Team Kataa Ndoa Mpo?
Sidhani kama kuna haja ya kusalimiana. Kama kuna mtu ana lolote anaweza akasema linalomsibu kwenye nafasi niliyoiacha hapo juu.
Najua humu jukwaani kuna movement ya Kataa...
Ngono ni tamu sana, lakini inaweza kuharibu maisha yako na mustakabali wako mzuri.
Somo la kwanza – Uume wako si rafiki yako; unaweza kuwa adui mkubwa mpaka utakapojifunza jinsi ya kuudhibiti...
Leo nimegombana na rafiki yangu wa damu, "hustler" mwenzangu. Juzi kati aliniambia anataka kumuoa mwanamke mzee, "kibibi" mwenye umri wa miaka 28, ambaye kazaliwa mwaka 1997 kama sijakosea .
Huyu...
Ivi kwanini wanaume hamna chembe ya huruma?
Kuna mdada hapa hajui afanye Nini muda huu maana kaachwa na boyfriend wake..
Ni miezi kadhaa imepita ila naona Ile hali Bado inamsumbua...mwili wake...
Umekuwa omba omba wa upendo, unahitaji mtu wa kukupa upendo lakini upendo wenyewe ni asili
Unaye muomba upendo kosa huanza hujui ni namna gani anajipenda, nikweli ana upendo lakini hufahamu...
Salaam wanajukwaa.
Nikiwa na akili timamu na miaka 35, nimefikiria sana juu ya mustakabali wa maisha yangu.
Mimi ni mfanyabiashara na mtoa huduma mbali mbali, Wakati bado nipo kijana nilikuwa...
Habari za jumapili
Nina tatizo nimekaa nalo mda mrefu saana..ila kwa sasa nataka niache nioe niwe na familia naombeni msada wenu.
Mimi nina umri wa miaka 33 mwaka 2003 kulikua na House girl...
Msitofautiane sana...mfano elimu,ukwasi,elimu,mila na desturi,imani n.k
Awe rafiki yako...mnaweza jadili mambo ya michezo,cinema au burudani mkafurahi mkiwa wawili tuu tena kwa mda mrefu na...
Ntaka niolewe lakini niendelee kuwa na uhuru wangu!
Nina mchumba wangu ambaye Mungu akipenda, mwezi huu mwishoni tunafunga ndoa. Hata hivyo, nimeshaanza kuogopa. Sio kwamba ananifanyia kitu...
Hivi mwanamke akiwa na mimba ya miezi miwili inampelekea kubadilika kabisa maana mimi mke wangu kabidilika sana yaani mpaka imefikia hatua ya kutaka kumuacha.
Habari, jina langu halisi ni Baraka, nina miaka 39.
Kwa sasa, niko katika hali ngumu maishani. Sina makazi wala mali, na bado najitahidi kujenga maisha yangu upya. Hata hivyo, nina imani kwamba...
Tulikaa vizuri mimi nayeye na alionesha kuridhia kuwa na mimi,
Wakati namtongoza nilimwambia najitafuta, akakubali maisha yangu, yeye akawa anafanya biashara ya kuuza duka la perfumes mainly (na...
Hili ni jambo la kushangaza sana, huyu jamaa kwao walikuwa masikini alafu nyumbani kwao ni mbali na shule, hivyo kwa kuwa tulikuwa marafiki tulioshibana na discussion tulikuwa tunafanya pamoja...
Salaam jamiiforum hope my wazima.
Jamani maisha ndiyo haya haya,utake usitake bado utaishi kwenye mfumo wa maisha ya watu wengi. Ukijipata kidogo kimaisha ukawa na uwezo fulani basi umetengeneza...
Wasalam vijana na wazee wa JamiiForums mie naitwa Fetty sio muislamu lakini nimwanadada ninayetafuta humu mwenzi wakutulia naye tena awe Mkristo mwenye uhitaji wa mke.
Asiwe mdogo sana au mzee...
Niseme machache huku nikitamani kusikia testimonies za wengine zinasemaje.
Upendo:
Tunajifunza kupitia watu walio tuzunguka na matukio yanayotuzunguka.
Pia kupitia Elimu mashuleni na Media...
Mm binafsi Kuna madeni ambayo nadaiwa ni zaidi ya laki 2 kwa watu tofauti Ila sitaki MKE wangu ajue hata Kama nilifanya matumizi ya ndani.
Je, Kuna hasara, madhara au faida gani kumshirikisha...
Habari zenu,
Niko kwenye mahusiano na mwanamke ambaye kwa sasa ana miaka 30 kanzidi mwaka mmoja. mahusiano yana zaid ya miaka 6. (haya mahusiano hayakua straight mana kuna muda nlikua nahama mkoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.