Hivi ni sheria au.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi ni sheria au....

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Andrew Jr, Apr 25, 2012.

 1. A

  Andrew Jr JF-Expert Member

  #1
  Apr 25, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 318
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Jaman kuna ulazimaa kuoa mke uliyemzidi umri?
   
 2. Geofrey_GAMS

  Geofrey_GAMS JF-Expert Member

  #2
  Apr 25, 2012
  Joined: Feb 15, 2012
  Messages: 564
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 45
  hakuna ulazima, kinachotakiwa awe anakupenda na kukuheshimu
   
 3. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #3
  Apr 25, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  Tangu tunakua, tumejikuta Waafrika wengi tuko kwenye tamaduni ya aina hiyo. Nilikuwa nasoma vitabu vingi vya zamani, vilikuwa vikisimulia kuwa ilikuwa inafikia level ya mtoto wa kike anapozaliwa hapo hapo anakuwa "booked" kuja kuolewa na kijana au mzee fulani!

  Lakini ki ukweli, huu ni kama utamaduni tu wa zamani ambao kimsingi huufanyi kazi kwa nguvu ile ile kwa vijana wa kizazi cha sasa. Ki ushauri, niungane na huyo mchangiaji hapo juu kuwa suala muhimu ni kupendana kwa dhati. Suala la umri lisiwe kikwazo sana ingawa pia unatakiwa kuwa na mipaka ya huo utofauti wa umri.

  Si busara we kijana kuoa/kuolewa na kibabu/kibibi. Kwa mtazamo wangu naona tabia, interest na hulka zinaweza kupishana na hivyo kuleta migogoro isiyo ya lazima.

  Thanks,

  HP
   
Loading...