Usibabaike na fremu za wanawake

Simba Mkali

JF-Expert Member
Jan 31, 2012
620
239
Jamani dunia inakwenda siko siku hizi na wanawake wamekuwa ni bure kabisa, hawawezi kuwafurahisha wanaume ndani ya ndoa, wengi wao wamekuwa magoigoi kwa kuwa hawezi kukatika wala kucheza ngoma zao za asili. Siku hizi wanawake wengi wanajiingiza katika masuala ya kuutaka uzungu na kuzikimbia asili za kwao.

Unaweza kumuona mwanamke mzuri wa umbele kumbe hana lolote, hajafundwa na mila za kwao, wengi wamefundwa katika Kitchen Party hizi za wajanja wa mjini ambazo hata hao wanaoziongoza wameshindwa kabisa kutunza ndoa zao. Wanasema Kitchen Party ziko kwa ajili ya kukusanya vyombo tu.

Zamani ukikutana na mwanamke kutoka Tanga, Tabora, Mwanza, Uzaramoni, Mtwara, Kigoma na kwingineko kasoro Moshi tu alikuwa akijua kukitumia kitanda bwana, mwanaume ulikuwa ukiridhika.... siku hizi hata chachandu hawavai eti wanavaa cheni za dhahabu. Wamebaki fremu tupu za uzuri lakini hawana kitu, umeshaziona zile fenicha zinazotoka nje ya nchi, basi uzuri wake ni bure kabisaaa, ni sawa na wanawake wa leo, ukimpa bia zako ukiiingia naye chumbani hupati starehe unayoitarajia ndiyo maana wanakimbilia kutoa tigo. unajuta hata kwanini ulimtongoza.

Jamani wanawake hebu rudini kule vijijini mkafunzwe na Makungwi kama bado wapo..... maaana hii ni sababu kubwa ya kuvunjika kwa ndoa nyingi kwa sababu wanawake wengi wanalala kama magogo.
 
Yesu wangu! Hivi ntabaki na mbavu kweli leo, mkuu umefika kuwalinganisha viburudisho hivi na fremu, au fenicha za kichina? Mwe mwe mwe mweeeeeeeee! Aisee tegemea mashambulizi ambayo huuwahi hata kuyawaza, we subiria wanakuja sasa hivi!
 
Usiogope kusema ukweli, unajua tunawalea sana hawa wameletwa kwa ajili ya kutuburudisha lakini sasa hatupati starehe mambo yanakuwa shaghala baghala utadhani hakuna wanawake duniani.
 
duu?ya leo kali ilo gogo litakuwa limekudondokea v day,,,,,ila kweli nyumba ndogo ndo maana zinajipatia umaarufu kila kukicha
 
Umekutana na fremu za plastiki..halafu kweli kuanzia mama yako, dadaz, shangazi na ndugu zako wa kike wote ni mafremu???!!
Mwanaume kama wewe ni kazi sana, eti uburidishwe na kustareheshwa na mwanamke!
 
Umekutana na fremu za plastiki..halafu kweli kuanzia mama yako, dadaz, shangazi na ndugu zako wa kike wote ni mafremu???!!
Mwanaume kama wewe ni kazi sana, eti uburidishwe na kustareheshwa na mwanamke!
Asante kwa maneno yako matamu najua nimekugusa ndio maana unasema hivyo, jiulize kwanini mnaitwa viburudisho?
 
mkuu,uliposema kasoro MOSHI,nikastuka,maana nina toto la kichaga zuri kweli lakini kwenye bed kwa kweli ni bure hajishughulish kabisaaa,ndipo nilipoamini toto za kichaga bureee,hakuna lolote,labda bussiness tu.
 
Back
Top Bottom