Wakati wa tendo takatifu

Tripo9

JF-Expert Member
Sep 9, 2009
4,352
3,533
Jambo wapendwa

Wakati wa tendo la ndoa huwa unafumba macho kuusikilizaia utamu au unamkodolea mimacho mwenzako?

Mimi huwa nafumba macho. Siku moja nilikua na shem wenu fulani tuko faragha nimefumba macho kuskilizia majamboz, Kufungua macho yangu Dah, nakuta tu kanikodolea mimacho.....Kanikata stimu kishenzi yani.

Nawasilisha.
 
Inabidi serikali iliyopo madarakani iwajibike, yaani unakodolewa mimacho hivi hivi... serikali iko imelala tu au iko wapi?
 
Bazazi hupendelea kufumbua macho ili amuone mpendwa wake anavyobadilikibadilika kulingana na utamu anaopata. Hii hunisaidia kujua wapi niguse na kwanini, niongeze kasi au nipunguze; niingie zaidi au nitoke kidogo; Nizunguke au nichimbe. Pia hunisaidia kujua anakaribia kufika Gilman Point au bado. Macho ni nguvu yangu na silaha ya maangamizi kunako uwanja wa serimala.
 
Hapa ndipo nitakapogundua kuwa Kongosho ni Me au Ke. Usiniulizd kwa nini, namsubiri achangie halafu nitatoa jibu.
 
Jambo wapendwa

Wakati wa tendo la ndoa huwa unafumba macho kuusikilizaia utamu au unamkodolea mimacho mwenzako?

Mimi huwa nafumba macho. Siku moja nilikua na shem wenu fulani tuko faragha nimefumba macho kuskilizia majamboz, Kufungua macho yangu Dah, nakuta tu kanikodolea mimacho.....Kanikata stimu kishenzi yani.

Nawasilisha.

Basi huna tabu mwenzetu, unaweza ukachomeka popote kwani msikilizo wako ni kuingia tu bila kujali mazingira kamili ya shughuli yenyewe!
 
Bazazi hupendelea kufumbua macho ili amuone mpendwa wake anavyobadilikibadilika kulingana na utamu anaopata. Hii hunisaidia kujua wapi niguse na kwanini, niongeze kasi au nipunguze; niingie zaidi au nitoke kidogo; Nizunguke au nichimbe. Pia hunisaidia kujua anakaribia kufika Gilman Point au bado. Macho ni nguvu yangu na silaha ya maangamizi kunako uwanja wa serimala.

hatupishani mkuu,macho ndio speed metre,nipunguze,niongeze,deep au shallow.nikimcheki anavyo enjoy napata steam zaidi.unaweza ukafumba macho,kuja kufungua kumbe mwenzako anakungonga.
 
Back
Top Bottom