Life is sweet as nothing to compare.
Life is precious as nothing to compare.
Life is delicate as nothing to compare.
Life is sophisticated, life is complicated, and life is irreplaceable!
Wish...
Nimekuwa na mpenzi wangu wa mwaka mmoja,siku za hivi karibuni alianza kupuuza simu zangu na nilipochimbua zaidi na kuweza kumuhoji aliniambia ananipenda ila Dini ndio tatizo.mimi ni muislamu naye...
Wana jf,naombeni ushauri nina miaka mitatu katika mapenzi na huyu binti lakini hapo jana kuna njemba imenipigia simu na kusema kuwa imekuta meseji kwenye simu ya mpenzi wake ambaye ndiye mpenzi...
Ukweli ni jambo muhimu ambalo litanusuru mambo mengi, kwa siku kadhaa nimekuwa nikimfuatilia dada fulani ambaye kanihakikishia kuwa yuko free, si hivyo tu pia kanihakikishia kuwa yuko tayari kuwa...
Assalamu Alaikum
Admins, Moderators na members wote
wa Jamiiforums
Kwa masikitiko makubwa nawataarifu
msiba wa baba yangu aliyefarik leo mchana msiba upo tanga makorola mi nipo iringa...
Nimekuwa najiuliza hili swali pia nimefanya jitihada za kusoma vitabu,tafiti,makala na baadhi ya movie. Kumekuwepo na harakati za kueneza ujumbe wa Haki na Usawa katika mahusiano. Kimtazamo wangu...
Jameni kama ilivyo ada sikukuu zimeanza na watu wanaachika,wapenzi kunuiana,ndoa zinakua ndoano ati kisa sikukuu,kama kulikua na mtu anamtaka mdada anampata sikukuu,wadada nawauliza je ndio mara...
If you are SINGLE and keep on saying "I DON'T TRUST MEN/WOMEN!" remember... your mates are getting married every Saturday. Let me ask you, are they marrying spirits? Wise up!
If you are MARRIED...
Jambo wapendwa
Wakati wa tendo la ndoa huwa unafumba macho kuusikilizaia utamu au unamkodolea mimacho mwenzako?
Mimi huwa nafumba macho. Siku moja nilikua na shem wenu fulani tuko faragha...
Mi ni kijana ninayependa kufanya mazoezi na pia mi ni mchezaji wa timu ya mpira wa miguu na nina mpenz ambaye amekuwa kikwazo kwangu kwani anapenda mda wote niwe naye hata muda wa kwenda zoezi na...
Kuna muhindi alifanya mapenzi na msichana mmoja mweusi wa kitanzania,kuna siku wakakutana huyu dada katika kumsalimia kwake muhindi akamuonesha kidole kidogo cha mwisho cha mkono huku...
Kwa wasomaji wa Biblia wanaufahamu mstari kwenye Biblia unaosema "kwa maana jinsi hii mungu aliupenda Ulimwengu"
Wataalamu wa Lugha watakubaliana na mimi kwamba maneno au majina ya vitu...
mambo vp Jf,simuelew mpenz wangu jaman,niliachana nae kitambo na tumerudiana hv karibuni,lkn hanipi denda na sababu anasema kuwa huko nyuma mate yangu yalimsababishia vidonda koon hvo dactari...
Hi Jf,
Ni miezi mitatu imepita toka niachane na huyu X-girlfriend. Mwanzo wa kuachana alionekana kunichukia sana lakini mimi nilimchukulia kama rafiki wa kawaida tu.
Nimekuwa nikiongea naye...
Nina mdogo wangu anaenifuata,alikuja kutambulisha mchumba mwezi wa pili wakatoa mahar na ndoa imetangazwa itakua june keshokutwa.Mdogo wangu ameniambia juz anamimba ya miez sita na jun itakua miez...