Nina ugonjwa wa akili wa kupenda wanawake sana, nisaidieni

jjs2017

JF-Expert Member
May 25, 2019
2,023
4,213
Habari ndugu zangu..

Nakuja tena mbele yenu mimi kijana wenu ambaye sijaoa kabisa na ninatafuta mke huku na huko , ila binafsi ninalist ya wanawake wa kutosha ambao sioni hata anaefaa kua mke japo kuna mmoja kateka hisia zangu ila ni mtata sana anatokea huko milima ya Arumeru -Arusha.

Ndugu zangu mimi nimekua nikisumbuliwa na kasumba hii hapa mpaka naona kama itakua kunashida mahali kwenye hisia zangu ila sijui kama ni sawa au ni ugonjwa ndugu zangu

1: Nimekua mtu wa kuthamini sana na kumuhurumia mwanamke awe binti au wa mama

2: Nimekua ni mtu naye pata amani sana moyoni napo kua nimekaa na mwanamke tukizungumza mambo ya hapa na pale au kupiga story tuu za kuondoa uchovu

3: Nikiwa na mwanamke yeyote yule nakua jasiri sana na pia nafeel ule upweke uliokua unanisumbua umeondoka kabisa

4: furaha yangu najikuta ni mwanamke tuu na siyo kitu kingine chohote kile.

5: Kiukweli napenda sana wanawake kupitiliza na nikiwaona njiani, maeneo ya kazi na kwingine kote napata amani sana moyoni

6: Nimekua ni mtu wa kushangaa sana wanawake na kuwachokoza sana bila kujali lolote baya linaweza kunikuta

7: Wanawake wakinijibu vibaya na wajibu vyema tuu na kuwatakia kilala heri, siwajibu vibaya kabisa sijui nipoje kwa kweli.

8: Mwanamke akiniomba kitu kama ninauwezo nacho siwezi mnyima kabisa, japo wengi wao hawana shukrani ila bado siwachukii

Ndugu zangu. Nahitaji kupona naombeni ushauri wenu. Nifanyaje mimi

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Juzi kuna mdada alianguka nikaokota pochi yake nikisubiri anyanyuke mwenyewe ili nimpe pochi yake. Kuna mtu akaniuliza kwanini sikumyanyua yule dada na kunyayua pochi yake?.

Nikamwabia mwanaume anapo achishwa kazi(akiishiwa na hela) mwanamke nae humuacha huyo mwanaume. Hamsaidii msaada wa kunyanyuka tena kimaisha.
 
Habari ndugu zangu..

Nakuja tena mbele yenu mimi kijana wenu ambaye sijaoa kabisa na ninatafuta mke huku na huko , ila binafsi ninalist ya wanawake wa kutosha ambao sioni hata anaefaa kua mke japo kuna mmoja kateka hisia zangu ila ni mtata sana anatokea huko milima ya Arumeru -Arusha.

Ndugu zangu mimi nimekua nikisumbuliwa na kasumba hii hapa mpaka naona kama itakua kunashida mahali kwenye hisia zangu ila sijui kama ni sawa au ni ugonjwa ndugu zangu

1: Nimekua mtu wa kuthamini sana na kumuhurumia mwanamke awe binti au wa mama

2: Nimekua ni mtu naye pata amani sana moyoni napo kua nimekaa na mwanamke tukizungumza mambo ya hapa na pale au kupiga story tuu za kuondoa uchovu

3: Nikiwa na mwanamke yeyote yule nakua jasiri sana na pia nafeel ule upweke uliokua unanisumbua umeondoka kabisa

4: furaha yangu najikuta ni mwanamke tuu na siyo kitu kingine chohote kile.

5: Kiukweli napenda sana wanawake kupitiliza na nikiwaona njiani, maeneo ya kazi na kwingine kote napata amani sana moyoni

6: Nimekua ni mtu wa kushangaa sana wanawake na kuwachokoza sana bila kujali lolote baya linaweza kunikuta

7: Wanawake wakinijibu vibaya na wajibu vyema tuu na kuwatakia kilala heri, siwajibu vibaya kabisa sijui nipoje kwa kweli.

8: Mwanamke akiniomba kitu kama ninauwezo nacho siwezi mnyima kabisa, japo wengi wao hawana shukrani ila bado siwachukii

Ndugu zangu. Nahitaji kupona naombeni ushauri wenu. Nifanyaje mimi

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
UNACHOKIPENDA SANA NDICHO KITAKACHOKUUA
 
Back
Top Bottom