Hi Jf,
Ni miezi mitatu imepita toka niachane na huyu X-girlfriend. Mwanzo wa kuachana alionekana kunichukia sana lakini mimi nilimchukulia kama rafiki wa kawaida tu.
Nimekuwa nikiongea naye friendly but periodically sana kwani nimekwisha move on na namtreat kawaida tu.
Cha ajabu two weeks ago alinitext sms ya tafadhali niongezee hela, nikampigia kumuuliza juu ya hiyo sms akadai amekosea namba nikapotezea.
Jana nashangaa kuona 2 sms moja ya tafadhali niongezee hela nyingine ya *142# kutoka kwake.
Nilimuongezea sh500 kama salio nikampigia hakupokea, nikarudia kupiga kama mara mbili hakupokea nikaachana naye.
Leo nimempigia akapokea nikamuuliza tena kuhusu hizo sms akadai hajawahi kutuma hizo SMS na hajaona kama nilimuingizia salio. Mwisho akaniambia 'kama unahisi una hela si unitumie tu...!
Sasa jamani nashindwa kumuelewa huyu binti ila nilimpenda sana hapo kipindi cha nyuma but aliishia kuniumiza tu moyo.
This time around simuelewi-elewi...!!!