Nitaoa kweli?

msafiri27

Member
Sep 16, 2011
56
8
Kudadaadek........ umri wangu unakaribia miaka 38, sina hata mchumba wala mtoto wa kusingiziwa. Hivi ninaweza kweli kupata patna wa kuoa? nakaribia kukata tamaa. Lakini ni lazima kuoa?. But I think I need some one in my life. Will some one be interested to rescue me? please communicate with me
 
Nia unayo?
 
una kazi i mean kipato cha kuilisha familia???? lol....hilo ndilo la muhimu umri sio..lol:rolleyez:
 
Kwa nini usioe Kaka yangu bado umri unaruhusu usikate tamaa ila na wewe inawezekana unabagua sana
 
Vp mkuu,kwan ukiwapga sound huwa wanakukataa au nin kimekupata mpaka huna mchumba hadi leo?
 
Duh! Mkubwa sana, ningetuma proposal. Lol! Hivi kweli huna kabisa au ulionao hawajakidhi viwango!
 
Kudadaadek........ umri wangu unakaribia miaka 38, sina hata mchumba wala mtoto wa kusingiziwa. Hivi ninaweza kweli kupata patna wa kuoa? nakaribia kukata tamaa. Lakini ni lazima kuoa?. But I think I need some one in my life. Will some one be interested to rescue me? please communicate with me

Yes, if you're serious about this issue.
 
kuoa ni hiyari, si lazima... wa kupigapiga si unapata lakini au nao ni issue?
 
Wamejaa wakumwaga, its how serious you're. Inaelekea una high expectation labda, weka sifa zako na contacts zake huko love connect labda mtu anakuzimikia.
 
Back
Top Bottom