa nawaza sana Kuna mda nasema ndoa kweli unahitaji uvumilivu Kuna baadhi ya watu ukiwaangalia mitandaoni au hata mitaani unabaki unacheka ukiambiwa eti nae ana...
17 Reactions
146 Replies
8K Views
Mimi niwe mkweli, yule binti kidogo niweke makazi permanent pale sababu mambo alonipa sikuwahi kuyapata popote pale hapo kabla. Cha kushangaza siku naenda kwake kumchukua akanipe maburudani tena...
18 Reactions
101 Replies
18K Views
Tufanye wewe ni mzazi ambaye unainvest pesa nyingi kwa mtoto ambaye bado hajafika University, just yuko high school na ameanza uvutaji wa Sigara kwa siri unafanyaje? Watoto mkae pembeni kwanza...
16 Reactions
88 Replies
5K Views
Kumbe yule raisi wa duniani alikuwa mwovu... yupo anachemsha damu hapa Mkewe na yeye wanakula pedi. Macho yangu nayo yanawaka sana. Wakuu Melo anatakiwa apate tuzo coz kazi ni kubwa kuiongoza...
5 Reactions
37 Replies
2K Views
Mimi nikikumbuka napatwa na kwikwi, Mungu anisamehe nilizagamua mtu msibani. Nikikumbuka hadi leo huwa nacheka tu. Kwanza yule mfiwa sijui alienda wapi sijawahi kumuona tena
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Dah. . . kumbe waMassai nao wanajua kuFLIRT ehhhh?Hehehe. . nilidhani hayo ni mambo ya watu wa mujini tu. Nwy siku zote tunasikia na kuambizana kwamba mwanaume ni yule anaeweza kujali,lisha na...
12 Reactions
126 Replies
21K Views
Jamani asubuh kulikua jua. Ila huwezi amin ilipofika sa 8 wingu zito mara mvua hii hapa. Hata TMA hawajatupa tahadhari kuna kiubaridi haswaa. Jamani vaeni masweta na miguun tupia tusoksi mana...
26 Reactions
309 Replies
10K Views
Kuna kabinti kamenielewa. Nilikutana nae njiani katika pita pita zangu nikadaka namba. Naweza sema kwenye vigezo vya mwanamke wa ndoto zangu ametimiza 6/10. Kwahyo wakati namtongoza lengo langu...
4 Reactions
48 Replies
4K Views
Miaka ya 2010-2012 kuna mtaa nilikua naishi. Ilikua karibu na chuo kilichopo katika makao makuu ya nchi. Kuna siku nilikua katika misele yangu njiani nikakutana na binti pisi kali haswa alinivutia...
28 Reactions
186 Replies
15K Views
Hello...hello...hello...😍 Hamjambo jamani huku ndani? Nina imani nyote mnaendelea vyema sana. 🤸‍♀️🤸‍♀️ Sasa basi, sijui huu ni ushuhuda, elimu, au uvumilivu. Hebu nyie someni halafu muone inakaa...
21 Reactions
243 Replies
11K Views
Habari ndugu zangu.. Nakuja tena mbele yenu mimi kijana wenu ambaye sijaoa kabisa na ninatafuta mke huku na huko , ila binafsi ninalist ya wanawake wa kutosha ambao sioni hata anaefaa kua mke...
4 Reactions
27 Replies
3K Views
Back
Top Bottom