Nimechanganyikiwa Mwenzenu "MKE WANGU ANA JINSIA MBILI"

GAZETI

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
5,277
6,673
"Ni hivi karibuni nimefunga ndoa na mwanamke ambaye sijawahi kukutana naye kimwili hapo kabla,
mara nyingi nilipotaka kukutana naye kimwili kabla hatujafunga ndoa alinikatalia na kunipa vipengere
kadhaa vya kidini ambavyo kiukweli vilinifanya nitulie. Baada ya kufunga ndoa ndipo nimekutana na
hili balaa, mke wangu ana sehemu zote mbili yaani ya kike na ile ya kiume, sijui nifanye nini na sasa ni
siku ya saba toka nifunge ndoa, kweli sina raha......."

Ni maelezo ya (X) ambayo amenipa juzi, kweli nimemsikitikia lakini nimeshindwa kumshauri ingawa
ingekuwa upande wangu ningemuacha huyo mwanamke.
 
wewe nawe acha kutuletea hadithi za abunuwasi humu!
Kwa hiyo haiwezekani, au hamna kitu kama hicho maana hata mimi nilishindwa kuamini
nataka kujua haiwezekani kisayansi ili niamini kuwa huenda ni sayansi ya GIZA
 
Mhh ... Je hiyo jinsia ya kiume inafanya kazi .... Kama inafanya duh ...
 
Kwa hiyo haiwezekani, au hamna kitu kama hicho maana hata mimi nilishindwa kuamini
nataka kujua haiwezekani kisayansi ili niamini kuwa huenda ni sayansi ya GIZA

WaPo watu wenye jinsia mbili ...
 
Kwa hiyo haiwezekani, au hamna kitu kama hicho maana hata mimi nilishindwa kuamini
nataka kujua haiwezekani kisayansi ili niamini kuwa huenda ni sayansi ya GIZA
Binafsi nimewahi kuwa na mpenzi mwenye hali kama unayoizungumzia
lakini kwangu halikuwa tatizo maana tuliachana nilipohamia huku DAR na
hatukuwa na makubaliano ya kuoana, kwangu hakuna tatizo ningekaa naye
tu.
 
Du jamani hivi hamnaga jinsi ya kusaidia watu wa aina hii,madoctor please msaidieni,
 
"Ni hivi karibuni nimefunga ndoa na mwanamke ambaye sijawahi kukutana naye kimwili hapo kabla,
mara nyingi nilipotaka kukutana naye kimwili kabla hatujafunga ndoa alinikatalia na kunipa vipengere
kadhaa vya kidini ambavyo kiukweli vilinifanya nitulie. Baada ya kufunga ndoa ndipo nimekutana na
hili balaa, mke wangu ana sehemu zote mbili yaani ya kike na ile ya kiume, sijui nifanye nini na sasa ni
siku ya saba toka nifunge ndoa, kweli sina raha......."

Ni maelezo ya (X) ambayo amenipa juzi, kweli nimemsikitikia lakini nimeshindwa kumshauri ingawa
ingekuwa upande wangu ningemuacha huyo mwanamke.

as long as she is a woman and give the righ t love huna haja ya kupata shida.... imagine akija akasema wewe una kidodoma kidogo kama kisimi, would you be happy?
 
ni mzuri? anafiga ya kuuzia sura au kiaina? kama ni mzuri afu anafiga ya maana mwambie akimshindwa amshift pande hizi ila sikwajili ya kuoa sawa kijana?
 
nasikia watu kama hao wapo,nakushauri mpeleke hospitali atapewa ushauri nasaha (counseling) kisha jinsia moja itaondolewa kwa operesheni, hilo linafanyika,aisiwe na wasiwasi
 
Mimi huwa siamini hv vitu ingawa nasikia kwa watu kuwa kuna vitu vya namna hii!Sasa akitaka kwenda haja ndogo huwa anatumia nini?As long as ameshamuoa basi akubali matokeo tu!Ikiwezekana wakubaliane akafanyiwe operesheni kumuweka katika hali ya kawaida!Duh! Amakweli ukistaajabu ya RICHOND utayaona ya MEREMETA!!
 
Kama ya kiume inafanya kazi cha kufanya unasubiri mpaka isimame halafu unawahi kuivunja huyo sahau kamwe hata simamisha milele utaendelea kupiga kitumbua
 
Back
Top Bottom