Umekaa na mpenzi wako sebuleni mmepumzika usiku...gafla unamuona anachart na hauna tym naye kwa anachokifanya gafla unasikia mlio wa msg kwenye simu yako,Unafungua msg na kusoma unakuta imetoka...
habarini wana jf, shepu yangu inanikatisha tamaa kwani kila mwanaume anayeniapproach ukichunguza sana unakuta hana upendo wadhati bali alitamani shepu yangu tu ,na ninagundua kuwa ananitamani pale...
Jf imekua msaada mkubwa sana kwangu, nimebahatika kuwasiliana na watu wengi na wengine kufikia kuanzisha uhusiano ila nasikitika mara nyingi dini imekuwa kikwazo..kwani ahiwezekani watu wenye dini...
Wanaume wengi wafujaji au watesaji wa wake zao hujitahidi sana kumtenganisha mke na ndugu zake. Wanapofanikiwa kuwatenganisha, wanaume hao huwa wamejitengenezea wigo mpana zaidi wa kuwadhibiti...
Ni mchakato kabambe wa jinsi ya kumvutia mtoto wa kike hususani ukizingatia umuhimu wao katika kukamilisha furaha yetu ,wengi wameishi kutafuta wana wake wepesi kuwamaliza au vicheche , japo...
Wakati mwingine mtu anaweza kufanya mambo ya kukuumiza moyo na sio kwamba anafanya makusudi bali ni kujisahau kutokana na mapungufu yake ya kibinadamu
Unajua katika mapenzi unaweza ukaishi na mtu...
Baada ya kupata ujauzito alihangaika kujua 'sex' ya mtoto kama akiwa wa kiume basi afunge uzazi maana tayari alishakuwa na mtoto wa kike. Baada ya kufanya vipimo vya ultr-sound, akaambiwa mtoto...
Wakuu,me cjui huwa nina tatzo gani,yan kila nikiwa naongea na msichana ambae nampenda kwa dhati huwa nakua speechless kabisa,naweza nka mcall kwenye simu afu ncmwambie kitu chochote cha maana,hadi...
mumewe anafanya kazi hana muda wa kuongea na mke wake yeye na bb kuchat mke wake alikua akikwazwa na tabia hiyo kwan yeye alikua na kasimu ka tochikasichokua na hata internet
Sasa amepata...
Nimekutana na mkaka online JF, tukaflirt sana PM huku tukipeana fake info about each other kwa muda kama wa miezi 8 hivi.
Alinidanganya ameoa nami nikamdanganya kuwa nimeolewa. alinidanganya...
"Ni hivi karibuni nimefunga ndoa na mwanamke ambaye sijawahi kukutana naye kimwili hapo kabla,
mara nyingi nilipotaka kukutana naye kimwili kabla hatujafunga ndoa alinikatalia na kunipa vipengere...
Jamani dunia inakwenda siko siku hizi na wanawake wamekuwa ni bure kabisa, hawawezi kuwafurahisha wanaume ndani ya ndoa, wengi wao wamekuwa magoigoi kwa kuwa hawezi kukatika wala kucheza ngoma zao...
There are somethings that a man will never tell you. But
these things would help you understand your partner better and improve your relationship.
1- We want you to like our friends, but not...
Wiki iliyopita nilitembelea mbuga ya Selous iliyoko huko Rufiji. Nilifikia katika Lodge ya Moja iliyopo hapo Selous, na miongoni mwa wageni tuliofikia katika Lodge hiyo kulikuwa na kina dada...
Hali zenu wanajamvi, huwa ninajiuliza kila siku. Kipi bora kati ya haya. Kuoa/kuolewa na mtu ambaye ana experience katika mapenzi au asiye na experience. Nikimaanisha kwamba mtu ambaye alishawahi...
Umepata msichana miezi mitatu nyuma, mmependana naye sana na ana kila sifa unayoitaka. Kuanzia umpate mambo yako yananyooka sana, unapata hela katika mazingira ya kutatanisha sana. Mara ukute...