Nakupenda...

Kigarama

JF-Expert Member
Apr 23, 2007
2,492
1,230
Kwa wasomaji wa Biblia wanaufahamu mstari kwenye Biblia unaosema "kwa maana jinsi hii mungu aliupenda Ulimwengu"

Wataalamu wa Lugha watakubaliana na mimi kwamba maneno au majina ya vitu hayahusiani na vitu vyenyewe. Kwa mfano Kiti, mti au nyumba si lazima maana iwe ile ile kwa lugha zote duniani, na ndiyo maana majina mengine ya Wajapani kwetu sisi ni matusi!!Kwa mintaraafu hiyo wewe ukisikia mtu anakwambia "NAKUPENDA" tafsiri yako kwa neno hilo huwa nini, yaani kwako kupendwa ni kupi? Ili mtu ujue anakupenda ni mpaka afanye nini ili ujiridhishe kwamba anakupenda?

NI SWALI TU WAPENDWA!!
 
neno hilo limechakachuliwa mpaka linapoteza maana. Mimi nitaamini mtu ananipenda pale tu ambapo hana anachoexpect in return. Mf; mama yangu ananipenda bila kutegemea kitu from me, hana mpango wa kunireplace nisipodeliver au kulive by her expectation!

Jesus even more, maana hadi ameutoa uhai wake kwa ajili yangu.

Wanaume,(mume, guys) expect a lot, na mapenzi yao siku zote ni conditioned u have to be like this, dress like that, give me this, do for me this n that etc.
 
kupenda kwa kikanisani au kupendwa ya uchochoroni au kupenda ya ndoani?
 
maana ya kitu inategemea context. Hivyo basi mzazi akimwambia mwanae nakupenda, na kaka akimwambia mke wake nakupenda, rafiki akikwambia nakupenda na mume akimwambia mke nakupenda yote ni mapenzi na upendo...

Na mtu mmoja anaweza akawapenda wazazi, watoto, rafiki na ndugu lakini katika mapenzi tofauti
 
kupenda kwa kikanisani au kupendwa ya uchochoroni au kupenda ya ndoani?
Tangu utoke "jela" hatujaonana bibie. vipi ulishanyolewa nywele na kula ugali mkavu kwa maharagwe yaliyoungwa kwa mawese. Hakimu kakusamehe au umewekewa dhamana kesi inaendelea?

Turudi kwenye mada. Kupenda huko ninakokuzungumzia ni kule ambako watu wanajitapa nako mitaani "mimi mume wangu ananipenda hadi anachanganyikiwa" au wengine utawasikia "mke wangu asiponiona kwa jinsi anavyonipenda hata kula hali" Wewe Konnie ufanyiwe nini ili uamini kwamba mpenzio anakupenda?
 
Kwa wasomaji wa Biblia wanaufahamu mstari kwenye Biblia unaosema "kwa maana jinsi hii mungu aliupenda Ulimwengu"

Wataalamu wa Lugha watakubaliana na mimi kwamba maneno au majina ya vitu hayahusiani na vitu vyenyewe. Kwa mfano Kiti, mti au nyumba si lazima maana iwe ile ile kwa lugha zote duniani, na ndiyo maana majina mengine ya Wajapani kwetu sisi ni matusi!!Kwa mintaraafu hiyo wewe ukisikia mtu anakwambia "NAKUPENDA" tafsiri yako kwa neno hilo huwa nini, yaani kwako kupendwa ni kupi? Ili mtu ujue anakupenda ni mpaka afanye nini ili ujiridhishe kwamba anakupenda?

NI SWALI TU WAPENDWA!!
Lovve is an emotional thing which must be expressed, there are many languages of love.
1. To some, love means material provision; yaan huwezi kumwambia unampenda huku hauna kitu cha kumpa, either money or any tangible thing
2. Kwa wengine Love is all about sweat words, love words, mf honey, mpenzi, sweatlove , I love you I adore you, i admire you, you are special, sweat etc, watu hao hata kama ungewapa mali au utajili wa hali ya juu bila maneno hayo watasema huwapendi
3. Kwa wengine upendo means physical availability; mpe pesa, mpe maneno matamu nk kama huna muda naye atasema humpendi
4. Kwa wengine upendo ni ile physical touch; hatakubali unampenda kama hautamshika mkono na kutembea naye au kukaa naye
My take; kila mtu ajifunze lugha ya mtu anayetaka kumpenda ili wasitofautiane
 
Kwangu mie atakaeniambia ananipenda asiwe anategemea anythng in return. Awe na unconditional love.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom