Ni wakati gani wa kumuambia mchumba wako kuwa una mtoto! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni wakati gani wa kumuambia mchumba wako kuwa una mtoto!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by bpouz, Apr 24, 2012.

 1. b

  bpouz Member

  #1
  Apr 24, 2012
  Joined: May 26, 2008
  Messages: 36
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  hbar wadau bana naleta hii mada ni wakati gan muafaka wa kumuambia mpnz wako kuwa katika mahusiano yako ya nyuma yalipelekea kuwa na mtoto je ni wakat wa mwanzo wa mapenz au katikati au baada ya ndoa koz yamewah kumkuta rafik yangu alikuwa na mchumba wakafika ktk stage ya introduction kwa wazaz wakatoa nusu mali, ikawa inasubiliwa kumalizia from known where dem kapata habar mchumba wake ana mtt na ajamuambia mshikaj akazuga demu akavunja uchumba akadai heri angemuambia mwenyewe kuliko kusikia
   
 2. Bwa'Nchuchu

  Bwa'Nchuchu JF-Expert Member

  #2
  Apr 24, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 2,178
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Right from the get go.
   
 3. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #3
  Apr 24, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kabla hajawa mchumba!!!
   
 4. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #4
  Apr 24, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,876
  Likes Received: 6,231
  Trophy Points: 280
  mwanzoni wakati unamtongoza, ili aamue kusuka au kunyoa.....
   
 5. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #5
  Apr 24, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Kabla hata hujamtamani mwambie tu................
   
 6. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #6
  Apr 24, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 305
  Trophy Points: 160
  hadi mnafikia uchumba hamjaambiana mna watoto? Unawezaje kuficha au kutoongelea wanao kwa marafiki zako?
  labda sio rafiki.

  Dunia haiishi vituko.
   
 7. MESTOD

  MESTOD JF-Expert Member

  #7
  Apr 24, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 4,643
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Unapotaka kummuacha
   
 8. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #8
  Apr 24, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Kabla hata hujamuambia jina lako. Na kama mnajuana majina, wakati wa "tongozi" hiyo issue iwe ndio sentensi ya kuanzia.
   
 9. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #9
  Apr 24, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,135
  Likes Received: 6,630
  Trophy Points: 280
  Mapenzi yenyewe ya juujuu hakuna hata kuchunguzana atajuaga huko mbele.
   
 10. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #10
  Apr 24, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Ukimwambia mwanzo kabisa atakutosa.
  Anzeni mahusiano baada ya muda mwambie kabla hamjaanza uchumba rasmi ili ajue mtu anaejifunga nae alivyo
  OTIS
   
 11. msafiri27

  msafiri27 Member

  #11
  Apr 24, 2012
  Joined: Sep 16, 2011
  Messages: 57
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  mwambie akishakukubali
   
 12. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #12
  Apr 24, 2012
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 476
  Trophy Points: 180
  Wakati muafaka ni pale mnapoanza kufahamiana na kuanzisha mahusiano ili ujue hiyo ''package'' ikoje. Habari za kufichana hazina maana kabisa!!
   
 13. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #13
  Apr 24, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,918
  Likes Received: 83,432
  Trophy Points: 280
  ...Sawa kabisa BJ...mimi huwa nawashangaa sana wale wanaodai kwamba mnapoamua kuwa Wapenzi basi hakuna sababu ya kuulizana yaliyopita mnaenda mbele kwa mbele....Unaweza kudhani umepata kumbe umepatikana ukipita mtaani watu wanakuchora tu.
   
 14. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #14
  Apr 24, 2012
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Salute Dada......Any serious secret... it sets you free unajua!
   
 15. B

  Benno JF-Expert Member

  #15
  Apr 24, 2012
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 332
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Day zero
   
 16. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #16
  Apr 25, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  Kama mwenza wako ni mshabiki wa Chelsea mwambie leo tena sasa ivi.
   
 17. BPM

  BPM JF-Expert Member

  #17
  Apr 25, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,766
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Mwanzo wakat unaelezea au kumwambia juu ya familia
   
 18. roby2006

  roby2006 JF-Expert Member

  #18
  Apr 25, 2012
  Joined: Sep 30, 2011
  Messages: 399
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Bora umwambie mwanzo akutose kuliko kuja kukutesea mwanao
   
 19. T

  TrueLove Senior Member

  #19
  Apr 25, 2012
  Joined: Jan 12, 2012
  Messages: 124
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Inapendeza ukimwambia mwanzaoni wakati mnapeana historia za Mapenzi ya Nyuma.
   
 20. B

  Benno JF-Expert Member

  #20
  Apr 25, 2012
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 332
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Day zero hujanena kwa lugha ukikutanae tuu, unaanza da "mwanangu nimeikia anaumwa kidogo" unamalizia anyway forget that!
  Then mkazie macho kusoma signal kama vipi take note ya ushauri wake.
  Wenye akili wanaanza hapohapo maswali
  1. Yuko wapi " answer kijijini
  2. Why that " kwanini usikae nae answer sina mlezi
  3. Mama yake???? Answer "is long story

  Postpone hayo mazungumzo ya mtoto then endeleza mengine:
  Note: you can use any format or trend ila umeelewa what is expected.
   
Loading...