Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Ulikuwa kama mchezo mnakusanyika watoto wa kike na kiume na mnaanza kuimba, akianza mwanamke anamachagua mwanaume na akianza mwanaume anamchagua mwanamke, wengine tulikuwa tunautumia kwa...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
wanaume huwa wana usiri sana pale ambapo rafiki ake anakuwa ana mademu more than one, hata iwe rafiki ake awe amekwenda kumsindikiza binti mwingine, utasikia rafiki ake akisema oooh shemu karibu...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
QUESTION;Why do couples hold hands during their wedding? ANSWER:It is just a formality just like two boxers shaking hands before the fight begins.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Jamani hapa tunaongea kama wazazi Je ni halali mama kupiga dabali watoto mgongoni? Akipiga hivi dabali haiathiri malezi na makuzi ya watoto? Yaani hapa nazungumzia umemwacha mkeo nyumbani akaja...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Natafuta mchumba mwenye sifa zifuatazo; 1. Awe mkristu mwenye hofu ya MUNGU. 2. Umri usiozidi miaka 25. 3. Mweupe, mwenye umbo la wastani (average), mrefu wastani 4. Elimu kuanzia form 6 na...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kwa wamama na wadada ambao ni above 18 mpaka 60... ambao wana interest na male company for fun na weekend gateways.. pm please.... napenda kusafiri around east africa na starehe zaidi...no...
4 Reactions
156 Replies
10K Views
Imagine umeoa/kuolewa ghafla unamkuta wife/husband anaangalia picha kwenye album yake huku anasikitika, unamuuliza vipi anakwambia unamuona huyu naemwangalia alinipenda sana ila hakufanikiwa...
0 Reactions
5 Replies
960 Views
Hello guys..Am a lady aged 28 yrz ni mama wa 3 yrz dota.mkasa wangu ni huu,huyu baba wa mwanangu naish nae na alinioa kwa ndoa ya kimila 2008! Makubaliano yalikuwa ni hv imediately nikigraduate we...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Inasikitisha sana lakini ukweli ni kwamba hili limetokea leo mjini dodoma. Mmaasai mmoja kamuua mwenzake kwa sime. Chanzo cha ugomvi ni ugomvi wa hao wamaasai wakigombea mwanamke ambaye alikuwa...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Mimi ni kijana nina umri wa miaka 31 kabila langu ni mchagga natafuta mwanamke wa kuoa awe kati ya miaka 22-25 awe na elimu ya chuo, awe mkisto anayemjua Mungu.Kwa yoyote yule ambaye anadhani...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Jamani wanaume wengi wanalalamika kuhusu tabia ya baadhi ya wanawake ya kutotaka kuishi na ndugu wa upande wa mwanaume. Wengi wa wanawake wa jinsi hii wanapenda tu wakae na ndugu zao, lakini siyo...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Fikiria wewe ni binti (au mzazi wa binti) ambaye unataka/ anataka kuolewa na mwanaume ambaye hajasoma (illiterate) utakubali? Hebu tujadili wanajamvi... kama utakubali ni kwanini??? na kama...
0 Reactions
44 Replies
5K Views
Darling....... tulifahamiana kupitia mtu niliyefahamiana naye kupitia humu mmu,hivyo kupitia ukurasa huu nichukue fursa hii kukupa pole sana kwa ndoa yako kuvunjika na kwa maumivu ya mwili...
11 Reactions
135 Replies
10K Views
Mm n mwanaume mwenye umri wa miaka 30 natafuta mwanamke mwenye umri wa miaka 35 na kuendelea ila awe mnene mrefu na mimi nh mrefu mwembamba kama atapatkana na atakua serious antafute kupitia...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hi to all, kwa kufupisha: ivi wanawake jamani mnataka wanaume tuweje/tuwafanyie nini ili muweze kuamini mnapendwa kweli?? kwa wanawake na wanaume wenye kujua siri ya mafanikio..welcome,
0 Reactions
20 Replies
2K Views
wakuu!baba yangu mpendwa Mzee Chizenga amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu!1933-2012!upumzike kwa amani baba yangu!
0 Reactions
97 Replies
7K Views
Nataka kumtafuta princes wa price john gelas.mweupe,mwenye nywele ndefu,aliyejazia wowowo na acyependa pesa pia chuchu saa 6 kamili usiku.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
1. Hi JF: Natafuta rafiki wakike ambaye baadaye atakuwa mkewangu. Sifa: 1.Mkristo. 2. Age range from 24-28 yrs old. 3. Husiwe ushatowa mimba. 3. Huwe na upendo wa dhati. 4. Education level...
0 Reactions
28 Replies
2K Views
Dear brothers and sisters. Asalam alaikum. Since we are one big family I just wanted to drop a line to share good news with you, Alhamdullilah my beautiful wife gave birth to a beautiful...
23 Reactions
93 Replies
6K Views
Kuna mambo ambayo mpaka sasa nashindwa kujua nfanyeje...jaman mliooa au mnaolijua hili nambieni, kuna umuhimu wa kuoa mke uliyemzidi umri?
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Back
Top Bottom